UNICEF: Mlipuko wa Ebola umewaweka Watoto hatarini
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF, limesema lina wasiwasi mkubwa kuhusu mlipuko wa Ebola unaoendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC na Uganda, huku likionya kuwa…
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF, limesema lina wasiwasi mkubwa kuhusu mlipuko wa Ebola unaoendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC na Uganda, huku likionya kuwa…
Rais wa Russia, Vladimir Putin, na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping, wamekemea kwa pamoja vita vya hivi karibuni vya uchokozi vilivyoanzishwa na Marekani na Israel dhidi…
Rais wa Russia, Vladimir Putin, na mwenzake wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping, wamekemea kwa pamoja vita vya hivi karibuni vya uchokozi vilivyoanzishwa na Marekani na Israel dhidi…
Leo ni Alkhamisi tarehe 4 Mfunguo Tatu Dhulhija 1447 Hijria mwafaka na tarehe 21 Mei 2026.
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei amesema kupanda hadhi ya Iran ya kuwa taifa kubwa na lenye taathira kunahusiana moja kwa moja na ongezeko la idadi…
Mkuu wa vyombo vya Mahakama vya Iran anasema kuwa Rais Shahidi Ebrahim Raisi alijitolea kwa dhati kuwatumikia wananchi na kusabilia maisha yake kwa ajili ya Iran.
Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameeleza kuwa: "Marekani inalitumia vibaya Baraza la Usalama kwa kueneza uwongo na tuhuma zisizo na msingi dhidi ya Jamhuri…
Viongozi wa China na Russia wamesisitiza mwanzoni mwa mazungumzo yao kuhusu azimio la pamoja la nchi hizo mbili la kuasisi utaratibu wa haki zaidi wa kimataifa na ulimwengu wa kambi…
Mamlaka ya Rwanda imeongeza hatua za uchunguzi wa afya na kuimarisha udhibiti katika mpaka na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo huku mlipuko hatari wa homa ya Ebola ukiendelea kuitatiza Kongo.
leo ni Jumatano tarehe 3 Dhulhija 1447 Hijria sawa na Mei 20 mwaka 2027.
Hatimaye baada ya miaka 22 ya ukame, Arsenal au ukipenda waite The Gunners wametwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu wa 2025-26 baada ya Man City kulazimishwa sare…
Jeshi la Iran limeonya kuwa iwapo adui ataanguka tena katika mtego wa Israel na kuanzisha uchokozi mwingine dhidi ya Iran, jeshi la taifa litafungua medani mpya ya mapambano kwa kutumia…
Serikali ya Uganda inasema zaidi ya watu 100 wamewekwa karantini huku maafisa wa afya wakijitahidi kudhibiti mlipuko nadra wa Ebola unaohusishwa na aina ya virusi vya Bundibugyo.
Pars Today - Rais wa Marekani Donald Trump, kwa mara ya kumi na moja katika kipindi cha wiki chache tu, amerudia tena majigambo yake ya kuishambulia Iran lakini baadaye anatafuta…
Russia imezindua mazoezi makubwa ya silaha za nyuklia yanayohusisha makumi ya maelfu ya wanajeshi, huku mapigano na Ukraine yakizidi kuwa makali na Rais Vladimir Putin akielekea China kwa ziara ya…
Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria amesema Imam Ali Khamenei aliyeuawa shahidi na damu yake safi vitaendelea kuuandama utawala wa Kizayuni wa Israel ambao ni sawa na donda la…
Timu za upelelezi za Iran zimefanikiwa kusambaratisha seli nne za wanamgambo wa Kitakfri wenye mfungamano na utawala wa Israel katika mkoa wa Sistan na Baluchistan, kusini mashariki mwa Iran mkoa…
Timu za upelelezi za Iran zimefanikiwa kusambaratisha seli nne za wanamgambo wa Kitakfri wenye mfungamano na utawala wa Israel katika mkoa wa Sistan na Baluchistan, kusini mashariki mwa Iran mkoa…
Mshauri mkuu wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei amesema kwamba mkono wa chuma wa vikosi vya jeshi na taifa thabiti la Iran vitailazimisha Marekani kurudi nyuma…
Uganda imeanzisha udhibiti wa mipaka kutokana na mlipuko wa virusi vya Ebola. Wafanyakazi wa afya nchini humo tayari wameanza kupima halijoto ya watu huku wakiwasaidia kunawa mikono yao karibu na…
Polisi wa San Diego huko California nchini Marekani wametangaza kwamba watu watano wameuawa katika shambulio lililolenga kituo cha Kiislamu cha mji huo, wakiwemo washambuliaji wawili.
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imefungua kesi dhidi ya kamanda wa zamani wa gereza la Libya, Mohammed Ali El Hishri, anayetuhumiwa kusimamia uhalifu dhidi ya ubinadamu katika kituo maarufu…
Mgomo wa sekta ya uchukuzi uliokuwa umeingia siku ya pili nchini Kenya umeahirishwa kwa muda wa siku saba ili kutoa nafasi kwa mazungumzo kati ya serikali na viongozi wa sekta…
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema, kutokana na “hali ya kijamii” ya Marekani inayozidi kuwa mbaya, haitazami tena nchi hiyo kwa jicho la mahala pa kuwashauri watoto wake wakasome au…
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ameapa kutosalimu amri kamwe mbele ya dola lolote au kutoa kafara heshima ya taifa kwa ajili ya faraja.
Takribani watu wanne wameuawa na wengine 30 kujeruhiwa nchini Kenya wakati maandamano ya kitaifa yakizuka kupinga kupanda kwa kasi kwa bei ya mafuta.
Mwandishi wa habari mpelelezi wa gazeti la Washington Post amechapishwa maelezo kuhusu mashambulizi ya Iran kwenye taasisi na zana 228 za kijeshi za Marekani katika Ghuba ya Uajemi.
Muigizaji maarufu wa Kihispania amesema kando ya Tamasha la Filamu la Cannes kwamba: Licha ya kampeni yake ya hadharani dhidi ya vita vya Israel na mauaji ya kimbari ya utawala…
Vyombo vya habari vimeripoti kwamba makomandoo wa jeshi la Wanamaji la Israel wamevamia msafara wa meli za misaada ya kibinadamu kwa ajili ya watu wa Ukanda wa Gaza "Global Sumud…
Leo ni Jumanne tarehe Pili Dhulhija 1447 Hijria mwafaka na 19 Mei 2026. Siku kama ya leo miaka Miaka 505 iliyopita, majeshi ya utawala wa kifalme wa Othmania yaliuteka mji…
Gazeti la Marekani la New York Times limeandika katika ripoti yake kwamba, Israel imeanzisha vituo viwili vya kijeshi vya siri ndani ya ardhi ya Iraq kwa ajili ya kusaidia operesheni…
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesema kwamba tawala za Marekani na Israel zinaendeleza miradi ya kuzusha migawanyiko na kueneza hali ya kutoaminiana ili kuyagonganisha mataifa ya Kiislamu.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amefanya mazungumzo ya simu kwa nyakati tofauti na mawaziri wenzake wa Ufaransa, Qatar, Uturuki, na Korea Kusini, siku ya Jumapili, ili…
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ametia saini sheria mpya inayolenga kudhibiti ushawishi wa kigeni nchini humo.
Maandamano dhidi ya kupanda kwa bei ya mafuta yamezuka katika miji kadhaa nchini Kenya siku ya Jumatatu huku athari mbaya za vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran zikiendelea…
Maandamano dhidi ya kupanda kwa bei ya mafuta yamezuka katika miji kadhaa nchini Kenya siku ya Jumatatu huku athari mbaya za vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran zikiendelea…
Balozi wa Cuba katika Umoja wa Mataifa amesisitiza haki ya nchi yake kujilinda dhidi ya uwezekano wowote wa uvamizi wa kijeshi kutoka Marekani, kwa mujibu wa sheria za kimataifa na…
Ali Akbar Velayati, mshauri mwandamizi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, ameonya kuwa Marekani inaangukia “mtego wa kimkakati” uliotegwa na Israel, akisema kuwa Marekani itapoteza kabisa mabaki ya uaminifu wake…
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limesema mazungumzo ya hivi karibuni na maafisa wa soka wa Iran yalikuwa chanya na yenye kujenga, huku maandalizi ya kuelekea Kombe la Dunia la 2026…
Iraq imetangaza wazi kuwa kamwe haitaruhusu ardhi yake itumike kwa ajili ya kufanya mashambulizi dhidi ya nchi jirani, hasa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Waziri wa Afrika Kusini wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Ronald Lamola, amesema Marekani haiwezi kuizuia nchi yake kushiriki kwenye Mkutano wa kilele wa nchi za G20 mwezi…
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yenye makao yake The Hague imeripotiwa kutoa hati tano za “siri” za kukamatwa kwa maafisa wa utawala wa Israel, wakiwemo wanasiasa watatu na maafisa…
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) Mohammad Baqir Qalibaf amesema kuwa muqawama wa kishujaa wa taifa la Iran kwa muda wa siku 70 umekuwa msukumo katika…
Mshauri wa ngazi ya juu wa Kiongozi Muadhamu: Uvumilivu haupo siku zote/ Azitahadharisha nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi
Felicien Kabuga, aliyekuwa ameshtakiwa kwa kufadhili mauaji ya kimbari ya 1994 dhidi ya Watutsi nchini Rwanda, jana Jumamosi alifariki dunia katika hospitali huko The Hague, nchini Uholanzi akiwa na umri…
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeainisha mlipuko wa virusi vya Ebola vya Bundibugyo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Uganda kama dharura ya afya ya umma inayotia wasiwasi kimataifa.
Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa imelaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na Israel dhidi ya wafungwa wa Kipalestina, ikitaka kufanyike uchunguzi huru,…
Leo ni Jumapili tarehe 29 Mfunguo Pili Dhulqaada 1447 Hijria inayosadifiana na tarehe 17 Mei, 2026.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amemsihi mwandishi anayepinga ukoloni, Aimé Césaire, kulaani uozo wa maadili, unafiki na kushindwa kwa nchi za Magharibi kukabiliana na migogoro iliyotokana…
Jaji wa Ufaransa atachunguza mauaji ya mwandishi wa habari wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi mwaka 2018 kufuatia malalamiko yaliyowasilishwa na mashirika kadhaa ya kutetea haki za binadamu dhidi ya Mwanamfalme…