Hamas: Quds na Msikiti wa Al-Aqsa ndio utambulisho wa Palestina
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kwamba uvamizi wa walowezi wa Kizayuni na kufanya "maandamano ya bendera" huko Quds (Jerusalem) na Msikiti wa Al-Aqsa ni majaribio yaliyoshindwa…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 16, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Masauni: Sera haitoshi uhifadhi wa mazingira
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Hamad Masauni amesema usimamizi na uhifadhi wa...
Siku ya Familia Duniani, huadhimishwa Mei 15 kila mwaka
Siku ya Familia Duniani, huadhimishwa Mei 15 kila mwaka. Familia ndiyo taasisi ya msingi katika ujenzi wa taifa, uchumi na maendeleo ya nchi yoyote duniani. Akizungumza kupitia Mtandao wake wa…
CHE MALONE FONDOH | Alikuwa sehemu ya kikosi cha Simba kilichocheza fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita
CHE MALONE FONDOH | Alikuwa sehemu ya kikosi cha Simba kilichocheza fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita... akalikosa….!! Che Malone Fondoh anacheza tena fainali ya kombe hilo msimu…
AZAM FC: “…malengo yetu ni kufika fainali”
AZAM FC: “…malengo yetu ni kufika fainali”. Azam FC imewasili Kigoma kuwavaa Mashujaa FC, robo fainali Kombe la Shirikisho la CRDB Bank. Mara baada ya kuwasili, kocha wa timu hiyo,…
Mgosi aipongeza Yanga, akiichapa Dar
KAIMU Kocha wa Simba Queens, Mussa Hassan 'Mgosi' amesema walijidhatiti tangu msimu uliopita na walifanya tathmini wapi wamekosa na wakarekebisha kwenye Ligi Kuu ya Wanawake Bara.
TRA UNITED: “…tunatumia usafiri wa anga”
TRA UNITED: “…tunatumia usafiri wa anga”. Kikosi cha TRA United, kimefanya mazoezi leo jijini Arusha kujiandaa na mchezo dhidi ya Simba utakaopigwa Jumapili Mei 17, kwenye Dimba la KMC Complex,…
Shikangwa: Tulijua mabeki Yanga ni wazito, watachanganyikiwa
MFUNGAJI wa mabao mawili kwenye mechi ya dabi ya wanawake, Jentrix Shikangwa wa Simba Queens amesema walijua Yanga ina udhaifu eneo la mabeki na huchanganyikiwa dakika 15 za mwanzo wakipelekewa…
SIMBA SC: “….tuna kazi mbili ambazo ni ngumu kuzifanya kwa wakati mmoja”
SIMBA SC: “….tuna kazi mbili ambazo ni ngumu kuzifanya kwa wakati mmoja". Baada ya kuichapa Mashujaa FC, Simba SC imesema ili waweze kuliondoa ‘gap’ la alama mbili walizoachwa na Yanga,…
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Kinondoni imefanikiwa kudhibiti upotevu wa mapato ya serikali zaidi …
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Kinondoni imefanikiwa kudhibiti upotevu wa mapato ya serikali zaidi ya Shilingi Milioni 500 katika kipindi cha Januari hadi Machi mwaka…
Lengo la kuanzishwa kwa bandari kavu ni kuongeza ufanisi wa bandari kuu kupitia maboresho ya miundombinu wezeshi pamoja na urati…
Lengo la kuanzishwa kwa bandari kavu ni kuongeza ufanisi wa bandari kuu kupitia maboresho ya miundombinu wezeshi pamoja na uratibu mzuri wa michakato ya utoaji na upokeaji wa mizigo. Hata…
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeingia katika ushirikiano wa kimkakati wa kifedha wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni …
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeingia katika ushirikiano wa kimkakati wa kifedha wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 40 na taasisi ya British International Investment (BII) kwa lengo…
Serikali yaonya wanaotumia jina la Dk Nchimbi kutapeli
Onyo hilo limetolewa na Ofisi ya Makamu wa Rais kutokana na uwepo wa utapeli unaofanyika...
Wakazi wa Mtaa wa Mfaume, Kata ya Upanga jijini Dar es Salaam wamelalamikia hali ya kuvuja kwa majitaka kutoka kwenye mifumo ya …
Wakazi wa Mtaa wa Mfaume, Kata ya Upanga jijini Dar es Salaam wamelalamikia hali ya kuvuja kwa majitaka kutoka kwenye mifumo ya vyoo, hali iliyosababisha maji machafu kusambaa barabarani na…
Kauli za wabunge kuhusu gharama za kuwaona madaktari zaiibua MAT
Kauli ya gharama za kumuona daktari kwa wagonjwa, imewaibua madaktari na kueleza kinachoendelea...
Kafulila azungumzia uzazi wa mpango
DAR ES SALAAM: Mkurugenzi Mkuu wa Kituo Cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi David Kafulila amesema changamoto ya uzazi wa mpango ndiyo kikwazo kikubwa cha kiuchumi…
Tanzania imeendelea kuimarisha hadhi yake duniani baada ya mapato ya utalii kufikia dola bilioni 4.4 mwaka 2025 na kushinda tuzo…
Tanzania imeendelea kuimarisha hadhi yake duniani baada ya mapato ya utalii kufikia dola bilioni 4.4 mwaka 2025 na kushinda tuzo mbalimbali za kimataifa, huku Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.…
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amewapongeza Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam,…
90 Tanzania firms register for carbon trading, as it rapidly expands the green economy sector
DAR ES SALAAM: OVER 90 Tanzanian companies have begun registering for carbon trading, as the country experiences a rapid expansion of the green economy sector that has already delivered multi-billion-shilling…
Chama cha ulinzi chalaani mabaunsa kutumika kama walinzi
Chama cha Sekta ya Ulinzi Tanzania (TSIA) kimelaani matumizi ya mabaunsa kwa shughuli za...
Tanzanite Queens yapangwa Kundi la Kifo Kombe la Dunia
Katika droo iliyopangwa leo, Tanzanite Queens imewekwa katika kundi B lenye timu za Brazil...
Simba Queens kibabe Kariakoo Dabi, Yanga Princess chalii
Pointi hizo ni saba zaidi ya zile za Yanga Princess iliyo katika nafasi ya pili na JKT Queens...
Mapato ya misitu yapaa kwa asilimia 43, watalii waongezeka
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umetajwa kuwa miongoni mwa sekta zilizoongeza idadi...
Simba Queens yaichapa Yanga Princess, yalinda rekodi yake
MABAO mawili ya mshambuliaji wa Simba Queens raia wa Kenya, Jentrix Shikangwa aliyofunga dhidi ya Yanga Princess, yameendelea kuiweka timu hiyo kwenye nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu…
Dada mbaroni kwa tuhuma za kumuua kaka yake Ludewa
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linamshikilia mkazi wa Kijiji cha Manga kilichopo wilayani...
Tanzanite Queens yapewa Brazil, England Kombe la Dunia Wanawake U-20
UPANGAJI wa makundi na ratiba kwa ajili ya Fainali za Kombe la Dunia la Wanawake chini ya miaka 20, umeifanya Tanzanite Queens kuangukia Kundi B lenye timu za Brazil, England…
Wabunge waja juu kuhusu fidia athari za wanyama, wizara yataja mikakati
Kilio cha fidia kwa wananchi wanaopisha maeneo ya hifadhi kimeibua mjadala bungeni, huku...
Jiji la Mbeya latumia Sh11.7 bilioni kuboresha elimu na afya
Halmashauri ya Jiji la Mbeya imetumia zaidi ya Sh11.743 bilioni kutekeleza na kuboresha miradi...
PCCB probes 8.23bn/- projects in Singida, recovers 167m/-
SINGIDA: The Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) in Singida Region has helped recover more than 167m/- after inspecting several projects worth 8.23bn/- during the period from January to…
Katibu wa NEC Itikadi uenezi na mafunzo wa chama cha mapinduzi (CCM)Taifa Kenani Kihongosi amewataka viongozi wa serikali kuenzi…
Katibu wa NEC Itikadi uenezi na mafunzo wa chama cha mapinduzi (CCM)Taifa Kenani Kihongosi amewataka viongozi wa serikali kuenzi naono ya baba wa taifa Hayati Mwalimu Julisua Kambarage Nyerere kwa…
Masauni insists on tree planting for sustainable forest and land management
KILOSA: THE Minister of State in the Vice-President’s Office, Hamad Masauni, has said environmental conservation cannot succeed through policies and statements alone, but requires practical action at all levels, including…
Uthabiti wa sekta ya fedha waikuna Serikali, yaipa jukumu CRDB
Serikali imesema sekta ya fedha nchini inaendelea kuonesha ukuaji mkubwa na uthabiti, huku...
Soka kuamua wikiendi, vigogo mzigoni Afrika na Ulaya
NI wikiendi spesho katika ulimwengu wa soka kuanzia ndani ya Tanzania, nje ya mipaka ya nchi hii lakini hapahapa Afrika, pia kule Ulaya napo hapatoshi. Siku hizi mbili kwa maana…
Wikiendi iliyobeba hatma ya Yanga, Simba
NI wikiendi spesho katika ulimwengu wa soka kuanzia ndani ya Tanzania, nje ya mipaka ya nchi hii lakini hapahapa Afrika, pia kule Ulaya napo hapatoshi. Siku hizi mbili kwa maana…
TADB yatoa gawio la Sh8.38 bilioni serikalini
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetoa gawio la Sh8.38 bilioni kwa Serikali, huku...
Uongozi Institute graduates urged to demonstrate integrity, innovation,d boldness in serving Tanzania
DAR ES SALAAM: THE Minister of State in the President’s Office for Public Service Management and Good Governance, Ridhiwani Kikwete, has urged graduates of the UONGOZI Institute to demonstrate integrity,…
Palestine envoy calls for unity in marking the Nakba Day
DAR ES SALAAM: PALESTINIAN Ambassador to Tanzania, Salam Abu Sharar, has called on people across the world to continue remembering Nakba Day, describing it as an important moment in Palestinian…
Yanga to have ultramodern stadium in coming 18 months
DAR ES SALAAM: THE new Young Africans stadium is expected to be completed within 18 to 24 months following the official launch of the project in the Jangwani area of…
Serikali yafungua milango ya uwekezaji Urusi, yakazia fursa za AFCON 2027
Serikali imesisitiza kuwa nchi inaendelea kuboresha mazingira ya biashara na ina fursa kubwa...
TASAF yaimarisha kinga ya jamii kupitia teknolojia
Yajizatiti kutumia zaidi teknolojia katika utekelezaji wa shughuli zake
Barrick-Twiga brightens education future in 401m/- funding
NYANG’HWALE: RESIDENTS of Nyang’hwale District in Geita Region, who have been benefiting from Barrick Bulyanhulu Gold mine funding for many years, continued to benefit from gold mining firms, this time…
Ijumaa, tarehe 15 Mei, 2026
Leo ni Ijumaa tarehe 27 Dhilqaada 1447 Hijria sawa na tarehe 15 Mei mwaka 2026.
Wizara ya Elimu Zanzibar yatengewa Sh1.1 trilioni kutekeleza vipaumbele sita
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar (WEMA), kwa mwaka wa fedha 2026/27, inahitaji...
Tanzania advised to fully harness emerging opportunities to earn 2bn US dollars from carbon trading
DAR ES SALAAM: TANZANIA could earn up to 2bn US dollars annually from carbon trading and other climate-related financing mechanisms if the country fully harnesses emerging opportunities in the global…
Mageuzi ya kilimo: Kwa nini bima ni mhimili wa mkulima wa kisasa
Katika miaka ya hivi karibuni, sura ya kilimo barani Afrika imebadilika kwa kasi kubwa.
Nakuru: Treni yagonga basi la shule lililojaa wanafunzi Gilgil
Wanafunzi kadhaa walijeruhiwa baada ya treni kugonga basi lao huko Gilgil huku mamlaka zikichunguza jinsi jaribio la dereva kuvuka reli lilivyosababisha ajali hiyo.
TBS marks 50 years with major national events
DAR ES SALAAM: The Tanzania Bureau of Standards (TBS) is set to celebrate its Golden Jubilee, marking 50 years since its establishment in 1975, through a series of major national…
Tanzania sees revenue from ecotourism surpasses 3bn/- due to sharp rise in number of visitors
DODOMA: REVENUE generated from ecotourism attractions managed by the Tanzania Forest Services Agency (TFS) has surpassed 3bn/-, driven by a sharp rise in number of visitors and growing interest in…
Viongozi wa kidini wamesisitizwa kufata utaratibu wa kupata Reseni za kufungisha ndoa kwa waumini wao ikiwa ni sehemu ya kukidhi…
Viongozi wa kidini wamesisitizwa kufata utaratibu wa kupata Reseni za kufungisha ndoa kwa waumini wao ikiwa ni sehemu ya kukidhi matakwa ya sheria juu ya ufungishaji wa ndoa. Wakili serkali…