TBS marks 50 years with major national events
DAR ES SALAAM: The Tanzania Bureau of Standards (TBS) is set to celebrate its Golden Jubilee, marking 50 years since its establishment in 1975, through a series of major national…
Tanzania sees revenue from ecotourism surpasses 3bn/- due to sharp rise in number of visitors
DODOMA: REVENUE generated from ecotourism attractions managed by the Tanzania Forest Services Agency (TFS) has surpassed 3bn/-, driven by a sharp rise in number of visitors and growing interest in…
Viongozi wa kidini wamesisitizwa kufata utaratibu wa kupata Reseni za kufungisha ndoa kwa waumini wao ikiwa ni sehemu ya kukidhi…
Viongozi wa kidini wamesisitizwa kufata utaratibu wa kupata Reseni za kufungisha ndoa kwa waumini wao ikiwa ni sehemu ya kukidhi matakwa ya sheria juu ya ufungishaji wa ndoa. Wakili serkali…
Saratani ya macho hatari kwa watoto, Serikali yasisitiza uchunguzi wa mapema
Serikali imewataka wazazi na walezi kuwahi kuwapeleka watoto hospitalini mara wanapoona dalili...
Mlipuko wa Ebola Congo: Watu 65 wafariki kufuatia maambukizi mapya katika Mkoa wa Ituri
Mlipuko mpya wa Ebola umethibitishwa katika jimbo la Ituri mashariki mwa Congo, huku watu kadhaa wakifariki na zaidi ya visa 200 vikiripotiwa. CDC Afrika imetoa onyo
Aliyekuwa Mkuu wa Gereza Ukonga, wenzake wakutwa na kesi ya kujibu
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemkuta na kesi ya kujibu aliyekuwa Mkuu wa Gereza la Ukonga...
Jarida la Time lamtaja Mo Dewji miongoni mwa wahisani bora 100
Jarida la Time limemwelezea Dewji kama mmoja wa mabilionea vijana wa Afrika mwenye dhamira ya...
Mwili wa Dkt. Obwaka wawasili kijijini kwao kuzikwa, anga yatikiswa kwa vilio vikuu
Wapendwa walikusanyika nyumbani kwa Dkt. Job Obwaka huko Kakamega kuomboleza mkurugenzi wa zamani wa Hospitali ya Nairobi aliyeaga dunia kwa maradhi ya moyo.
Mazoezi ya pamoja ya usalama ya EAC yafunguliwa Nairobi
Zoezi la 14 la vikosi vya ulinzi la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) limefunguliwa jijini...
Wahitimu Taasisi ya Uongozi wahimizwa ubunifu
DAR ES SALAAM :WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amewataka wahitimu Taasisi ya Uongozi kuwa waadilifu, wabunifu na uthubuti katika kazi…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,.Albert Chalamila amesema hakuna miujiza yoyote katika kutafuta fedha na kwamba vijana hawana budi…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,.Albert Chalamila amesema hakuna miujiza yoyote katika kutafuta fedha na kwamba vijana hawana budi kufanya kazi. RC Chalamila amesema hayo leo Alhamisi, Mei 14,2026…
“….rika ya vijana lote lipo kwenye hii mitandao ya kijamii tunayozungumza moja wapo ya njia ya kupata habari kama njia mojawap…
"....rika ya vijana lote lipo kwenye hii mitandao ya kijamii tunayozungumza moja wapo ya njia ya kupata habari kama njia mojawapo ya mawasiliano kama njia mojawapo ya watu ukiacha mawasiliano…
“…..mitandao ya kijamii tunaweza kusema kwamba ni jukwaa ambalo kutokana na mabadiliko ya kitabia ufumbuzi umekuwa ni mkubwa san…
"…..mitandao ya kijamii tunaweza kusema kwamba ni jukwaa ambalo kutokana na mabadiliko ya kitabia ufumbuzi umekuwa ni mkubwa sana kupitia creativity za watu wameweza kuvumbua teknolojia ambapo ukuaji wa teknolojia…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema mkanda mzima wa tukio la mauaji ya kijana James mwanafunzi wa chuo aliye…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema mkanda mzima wa tukio la mauaji ya kijana James mwanafunzi wa chuo aliyeuawa kisha kichwa chake kutoweka itawekwa hadharani hivi…
Maonyesho ya utalii kuwakutanisha wadau Arusha
Waonyeshaji Zaidi ya 500 wanatarajiwa kushiriki maonyesho ya kimataifa ya utalii ya...
Tanzania yaimarisha sheria za ushindani kuvutia wawekezaji
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Aristides Mbwasi, amesema sera madhubuti ya...
Natural Resources and Tourism Ministry unveils priorities in its 2026/27 budget
DODOMA: THE Ministry of Natural Resources and Tourism has tabled its budget speech in Parliament alongside the estimates of revenue and expenditure for the 2026/2027 financial year, outlining key priorities…
Kihongosi: Maamuzi ya vikao yaheshimiwe
TARIME: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amesema msingi wa chama chao ni vikao, hivyo maamuzi yanayotolea katika vikao yanapaswa kuheshiwa.…
Bodaboda aliyeuawa Morogoro alichomwa na kitu chenye ncha kali juu ya jicho
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Andrew Kantimbo amesema uchunguzi wa awali umebaini kuwa...
Tanzania records 67.85 percent increase in the volume of exported honey
DODOMA: THE Tanzanian government has announced that the volume of honey exported has increased by 67.85 percent in 2025, reflecting growth in the beekeeping sector and rising competitiveness of the…
#HABARI: Mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya mwaka mmoja kati ya ndugu watatu wa familia moja na mjomba wao wa Kijiji cha Buk…
#HABARI: Mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya mwaka mmoja kati ya ndugu watatu wa familia moja na mjomba wao wa Kijiji cha Bukamba Kata ya Lyabusalu wilayani Shinyanga uliodumu…
Yanga complete its stadium’s architectural drawings and layout
DAR ES SALAAM: YOUNG Africans’ President, Hersi Said, has said that significant progress has been made to ensure the construction of the club’s modern stadium follows a contemporary design that…
#HABARI: Mtendaji wa Kijiji cha Idiwili Halmashauri ya Mbozi Mkoani Songwe amejikuta katika wakati mgumu baada ya wananchi wa Ki…
#HABARI: Mtendaji wa Kijiji cha Idiwili Halmashauri ya Mbozi Mkoani Songwe amejikuta katika wakati mgumu baada ya wananchi wa Kijiji hicho kutoa malalamiko yao kwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe…
Maabad amvaa Fei Toto
WAKATI Kiungo wa Azam, Feisal Salum 'Fei Toto' akifikisha mabao 11 na kuendelea kuongoza katika orodha ya wafungaji bora katika Ligi Kuu Bara, straika wa Coastal Union, Maabad Maulid amesema…
🔴MEZA HURU=- UMUHIMU WA MITANDAO YA KIJAMII KWENYE KULETA UMOJA-.MEI 15, 2026
🔴MEZA HURU=- UMUHIMU WA MITANDAO YA KIJAMII KWENYE KULETA UMOJA-.MEI 15, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Tanzania completes the 2nd national wildlife census using domestic funding for the first time
DODOMA: THE Ministry of Natural Resources and Tourism has announced the successful completion of Tanzania’s second national wildlife census using domestic funding for the first time, a move described as…
Nsajigwa aanza mikwara Tanzania Prisons
BAADA ya kukosa ushindi katika michezo tisa aliyosimamia, hatimaye Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Shadrack Nsajigwa ameonja pointi tatu za kwanza Ligi Kuu Bara tangu ajiunge na timu hiyo Februari…
Hospitali Cuba zasitisha upasuaji, wagonjwa zaidi ya 100,000 wasubiri matibabu
Hali si hali nchini Cuba, hospitali zimesitisha upasuaji, zinashindwa kuendesha vifaa muhimu na zinakabiliwa na uhaba mkubwa wa dawa, huku kukatika kwa umeme na uhaba wa mafuta vikizidisha mzozo wa…
Kuvurugika kwa nishati na minyororo ya ugavi kunatishia maendeleo ya Dunia – ECOSOC
Umoja wa Mataifa umeonya kuwa kuvurugika kwa upatikanaji wa nishati na minyororo ya ugavi duniani kunatishia ukuaji wa uchumi na maendeleo endelevu, hasa katika nchi zinazoendelea. Onyo hilo limetolewa wakati…
Baraza la Usalama: Syria yaonesha maendeleo katika uwajibikaji
Nchini Syria, “tumeshuhudia maendeleo kuelekea uwajibikaji na ushirikiano endelevu wa kimataifa na kikanda,” amesema Claudio Cordone Naibu Mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Syria akizungumza leo kwenye kikao cha…
WHO yaonya ongezeko la matumizi ya mifuko ya nikotini miongoni mwa vijana duniani
Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani, WHO yaonya ongezeko kubwa la matumizi ya mifuko ya nikotini duniani. WHO yasema bidhaa hizo zinawalenga vijana na watoto kupitia matangazo ya…
Janga la njaa na utapiamlo Somalia vya yasumukuma mashirika ya UN kutoa kauli
Mashirika manne ya Umoja wa Mataifa, yametoa onyo kali kuhusu hali ya ukosefu wa chakula inayoongezeka kwa kasi nchini Somalia ambayo tayari imewasukuma watu milioni 6, sawa na asilimia 31…
Ebola tena Ituri, WHO bega kwa bega na DRC kuuthibiti ugonjwa huo hatari
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani, WHO limetangaza kuipa usaidizi kamili Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kufuatia kuthibitishwa kwa mlipuko mpya wa ugonjwa wa Ebola katika jimbo…
Tunisia yathibitishwa na WHO kutokomeza ugonjwa wa vikope katika jamii
Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani, WHO, limethibitisha rasmi kuwa nchi ya Tunisia imefanikiwa kutokomeza ugonjwa wa vikope, unaojulikana pia kama Trakoma, kama tatizo la afya ya jamii.…
UN: Ukosefu wa usawa ni pigo kwa familia na ustawi wa watoto 2026
Umoja wa Mataifa umetaka uwekezaji mkubwa zaidi katika sera zinazolenga familia huku pengo la ukosefu wa usawa likiendelea kuathiri maisha na mustakabali wa mamilioni ya watoto duniani.
Dakika tatu zamuumiza Baraza
KOCHA wa Pamba Jiji, Francis Baraza, ameonyesha kuumizwa na matokeo ya mchezo dhidi ya Azam baada ya kikosi chake kupoteza umakini katika dakika tatu za mwisho zilizokwenda kuamua mshindi.
Wakili Marathon coming to fight NCDs threat, expand access to legal aid services
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Public Bar Association (PBA) has organized the Wakili Marathon aimed at promoting physical exercise in the fight against non-communicable diseases while also expanding access to…
Erick Mwijage katika rada za Pamba Jiji
MABOSI wa Pamba Jiji wameanza kuweka mikakati ya mapema ya kujiimarisha kwa msimu ujao wakimuweka kwenye rada winga wa KMC, Erick Mwijage huku wakisubiri hatma ya timu hiyo kwenye mbio…
Haya hapa wanayopitia wenye unene wa kupindukia
Unene wa kupindukia ni hali ya kiafya inayotokea pale mwili unapokuwa na mafuta mengi kupita...
Nchi gani za kiarabu zina uhusiano wa karibu na Israel?
Israel na Lebanon zimekuwa katika hali ya vita tangu mwaka 1948 wakati Lebanon ilipojiunga na mataifa ya Kiarabu yaliyopinga kuundwa kwa taifa la Israel.
Jarida la Time lamtaja Mo Dewji wahisani bora 100
Mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji, ametajwa katika orodha ya TIME100 Philanthropy 2026 inayotolewa na jarida maarufu duniani la TIME, ikiwa ni kutambua mchango wake kwa jamii kupitia taasisi ya Mo…
Uchaguzi mdogo wa Emurua Dikirr: David Kipsang Keter wa UDA atangazwa mshindi
Mgombea wa chama cha UDA David Kipsang Keter alishinda uchaguzi mdogo wa Emurua Dikirr kwa kura 18,266. Ruto na Gachagua walikuwa wakigombania eneo hilo.
A big boost for Tanzanian tourism after constructing airstrips in Nyerere, Ruaha, and Mikumi Parks
DODOMA: THE Tanzanian government has continued to make significant investments in tourism infrastructure development aimed at strengthening the sector’s competitiveness and increasing its contribution to the national economy. The statement…
Beimbaya apata matumaini mapya B19 FC
LICHA ya ushindani uliopo katika Ligi ya Championship hadi sasa, ila Kocha wa B19 FC, Twaha Beimbaya amesema timu hiyo ina nafasi kubwa ya kuepuka kucheza mechi za 'Play-Off' ya…
Masoud aomba muda Songea United
KOCHA Mkuu wa Songea United ya Songea, mkoani Ruvuma, Juma Masoud amesema anahitaji muda zaidi kwa ajili ya kutengeneza timu ya ushindani, licha ya kutojua hatima yake kwa sasa baada…
UDA cha William Ruto chashinda chaguzi ndogo zote za Mei 14 huko Narok, Samburu na Elgeyo Marakwet
UDA kimeshinda chaguzi ndogo katika kaunti za Narok, Samburu na Elgeyo Marakwet, huku David Keter akishinda Emurua Dikirr katika ishara kuu ya kisiasa kuelekea 2027.
Pointi tatu zamtibulia hesabu Guardiola
BAADA ya Hausung FC kupokwa pointi tatu na mabao matatu, ila kocha wa kikosi hicho, Selemani Kitunda Simota 'Guardiola' amesema bado hawajakata tamaa ya kupambana ili kukitoa kikosi hicho mkiani,…
Jumanne Challe akubali yaishe KenGold
KOCHA Mkuu wa KenGold, Jumanne Challe amesema ni ngumu kwa timu hiyo kushika nafasi nne za juu zitakazoiwezesha kucheza mechi za 'Play-Off' ya kupanda Ligi Kuu msimu ujao, kutokana na…