Wanaanga wa Artemis II watua salama baada ya kukamilisha safari ya kihistoria mwezini
Nasa imesifia mbinu iliyotumiwa na wanaanga hao wanne kutu katika bahari ya Pacific baada ya kusafiri umbali ambao haujawawahi kufikiwa na binadamu yeyote.
Nasa imesifia mbinu iliyotumiwa na wanaanga hao wanne kutu katika bahari ya Pacific baada ya kusafiri umbali ambao haujawawahi kufikiwa na binadamu yeyote.
Makamu wa Rais wa Marekani J.D. Vance yuko njiani kuelekea Pakistan Jumamosi, ambapo mazungumzo kati ya Marekani na Iran yatafanyika huku kukiwa na hali ya kutoaminiana. Mazungumzo hayo yanalenga kukomesha…
Baada ya safari ya kihistoria ya kuzunguka Mwezi, wanaanga wanne wa misheni ya Artemis II wamekamilisha safari yao angani siku ya Ijumaa jioni, Aprili 11, 2026, kwa kushuka kwa mafanikio…
Tottenham iko kwenye nafasi nzuri ya kumsajili Andy Robertson, Manchester City katika mazungumzo ya Morten Hjulmand na Arsenal inawafuatilia Anthony Gordon na Kees Smit wanaowaniwa na klabu zingine za Ligi…
Chama tawala kimewasilisha muswada wa sheria ambao unawanyima wapiga kura nafasi ya kumchagua rais.
Mwanasiasa huyo mwenye umri wa miaka 64 amewahi kushika nafasi muhimu katika uongozi wa Iran, lakini majaribio yake ya kugombea urais hapo awali yaliishia kushindwa.
Watu hao wamehukumiwa kifungo cha kati ya miezi tano na sita kwa kusambaza taarifa zinazodaiwa kuwa za uongo za nyeti zao kupotea baada ya kushikwa bega.
Akitumwa na Donald Trump, J.D. Vance anatarajiwa nchini Pakistan kuongoza mazungumzo yanayolenga kubadilisha makubaliano dhaifu ya kusitisha mapigano ya wiki mbili kuwa makubaliano ya amani ya muda mrefu. Katika siku…
Israel inasema kuwa Lebanon haijajumuishwa katika makubaliano ya kusitisha mapigano ambayo Marekani ilikubaliana nayo ili kusitisha vita na Iran.
Israel na Lebanon zinatarajiwa kukutana mjini Washington wiki ijayo wakati mvutano ukiongezeka kutokana na mapigano yakiendelea nchini Lebanon na hofu inayoongezeka kwamba usitishaji mapigano dhaifu kati ya Marekani na Iran…
Chombo hicho cha Orion kitaingia kwenye anga ya dunia kwa kasi ya zaidi ya kilomita 40,000 kwa saa.
Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Alhamisi amewashambulia kwa maneno makali viongozi kadhaa wenye msimamo mkali wa mrengo wa kulia, wakiwemo baadhi ya wananadharia wa njama, ambao rais wa…
Gustato Petro amemrejesha nyumbani balozi wa Colombia nchini Ecuador, akimtaka arudi Bogotá “mara moja,” kufuatia uamuzi wa Quito wa kuongeza ushuru kwa bidhaa za Colombia kwa 100%. Imechapishwa: 10/04/2026 –…
Mazungumzo ya awali yasiyo ya moja kwa moja, yatakayosimamiwa na mamlaka ya Pakistan, yamepangwa kuanza kesho kati ya Iran na Marekani, ambazo zina siku kumi na tano kufikia makubaliano ya…
Trump pia alionya kuwa mataifa yanayoiuzia Iran silaha zitawekewa vikwazo vya 50% kwa bidhaa zao zinazouzwa nchini Marekani.
Afisa mmoja wa Marekani alisema kuwa mpango wa kusitisha mapigano wenye pointi kumi uliochapishwa na Iran sio masharti sawa na ambayo Ikulu ya Marekani ilikubali ili kumaliza vita.
Inaripotiwa kwamba Ethiopia inaunga mkono vikosi vya kijeshi vya Jenerali Hemedti, ambao wamekuwa wakipigana na jeshi la Sudan kwa karibu miaka mitatu, kulingana na ripoti ya Maabara ya Utafiti wa…
Wanachi wa Djibouti wanapiga kura leo Ijumaa, Aprili 10, kumchagua rais wao. Ismaïl Omar Guelleh, aliye madarakani tangu 1999, anagombea muhula wa sita. Anayemkabili ni Mohamed Farah Samatar, ambaye anawakilisha…
Hili limewadia huku Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akisema serikali yake inaanza mazungumzo ya moja kwa moja na Lebanon.
Mashambulizi yalmelenga vituo vya kijeshi huko Benisheikh, Pulka, na Munguno, kaskazini mashariki mwa Nigeria, kitovu cha uasi wa wanajihadi kwa zaidi ya miaka 17, usiku wa Jumatano, Aprili 8, kuamkia…
Bunge la Kenya limeidhinisha kuidhinishwa kwa makubaliano ya pande mbili na Ufaransa siku ya Alhamisi, Aprili 9, yaliyosainiwa mwezi Oktoba 2025. Mchakato rasmi wa kuidhinishwa sasa uko mikononi mwa serikali.…
Kulingana na mamlaka ya nishati duniani EIA, Iran ina hifadhi kubwa ya mafuta ghafi duniani.
Morgan Rogers anatarajiwa kuwa kitovu cha vita kubwa ya usajili katika majira haya ya kiangazi, Juventus wana matumaini makubwa ya kumsajili Alisson Becker, huku wamiliki wa Liverpool wakiamini kuwa Arne…
Watu 12 wakiwemo watoto sita wameuawa Kaskazini mwa jimbo la Darfur nchini Sudan, baaada ya kushambuliwa na ndege isiyokuwa na rubani katika mji wa Kutum. Imechapishwa: 09/04/2026 – 17:22 Dakika…
Hatua ya Israeli, kuendelea kutekeleza mashambulio mazito nchini Lebanon, kunazua maswali iwapo mkataba wa kusitisha vita kwa wiki mbili kati ya Marekani na Iran, utaendelea kutekelezwa. Imechapishwa: 09/04/2026 – 16:52Imehaririwa:…
Marekani inawataka raia wake kufikiria tena kuzuru Nigeria, kwa sababu za kiusalama, kutokana na matukio ya ugaidi, machafuko na utekaji. Imechapishwa: 09/04/2026 – 16:41 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo…
Ila Pakistan ikiwa mwenyeji wa mazungumzo hayo, swali la kujiuliza ni iwapo matakwa muhimu za kila pande zitakubalika.
Mwaka wa 1968, Bill Anders, mmoja wa wanamisheni wa Apollo 8, alipiga picha ya Dunia ambayo iliandika historia, kuathiri maisha ya wengi, na kuhamasisha kizazi kizima.
Leo Aprili 9, 2026, imetimia mwaka mmoja tangu Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania (CHADEMA), kukamatwa na kuwekwa gerezani kwa mashtaka ya uhaini na uchochezi.
Makubaliano dhaifu kati ya Iran na Marekani yanaingia siku yake ya pili leo Alhamisi, huku jumuiya ya kimataifa ikiwa na wasiwasi kwamba mashambulizi mabaya ya Israel dhidi ya Lebanon yanaweza…
Madagascar imetangaza hali ya dharura ya nishati. Uamuzi huo ulichukuliwa Jumanne, Aprili 7, katika mkutano wa baraza la mawaziri usio wa kawaida. Serikali inahalalisha hatua hii, ikisema katika taarifa kwa…
Licha ya kuwepo na makubaliano, vita vinaweza kuendelea baada ya vipengele vilivyokubaliwa kutotekelezwa.
Jeshi la Nigeria limetangaza Jumapili, Aprili 5, kwamba liliwaokoa waumini 31 waliotekwa nyara wakati wa sherehe za Pasaka katika kijiji cha Ariko, katika Jimbo la Kaduna, kaskazini magharibi mwa Nigeria.…
Imekuwa mwezi mmoja tangu AFC/M23 itangaze kuachiliwa kwa takriban wanajeshi 5,000 wa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (FARDC), kulingana na takwimu zake, au 2,700 kulingana na vyanzo vingine.…
Kikao cha kusikiliza kesi kilichopangwa kufanyika siku ya Jumatano, Aprili 8, jijini Paris, siku moja baada ya kufunguliwa kwa maadhimisho ya kila mwaka ya mauaji ya kimbari ya Watutsi nchini…
Wakati wa ziara yake katika nchi ya Simba wa Teranga, ambao taji lao la Kombe la Mataifa ya Afrika lilifutwa na bodi ya rufaa ya Shirikisho la Soka la Afrika…
Iran inaonya kuwa itajibu ikiwa Israel haitasitisha mara moja mashambulizi dhidi ya Lebanon, ambapo takriban watu 182 wameuawa.
Ushiriki wa timu ya taifa ya Eritrea katika michuano ya awali kufuzu kucheza fainali za kombe la mataifa ya Afrika, sasa umeleta maswali zaidi baada ya wachezaji wake 7 kuzamia…
Kulingana na RFI, mfululizo wa mikutano umepangwa nchini Qatar kuanzia Aprili 13 hadi 17, mradi vikwazo kadhaa vitaondolewa. Katika ajenda: kuanza tena mazungumzo ya moja kwa moja kati ya pande…
Gambia imemteua mwendesha mashtaka maalumu ikiwa ni karibu miaka miwili tangu ilipotangaza kuunda nafasi hiyo kwa ajili ya kuendesha kesi za uhalifu uliotekelezwa wakati wa utawala wa kikatili wa kiongozi…
Taarifa iliyotolewa na Baraza Kuu la Usalama wa Kitaifa la Iran inasema Iran imefanikiwa katika malengo yake karibu yote katika vita hivi, na adui ameshindwa. Ni kweli?
Arsenal inawasaka mabeki Victor Valdepenas na Jacobo Ramon, Borussia Dortmund wanafikiria kufanya jaribio la tatu kumsajili Jadon Sancho, na Tottenham wanamtaka kipa James Trafford.
Baada ya Marekani na Iran kukubaliana kusitisha vita kwa wiki mbili, ili kupisha mazungumzo, Tehran sasa inatarajiwa kufungua mlango wa Bahari wa Hormuz siku ya Alhamisi au Ijumaa, kuruhusu meli…
Meli yenye urefu wa futi 820 (mita 250) imebeba mizigo ya thamani kutoka Venezuela ikielekea Marekani – ni mapipa 400,000 ya mafuta ghafi.
Mafuta haya yanaweza kusababisha matatizo makubwa ya kiafya kama shinikizo la damu, kiwango cha juu cha sukari mwilini, na matatizo ya lehemu (cholesterol). Magonjwa haya hutokana na mafuta yanayokusanyika kwenye…
Waziri Mkuu wa Pakistani Shehbaz Sharif, ambaye ndiye mpatanishi, alisema mapema Jumatano kwamba usitishaji mapigano umeanza mara moja.
Tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu usitishaji wa mapigano kwa wiki mbili na Iran, sasa linatoa nafasi ya kujadiliana kuhusu agenda 10 zilizopendekezwa na Tehran kumaliza vita. Nini…
Akizungumza na vyombo vya Habari jijini Dar es Salaam leo, Jaji Chande alisema kuwa tume hiyo ina mamlaka kamili ya mwisho juu ya ripoti yake na haitoi nafasi kwa mtu…
Ndege ya "Doomsday" inaweza kuwa kwenye mashambulizi kwa siku saba mfululizo bila kutua.
Marekani inafikiria “mazungumzo ya ana kwa ana” na Iran, msemaji wa Ikulu ya White House Karoline Leavitt amesema, baada ya Washington na Tehran kukubaliana kusitisha mapigano kwa wiki mbili badala…