Wajumbe wa Lebanon na Israel wanakutana jijini Washington kwa mazungumzo
Wawakilishi wa Lebanon na Israel wanakutana Washington leo Jumanne, Aprili 14, chini ya upatanishi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio, kwa ajili ya mazungumzo ya awali…