Mashariki ya Kati: Lebanon yaishutumu Israel kwa kukiuka makubaliano mapya ya kusitisha mapigano
Makubaliano ya kusitisha mapigano ya siku kumi kati ya Israel na Lebanon yameanza kutekelezwasiku ya Alhamisi, Aprili 16, 2026, saa 3:00 usiku, baada ya kutangazwa na Rais wa Marekani Donald…