Pezeshkian: Hatua ya Marekani dhidi ya Venezuela ni uzushi hatari unaotishia amani ya dunia
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amekosoa na kulaani waziwazi vitendo haramu vya Marekani katika eneo la Karibi, akisema: "Kitendo cha serikali ya Marekani cha kutuma meli za kivita huko Karibi…