DRC: Michakato ya amani yazidi kudhoofika baada ya shambulio la ndege zisizo na rubani Goma
Mlipuko kwenye makazi ya raia siku ya Jumatano, Machi 11, katika jiji la Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, umezua hasira. Wakati mfanyakazi wa misaada, raia wa Ufaransa,…