Coastal yaipangia mikakati Singida BS
COASTAL Union ipo kambini ikiendelea kujipanga na mchezo ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Black Stars, huku kocha wa Wagosi hao, Fikiri Elias, akifunguka namna anavyotaka kuwakabili wapinzani…
COASTAL Union ipo kambini ikiendelea kujipanga na mchezo ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Black Stars, huku kocha wa Wagosi hao, Fikiri Elias, akifunguka namna anavyotaka kuwakabili wapinzani…
BONDIA wa kulipwa wa Tanzania, Ibrahim Mgender maarufu kama Ibra Class, ameweka malengo ya kushinda mataji makubwa ya kimataifa baada ya kutwaa mikanda miwili ya Kimataifa ya uzito wa super…
UNAPOFIKA Pemba kuna mambo mengi. Yapo mandhari na hadithi zake. Lakini, katika michezo kuna mchezo maarufu mchezo wa ng'ombe ambao zamani ulichezwa zaidi katika kipindi cha mavuno na umekuwa sehemu…
ACHA wauane. Ndivyo unavyoweza kuelezea kufuatia tambo za makocha wa Mbeya City, Salum Mayanga na Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ wa Mashujaa katika vita ya pointi tatu za mchezo wa Ligi Kuu…
Usiku wa hukumu Zanzibar, Yanga kutetea au Simba kutwaa ubingwa Muungano Cup? LEO ni siku ya hukumu hivyo usilale mapema. Ikifika saa 2:15 usiku hakikisha umeshapata chakula na kumaliza shughuli…
KAMATI ya Mashindano ya Kombe la Muungano imepindua meza, baada ya kufuata mwamuzi Kenya wa kuamua mchezo wa Fainali kati ya Yanga dhidi ya Simba.
KOCHA wa Mashujaa, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ameichimbia mkwara mzito Mbeya City, akisisitiza kikosi chake kimejipanga kikamilifu kuondoka na pointi tatu dhidi yao.
INGAWA jina la kiungo wa Yanga, Duke Abuya haliimbwi mara kwa mara na mashabiki, lakini kuna mafundi wa mpira wa miguu wakongwe wameona anachokifanya ni kikubwa na kina matokeo chanya…
LEO ni siku ya hukumu hivyo usilale mapema. Ikifika saa 2:15 usiku hakikisha umeshapata chakula na kumaliza shughuli zako zote, kisha jicho lako litazame mechi kubwa ya siku wakati Yanga…
WAKATI presha ya mchezo wa Kariakoo Dabi kwenye Fainali ya Kombe la Muungano ikizidi kupanda, benchi la ufundi la Yanga limetaja wachezaji wawili watakaowakosa.
WAKATI upepo ukionekana kukata kwa Barberian na Hausung kwenye Ligi ya Championship, hesabu za vidole zimeanza kwa timu za Geita Gold na Kagera Sugar kwenye vita ya kurejea Ligi Kuu…
BAADA ya kupigwa mechi sita za raundi 15 ya Ligi Kuu ya Wanawake (WPL), ligi hiyo imesimama kwa siku takribani 18 hadi Mei 14 mwaka huu itakapoendelea.
KITUO cha Soka cha Tigana Lukinja Football Academy kimefanikiwa kutwaa ubingwa kwenye mashindano ya Gurdian Angles Olympafrica chini ya umri wa miaka 20, baada ya kuifunga Lion kwa penalti 6-5.
KOCHA Mkuu wa Mwenge, Mohamed Said ‘Shuberi’ amesema kinachozifanya timu Zanzibar zionekane dhaifu zinapokutana na za Tanzania Bara ni maandalizi mabovu yanayofanywa.
JAPOKUWA Singida Black Stars iliondolewa na Mlandege kwa kufungwa mabao 2-1 katika michuano ya Kombe la Muungano hatua ya robo fainali, lakini kocha wa timu hiyo, Muhibu Kanu amesema walitoka…
WAKATI Kocha Mkuu wa Mbeya City, Salum Mayanga akieleza mkakati wa kuirejesha kwenye fomu timu hiyo, kiungo mshambuliaji kikosini hapo, Hassan Dilunga amekoleza utamu akitangaza kiama kwa mechi zilizobaki.
MSHAMBULIAJI wa Mashujaa, Jafari Kibaya, amesema ana imani kubwa na Kocha Mkuu, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ kuwa atairejesha timu hiyo kwenye ubora wake na kuifanya kuwa ngumu kufungika katika michezo yao…
Baada ya kutoonekana uwanjani kwa takribani miezi mitatu, hatimaye straika wa Mbeya City, Yacouba Songne amerejea na kuanza mazoezi mepesi akitumia takribani dakika 60 kujifua.
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Clement Mzize, ametajwa miongoni mwa wanamichezo watatu bora walioteuliwa kuwania Tuzo ya Mwanamichezo Bora wa Mwaka 2025 inayotolewa na Baraza la Michezo la Taifa (BMT), akitarajiwa kukutana…
PRESHA ya Dabi ya Kariakoo imezidi kupanda baada ya timu za Yanga na Simba kukutana Fainali ya Kombe la Muungano itakayochezwa Jumatano Aprili 29, 2026, kisha Mei 3 mwaka huu,…
KIUNGO wa Simba, Neo maema amefunguka kwamba kuna raha yake kucheza mchezo mkubwa wa Dabi ya Kariakoo ikiwa na tofauti kubwa na dabi zingine kubwa ambazo amewahi kucheza.
Simba imeichapa Mlandege kwa mabao 3-0 katika Uwanja wa New Amaan ikiifuata Yanga kwenye fainali ya Kombe la Muungano.
KATIKA kuunga mkono dhamira ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ya kuendeleza michezo yote nchini kwa vitendo, Shule ya kimataifa ya Monti International School imetangaza kuandaa…
KATIKA kuunga mkono dhamira ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ya kuendeleza michezo yote nchini kwa vitendo, Shule ya kimataifa ya Monti International School imetangaza kuandaa…
KATIKA kikosi cha Mashujaa, licha ya kuwa na washambuliaji wenye uzoefu na Ligi Kuu Bara, lakini linapokuja suala la kucheka na nyavu, kumekuwa na changamoto hali inayofanya viungo nao kuchukua…
KIUNGO mshambuliaji ENPPI, Arafat Masoud ‘Kondeboy’, amesema ameanza kuelewa ushindani wa soka la Misri baada ya kujiunga na klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu na anahitaji kupambana zaidi ili kupata nafasi…
KIUNGO mshambuliaji wa Kitanzania anayekipiga Fouad FC inayoshiriki Ligi Daraja la Pili Misri, Oscar Evalisto amesema tangu alipojiunga na timu hiyo dirisha dogo la usajili, amekutana na ushindani mkubwa wa…
KUNA uwezekano kiungo wa Kitanzania, Alphonce Mabula anayekipiga Shamakhi FC ya Ligi Kuu Azerbaijan akatimkia Kasımpaşa Spor Kulubu ya Uturuki.
MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya Twiga Stars na Al Nassr ya Saudia, Clara Luvanga ameingia kwenye kitabu cha rekodi cha wachezaji wa kigeni waliofunga mabao mengi Ligi Kuu Saudi…
UONGOZI wa Junguni United inayoshiriki Ligi Kuu Zanziabar, umesema hauna uhakika wa kusafiri kwa ajili ya mechi mbili za mzunguko wa 25 na 26 kutokana na hali mbaya ya kiuchumi…
KOCHA Mkuu wa timu ya Mwenge, Mohammed Saidi 'Shuberi' amesema timu hiyo imeongezeka kiwango huku ikiwa na mikakati ya kurudi Ligi Kuu Zanzibar (ZPL).
MSHAMBULIAJI wa Fufuni, James Mlange amesema amejisikia vizuri kufunga hat trick katika mchezo wa Ligi Kuu Zanzibar dhidi ya Junguni, huku akipanga kuweka rekodi msimu huu.
KUMEKUWA na wimbi la waamuzi Zanzibar kushambuliwa na mashabiki wakati wa mechi, huku Bodi ya Ligi Zanzibar (ZBL) ikitaja sababu kuu inayochangia hali hiyo.
KUNA msimamo umetolewa na mabosi wa Yanga kisha akafuata kocha wa timu hiyo na kila mmoja utawahusu Simba wakisema hawana shida kama kutakuwa na dabi mbili ndani ya siku 10.
KUNA msimamo umetolewa na mabosi wa Yanga kisha akafuata kocha wa timu hiyo na kila mmoja utawahusu Simba wakisema hawana shida kama kutakuwa na dabi mbili ndani ya siku 10.
WAKATI Yanga ikiwa uwanjani dhidi ya Azam basi jukwaani kulikuwa na makocha watatu wa Simba akiwemo bosi wao, Steve Barker na wasaidizi wake wawili wakizisoma timu hizo mbili.
KOCHA wa Yanga Princess, Edna Lema amesema ameshtushwa na uamuzi wa kupewa kadi nyekundu katika mechi ya Ligi Kuu ya Wanawake dhidi ya Alliance Girls uliochezwa Uwanja wa Nyamagana.
BEKI wa Fountain Gate Princess, Lucy Pajero amesema kukabiliana na washambuliaji wa Simba Queens, JKT Queens na Yanga Princess ni moja ya changamoto kubwa anayokutana nayo katika ligi hiyo.
KOCHA wa Ceasiaa Queens, Ezekiel Chobanka amesema marekebisho ya ratiba ya Ligi Kuu ya Wanawake yamekuwa na msaada mkubwa kwa timu za madaraja ya kati na zile zisizo na uwezo…
KAIMU Kocha Mkuu wa Tausi FC, Martin Hammel amesema licha ya timu hiyo kuonyesha kiwango kizuri uwanjani, bado kuna maeneo kadhaa yanahitaji maboresho kabla ya kurejea kwenye mechi zijazo.
KOCHA wa Transit Camp, Vicent Barnabas amesema ataendelea kusimamia malengo ya timu hiyo ya kuhakikisha inapanda Ligi Kuu Bara msimu ujao licha ya ushindani mkubwa uliopo Ligi ya Championship, hususan…
BEKI wa kati wa Bigman FC, Better Abdallah Mnyamisi amesema malengo ya timu hiyo kwa sasa ni kupigania nafasi ya kubaki Ligi ya Championship msimu ujao, baada ya waliyoweka awali…
KIUNGO mshambuliaji wa maafande wa Polisi Tanzania, Issa Abushehe 'Messi' amesema kwa sasa timu hiyo ina morali mkubwa kuanzia kwa wachezaji, viongozi na benchi la ufundi, kutokana na mwenendo mzuri…