Waziri wa Fedha asisitiza ushirikiano idara za forodha Afrika kukusanya mapato
Waziri wa Fedha Tanzania, Balozi Khamis Mussa Omar amesisitiza ushirikiano wa idara za forodha...
Maonyesho ya tabianchi yaweka wabunifu wa Tanzania katika uangalizi
Mfumo wa ubunifu wa masuala ya tabianchi nchini Tanzania umechukua hatua muhimu mbele kufuatia...
Usajili wa kibabe kunogesha Ligi ya Kikapu Dar (BDL)
WAKATI Ligi ya Mpira wa Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) ikitarajia kuanza kesho kwenye Uwanja wa Don Bosco, Upanga, baadhi ya makocha wamesema timu zilizofanya usajili mkubwa zina…
#MICHEZO: Dodoma Jiji FC wamepokelewa kwa shangwe kubwa baada ya kurejea kutoka Singida kufuatia ushindi wao wa mabao 3-2 dhidi …
#MICHEZO: Dodoma Jiji FC wamepokelewa kwa shangwe kubwa baada ya kurejea kutoka Singida kufuatia ushindi wao wa mabao 3-2 dhidi ya Young Africans SC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania…
MSD, hospitali watafuta suluhisho la madeni
Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Bohari ya Dawa (MSD), imeanza hatua mpya ya...
🔴MEZAHURU– UMUHIMU WA VIPAJI MASHULENI- MAY 14- 2026
🔴MEZAHURU-- UMUHIMU WA VIPAJI MASHULENI- MAY 14- 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Msisahau TRA United inafundishwa na Ndayiragije
USHINDI wa mabao 4-1 ambao TRA United iliupata dhidi ya Azam FC wiki iliyopita katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha ndio stori kubwa hapa kijiweni leo.
#HABARI: Naibu Waziri wa Katiba na Sheria wa sasa ni Mhe
#HABARI: Naibu Waziri wa Katiba na Sheria wa sasa ni Mhe. Zainab Athuman Katimba (Mb.), ameitaka Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania kutekeleza mipango waliyojiwekea kwa kuzingatia matumizi yenye tija, nidhamu…
WHO yaishukuru Tenerife kwa mshikamano katika operesheni ya Hantavirus
“Wapendwa watu wa Tenerife, salamu kutoka Geneva. Ni mimi tena Tedros. Kazi yetu huko Tenerife imekamilika na imefanywa kwa neema.” Hivyo ndivyo Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Ulimwenguni WHO,…
Marekani yatangaza dola biioni 1.8 zaidi kwa misaada ya kibinadamu, UN yapokea kwa mikono miwili
Marekani leo imetangaza kile inachokiita “awamu mpya” ya mageuzi ndani ya mfumo wa misaada ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa, ikiunganisha ongezeko la ufadhili na hatua kali za uwajibikaji, uwazi…
Hofu ya baa la njaa yatanda nchini Sudan, vita ikiwa imeingia mwaka wa 4
Watu milioni 19.5 wako katika hali ya janga la njaa (IPC3) Watu 135,000 wanakabiliwa na baa la njaa (IPC5) Watu milioni 5 wanakabliwa na dharura ya chakula (IPC4) Mapigano yakomeshwe
WFP/FAO: Jinamizi la njaa laizogoma DRC huku mamilioni wakikabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula
Onyo kali limetolewa leo na Mashirika ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa kuhusu yanayohusika na uhakika wa chakula na misaada ya kibinadamu kuhusu mgogoro wa njaa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia…
Afrika yaongeza kasi ya kuingiza tiba asili katika mifumo rasmi ya afya: WHO
Viongozi wa afya Afrika waongeza kasi kuingiza tiba asili kwenye mifumo rasmi ya afya. Wito umetolewa kuhamia utekelezaji wa vitendo kwa kufadhili na kuimarisha sera za tiba asili. Ushirikishwaji wa…
FAO: Mradi wa uhifadhi misitu nchini Kenya watunza mazingira na kuinua jamii kiuchumi
Mradi wa kuimarisha uhifadhi wa misitu nchini Kenya, Forest and Farm Facility (FFF) unaofadhliwa na shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo Duniani, FAO, na kutekelezwa na jamii,…
Uchunguzi wabaini eneo la ardhi lililotitia Same, halifai kwa makazi ya watu
Siku chache baada ya wataalamu wa jiolojia kufika katika eneo ambalo ardhi yake ilikuwa...
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55….MEI 14, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....MEI 14, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Nchi 7 duniani ambazo mvua ni ‘dhahabu’
Wakati Afrika Mashariki ikikumbwa na mvua kubwa na mafuriko, kuna baadhi ya nchi duniani ambazo kuona mvua ni jambo la nadra sana kutokana na ukame mkali unaodumu karibu mwaka mzima.
Serikali yasisitiza ushindani wa haki kwa wawekezaji
DAR ES SAAM: Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Aristides Mbwasi amesema Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 asilimia 70 inategemea sekta binafsi ikiwemo wafanyabiashara na wawekezaji,…
Yanga kuchapwa na Dodoma ndio utamu wa ligi
WENGI hatukutegemea Yanga ipoteze mechi dhidi ya Dodoma Jiji FC juzi Jumatano kule Singida kwenye Uwanja wa Airtel.
Atimiza ndoto yake akiwa na miaka 95
Wakati wengi huamini uzee ni mwisho wa kutimiza ndoto kubwa maishani, kwa Richard Eitel (Dick)...
Baraza la Madiwani Jiji la Tanga, RCC watunishiana misuli
Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Tanga limeazimia kuwa vituo vya mabasi ya mikoani...
Kinachoendelea mahakamani kesi ya usajili chama kipya cha siasa
Baada ya shauri la usajili wa chama kipya cha siasa, The Independent People’s Party (IPP)...
Dr Mwinyi thanks India for backing Zanzibar’s 35m US dollars water project
ZANZIBAR: PRESIDENT Hussein Ali Mwinyi of Zanzibar has thanked India for continuing its cooperation with Zanzibar in various sectors of social and economic development including the construction of a major…
Jinping atoa wito China, Marekani kuwa washirika, asisitiza utulivu
Rais wa China, Xi Jinping ametoa wito kwa nchi yake na Marekani kushirikiana kama washirika...
Government backs Private Sector to drive Vision 2050 goals
DAR ES SALAAM:DEPUTY Permanent Secretary in the Ministry of Industry and Trade, Aristides Mbwasi, has said that the Tanzania Development Vision 2050 depends by 70 percent on the private sector,…
Jinsi boti ndogo za kivita Iran zinavyokabiliana na jeshi la wanamaji la Marekani katika mlango wa Hormuz
Rais wa Marekani Donald Trump hivi majuzi alidai kuwa "ameharibu kabisa" meli za Irani, na kuacha "boti ndogo tu na bunduki."
Expert stresses workplace, diplomatic guidelines to unlock organization performance
DAR ES SALAAM: EMPLOYEES in both the private and public sectors have been urged to cherish workplace and diplomatic guidelines as the foundation for having a far reaching performance in…
Tanzania reviews its public procurement law to align it with the Development Vision 2050
DODOMA: THE Ministry of Finance has continued to review the Public Procurement Act, Chapter 410, with the aim of aligning it with the National Development Vision 2050, through a working…
Safari Lager makes history as official 2026 FIFA World Cup partner
DAR ES SALAAM: In a landmark move that places Tanzanian heritage on the global sporting stage, Safari Lager has officially announced its sponsorship of the 2026 FIFA World Cup, becoming…
Araqchi katika mkutano wa BRICS New Delhi: Ushawishi wa Marekani unapungua
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araqchi amesema kuwa wananchi wa Iran "wamesimama kidete na kwa fahari " dhidi ya machafuko ya kutisha, na kamwe hawatasalimu amri mbele…
Havana yatahadharisha: Mashambulizi ya Marekani dhidi ya Cuba yatasababisha umwagaji damu
Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba ametahadharisha kuwa: Hujuma yoyote ya kijeshi ya Marekani dhidi ya nchi hiyo itasababisha maafa ya binadamu na umwagaji damu.
Kihongosi awasili Mara ziara ya kikazi
MUSOMA: Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenan Kihongosi, amewasili leo Mei 14, 2026 mkoani Mara Region kwa ajili ya…
Madaktari wa magonjwa ya akili wa Marekani: Trump anapasa kuuzuliwa mamlakani
Makumi ya madaktari wa magonjwa ya akili na wataalam wakuu wa afya ya akili nchini Marekani wametia saini taarifa ambayo imemtaja Rais Donald Trump kuwa "hatari ya wazi na ya…
Tanzania sees decline in imports amid a significant increase in milk, meat, and egg consumption
DODOMA: THE Minister for Livestock and Fisheries, Bashiru Ally Kakurwa, has said the government, through the Tanzania Dairy Board, has continued regulating the dairy industry, with a total of 101,478,030…
KISWAHILI FOR BEGGINERS: The word “kituo cha daladala”
Meaning of “kituo cha daladala”Kituo = station / stop / place where people gather Daladala = public minibuses used for transport (especially in Dar es Salaam and other Tanzanian cities)…
Tanzania hails ASDP II project as its 280.6bn/-Kilwa Masoko Fishing Port nears completion
DODOMA: THE Minister for Livestock and Fisheries, Bashiru Ally Kakurwa, has said the Tanzanian government, through the ASDP II Project, has continued supervising the construction of the Kilwa Masoko Fishing…
Mfanyabiashara aliyedaiwa kupotea Arusha akutwa amefariki kwa mganga
Simanzi na maswali mazito vimetanda katika familia ya mfanyabiashara Sifaeli Mollel baada ya...
The pros and cons of gentle parenting
DAR ES SALAAM: SOME have speculated that the birth of Gentle Parenting may stem from the rejection of how parents were themselves raised as children. A 2023 Pew Research Centre…
Nyaya zilivyotishia kukosesha wananchi maji, Takukuru yadhibiti
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mwanza imezuia hasara ya zaidi ya...
Ruto akana kuhusika kivyovyote na mgogoro wa Sudan, alaani vikundi vinavyopigana kwa silaha
Rais William Ruto amekanusha madai ya Kenya kuunga mkono vikosi vya RSF nchini Sudan, akiita propaganda zisizo na msingi, na kuhimiza hatua za kimataifa.
Tanzania reaps gains from Africa Summit, signs MoUs to advance Smallholder Dairy Project
NAIROBI: TANZANIA has continued to benefit from its participation in the Africa Forward Summit held in Nairobi, Kenya, following the signing of a Memorandum of Understanding between the International Fund…
Tanzania claims success in its fight against illegal fishing
DODOMA: THE Tanzanian government said it has effectively strengthened the management of fisheries resources through patrol operations that led to the seizure of illegal fishing gear and the arrest of…
Takukuru yabaini mianya ya rushwa Iringa
Kilichokuwa kikionekana kama udhaifu wa kawaida katika ukusanyaji wa ushuru wa vibali vya...
Harakati za kidijitali katikati ya tabaka la uchumi wa kati
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa ikishuhudia mabadiliko makubwa katika namna...
Poshy Queen atulizwa kiaina
Mrembo na mfanyabiashara maarufu mitandaoni, Poshy Queen, ameonekana kubadilika siku za...
Rais wa China amuonya Trump kuhusu Taiwan; usifanye makosa
Rais wa China ameonya katika mazungumzo yake na mwenzake wa Marekani, Donald Trump huko Beijing kuhusu hatua zozote za Washington katika Kisiwa cha Taiwan, akisema: Kosa lolote linaweza kusababisha mzozo…
‘Walimpiga risasi jirani yangu kichwani’ – jiji la kando ya ziwa lililoathiriwa na vita
Unyongaji na ubakaji ni miongoni mwa ukatili uliofanywa na kundi la waasi la M23 na wanajeshi wa Rwanda wakati wa uvamizi wao wa wiki moja katika mji wa Uvira ulioko…
Tumia njia hizi kuongeza kipato ukiwa bado umeajiriwa
Katika hali ya sasa ya uchumi, watu wengi wanatamani kuwa na uhuru wa kifedha yaani uwezo wa...
Mvua ya mawe, upepo mkali wakatisha uhai watu zaidi ya 80 India
Watu zaidi ya 80 wamefariki dunia baada ya dhoruba kali iliyoambatana na mvua kubwa ya mawe...