Araghchi: Kujitokeza mamilioni Siku ya Quds ni ishara ya azma thabiti ya Wairani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kwamba: “Taifa la Iran, kwa umoja na mshikamano, litaendelea kusimama pamoja na misingi na malengo yake, na halitarudi nyuma kamwe.”