Ethiopia yaituhumu Eritrea kuwa inajiandaa kuanzisha vita dhidi yake
Ethiopia imeituhumu Eritrea kuwa inajiandaa kuanzisha vita dhidi yake. Ethiopia imetoa tuhuma hizi dhidi ya Eritrea ikiwa ni ishara ya karibuni ya kushtadi mvutano katika nchi mbili hizo jirani kuhusu…