Senegal: PASTEF kujitenga dhidi ya Muungano wa ‘Diomaye rais’
Nchini Senegal, chama tawala, PASTEF, kimeamua kuchukuwa msimamo dhidi ya muungano wa “Diomaye rais”. Wakati mzozo ukiongezeka kati ya Rais Bassirou Diomaye Faye na Waziri wake Mkuu, Ousmane Sonko, maafisa…