Msichana anayewasaidia watoto wenye usonji
12.09.202512 Septemba 2025 Caroline Kennedy amejiweka katika mstari wa mbele kusaidia watoto wenye usonji akionekana kama mtetezi wa kundi hilo lililosahaulika. Kujitoa kwake kwa jamii hakutazamwi tu kama juhudi binafsi,…