El Baradei: Mwendawazimu Trump anatafuta njia ya kujiondoa kwenye vita dhidi ya Iran
Mkuu wa zamani wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) ametangaza kuwa mtu mmoja mwendawazimu alianzisha vita dhidi ya Iran na sasa anatafuta njia ya kujiondoa vitani.