Sababu Bad Bunny kutokelezea hivi Met Gala
Msanii wa muziki kutoka Puerto Rico, Bad Bunny, ameendelea kuthibitisha ubunifu wake si tu...
Gold rush beckons in Tanzania
Nyanzaga to start gold production in first quarter of 2027 DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has said the 523 million US dollars (about 1.36tri/-) investment in the Nyanzaga Gold Project…
Iran yakana kushambulia meli ya mizigo ya Korea Kusini katika Mlango-Bahari wa Hormuz
Iran imekana kuhusika kokote katika mlipuko uliotokea kwenye meli ya mizigo ya Korea Kusini katika Mlango-Bahari wa Hormuz siku ya Jumatatu. Imechapishwa: 07/05/2026 – 08:27 Dakika 1 Wakati wa kusoma…
Mohamed Abdullahi Warsame: Rais William Ruto amteua jaji mpya wa Mahakama ya Juu zaidi
Rais William Ruto amemteua Jaji Mohamed Warsame katika Mahakama ya Juu kufuatia uteuzi wa JSC, akijaza nafasi iliyoachwa wazi na marehemu Mohammed Ibrahim
Waingereza wanapiga kura kukipa ushindi au kukiangusha chama cha Labour cha Starmer
Mamilioni ya Waingereza wanapiga kura leo Alhamisi katika uchaguzi unaotarajiwa kuongeza shinikizo kwa Waziri Mkuu wa Labour ambaye tayari amedhoofika, Keir Starmer, na kuonyesha kuongezeka kwa siasa kali za mrengo…
Serikali yafunga kampuni ya mamilioni na kuacha wafanyikazi katika hali ya kuchanganyikiwa
Kampuni ya Shreeji Chemicals ilifungwa baada ya msako wa serikali kwa kumwaga maji chafu ambayo hayajatibiwa. Waziri Barasa alionya hatua kali zitachukuliwa
Kituo utamaduni Iran chazindua mashindano uchoraji Tanzania
DAR ES SALAAM: Kituo cha Utamaduni cha Iran nchini Tanzania kimeanzisha mashindano ya uchoraji yanayolenga kuhamasisha jamii, hususan watoto na vijana, kueleza hisia zao kupitia sanaa kufuatia tukio la mlipuko…
Urusi yawaambia wanadiplomasia waondoke Kyiv iwapo Moscow itaanzisha mashambulizi makubwa
Moscow imetishia mashambulizi ya kulipiza kisasi ikiwa Ukraine itashambulia Urusi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Ushindi. Imechapishwa: 07/05/2026 – 07:39 Dakika 2 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma…
Chad imetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa baada ya mashambulizi mabaya ya Boko Haram
Chad imeanza maombolezo ya kitaifa ya siku tatu Alhamisi ili kuwaenzi wanajeshi waliouawa katika mashambulizi ya hivi karibuni ya kigaidi katika eneo la Ziwa Chad. Imechapishwa: 07/05/2026 – 07:20 Dakika…
Magazeti ya Kenya: Kesi ya Gachagua kung’atuliwa yachukua sura mpya, daktari afunguka simu ya Ruto
Magazeti ya Kenya Mei 7 yanaangazia makali ya siasa nchini, yakizingatia kesi ya kung'atuliwa kwa Rigathi Gachagua na mgawanyiko katika ODM kabla ya kura ya 2027.
Rudiger ampiga mchezaji mwenzake mazoezini
Hali ya sintofahamu ndani ya Real Madrid imezidi kuwa mbaya baada ya kufichuliwa kwa jina la...
Jinsi utawala wa Iran ulivyoimarika kutokana na vita na Marekani
Bado wapo, popote uendapo, televisheni yoyote utakayowasha, unachokiona ni sura za viongozi waliouawa nchini Iran, pamoja na wale wapya waliowekwa, picha zao zikijaa maeneo ya umma.
Aston Villa, Nottingham kusaka tiketi fainali ya Europa League
Katika usiku mdogo wa Ulaya, macho yote ya mashabiki wengi wa soka yataelekezwa pale Villa Park...
Ballon d’Or 2026: Viwango vipya vilivyosasishwa baada ya Harry Kane, Olise kuaga Ligi ya Mabingwa
Harry Kane na Michael Olise wameondoka Ligi ya Mabingwa, na kuathiri kinyang'anyiro cha Ballon d’Or 2026. Fahamu jinsi Arsenal vs PSG utaathiri viwango.
Je, Marekani na Iran wako karibu kumaliza vita
Watalaam wanasema kuwa makubaliano yoyote ya kumaliza vita huwa vigumu kuafikiwa, na huhitaji mchakato mrefu haswa ikija katika suala la mradi wa nyuklia wa Iran.
Sudan Kusini: Rais Kiir amfuta kazi Waziri wa fedha na mkuu wa majeshi
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir amemuachisha kazi waziri wa fedha na mkuu wa majeshi ikiwa ni muendelezo wa mabadiliko ambayo amekuwa akiyafanya katika utawala wake. Imechapishwa: 07/05/2026 – 06:06Imehaririwa:…
Paul Chepkwony: Familia ya Aliyekuwa Gavana wa Kericho Yatafuta KSh 6m za Matibabu Yake India
Ungana na viongozi na wasamaria katika kumsaidia Prof. Paul Chepkwony (Timbilwet) katika uchangishaji wa pesa za matibabu yake maalum nje ya nchi tarehe 8 Mei 2026.
Mwanafunzi mwingine wa chuo hajulikani alipo kwa siku 13
Yuko wapi Mtatiro Chacha Hilo ndilo swali linalozidi kuzungumzwa miongoni mwa wanafunzi na...
PSG yaifuata Arsenal fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya
Mabingwa watetezi wa UEFA, PSG, wametinga tena fainali ya michuano hiyo ambapo watakutana na...
Mbunge wa Mwingi Magharibi asema hatagombea kuchaguliwa tena kwa tiketi ya Wiper: “Nimefukuzwa”
Mbunge wa Mwingi Magharibi Charles Nguna alisema hatatetea kiti chake kupitia Wiper. Alimtuhumu Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua kwa kusema uongo dhidi yake.
Rais Tshisekedi aonyesha nia ya kuwania kwa muhula wa tatu
Rais wa DRC, Felix Tshiesekedi, katika hotuba yake kwa taifa, ameonesha uwezekano wa kutaka kuongoza kwa muhula watatu pamoja na kuchelewesha uchaguzi unaotarajiwa kufanyika baada ya miaka miwili. Imechapishwa: 07/05/2026…
Kiasi cha pesa Arsenal itapata baada ya kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa
Arsenal imefika fainali yao ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa tangu 2006, ikipata pauni 125.18m baada ya kuishinda Atletico Madrid. Itapata zaidi ikichapa Bayern au PSG.
Iran yatafakari pendekezo la Marekani kumaliza vita
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei, amesema Tehran bado inapitia pendekezo hilo na baadaye itawasilisha msimamo wake kupitia wapatanishi kutoka Pakistan.
Rigathi Gachagua adai kiongozi mkuu wa upinzani ni kibaraka wa William Ruto
Rigathi Gachagua anadai Rais Ruto amepanda vishoga katika Upinzani wa Muungano ili kupandikiza mgawanyiko. Anaonya kuhusu vitisho kwa muungano kabla ya uchaguzi.
Je, huu ni wakati wa Arsenal?
Inashangaza jinsi Arsenal ilivyokuwa katika hali ngumu hivi majuzi, lakini sasa wametinga fainali ya Ligi ya Mabingwa.
Fahari Supercup yaingia msimu wa tano, Mweta aiangukia Serikali
Mkurugenzi wa Mashindano ya Fahari Supercup, Wilbert Mweta, ameiomba serikali kutoa mikopo kwa wadau wanaoendesha mashindano ya michezo katika ngazi za chini ili kukuza vipaji vya wachezaji chipukizi.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 7, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MEI 06, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MEI 06, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴MCHEZO SUPA: KWA NGUVU YA BUKU USIKAE KINYONGE: MEI 06, 2026
🔴MCHEZO SUPA: KWA NGUVU YA BUKU USIKAE KINYONGE: MEI 06, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Muandaaji na mtangazaji wa vipindi vya michezo @itvtz na @radioonetanzania @khalidmsabaha_ ameingia kwenye tatu bora ki…
#HABARI: Muandaaji na mtangazaji wa vipindi vya michezo @itvtz na @radioonetanzania @khalidmsabaha_ ameingia kwenye tatu bora kinyang’anyiro cha Tuzo za @bmt (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Zaidi ya wananchi 300 katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma wamefikiwa na kuhudumiwa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Ud…
#HABARI: Zaidi ya wananchi 300 katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma wamefikiwa na kuhudumiwa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) katika kipindi cha siku sita tu tangu kuanza…
🔥 USAJILI BADO UNAENDELEA MAC D HALF MARATHON 2026 🔥
🔥 USAJILI BADO UNAENDELEA MAC D HALF MARATHON 2026 🔥 Uko tayari kukimbia na vibe za nguvu? 💪🏾🏃🏾♂️ Hii ndiyo nafasi yako kushiriki Mac D Half Marathon tarehe 4 July…
Dk Mecktridis alia na shida ya maji Malinyi
DODOMA: MBUNGE wa Jimbo la Malinyi, Dk. Mecktridis Mdaku, ameishukuru Serikali kwa kutoa fedha za miradi ya maji katika jimbo lake, huku akiibua changamoto kadhaa zinazoendelea kuwakabili wananchi. Akichangia moja…
Ted Turner: Kigogo wa vyombo vya habari na mwanzilishi wa CNN afariki dunia akiwa na miaka 87
Mwanzilishi wa CNN Ted Turner alifariki Jumatano na kuacha urithi mkubwa wa vyombo vya habari duniani ambayo ilibadilisha habari, utangazaji wa michezo, na uhisani.
Wakazi wa Dodoma na wananchi kwa ujumla wametakiwa kuacha dhana potofu na kutumia huduma za Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhami…
Wakazi wa Dodoma na wananchi kwa ujumla wametakiwa kuacha dhana potofu na kutumia huduma za Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kuandika na kutunza wosia ili kulinda mustakabali wa…
Watu wawili wamefariki dunia na wengine 15 wakijeruhiwa kufuatia tukio la vurugu lililotokea alfajiri ya leo mkoani Pwani likihu…
Watu wawili wamefariki dunia na wengine 15 wakijeruhiwa kufuatia tukio la vurugu lililotokea alfajiri ya leo mkoani Pwani likihusishwa na madai ya mgogoro wa ardhi unaodaiwa kudumu kwa muda mrefu…
Usiku wa kuamkia leo Jumatano Mei 6, 2026 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini (EWURA) imetangaza bei mpya za…
Usiku wa kuamkia leo Jumatano Mei 6, 2026 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta kama ilivyo katika utaratibu wake wa…
Mbunge wa Jimbo la Msalala,Mhe
Mbunge wa Jimbo la Msalala,Mhe. Mabula Magangila ameiomba Wizara ya Maji kushughulikia changamoto ya gharama kubwa za kuunganisha huduma ya maji majumbani katika maeneo ya vijijini akisema hali hiyo bado…
Wakati hali ya bei ya mafuta ikiendelea kuchanganya vichwa vya watu kufuatia mgogoro wa kiusalama unaoendelea kati ya Iran na us…
Wakati hali ya bei ya mafuta ikiendelea kuchanganya vichwa vya watu kufuatia mgogoro wa kiusalama unaoendelea kati ya Iran na ushirikiano wa Marekani na Israel swali linalogonga vichwa vya wachambuzi…
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea kupeleleza kwa uzito mkubwa tukio la mauaji ya mtu aliyetambulika kwa jin…
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea kupeleleza kwa uzito mkubwa tukio la mauaji ya mtu aliyetambulika kwa jina la James Rogers Temba mwanafunzi wa mwaka wa pili…
Chama airejesha Simba nafasi ya pili Ligi Kuu
WEKUNDU wa Msimbazi, Simba baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Yanga, wameendelea kuweka hai matumaini yao ya kupigania ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya leo Jumatano…
Applikesheni mpya kwa wateja yazinduliwa kuwezesha maisha kidijitali
Yas Tanzania imezindua rasmi applikesheni mpya ya “Yas App”, yenye lengo ya kubadilisha namna...
Chama afanya yake tena Jeshini
Simba ilianza kwa presha ya juu, ikitengeneza mashambulizi ya mapema kupitia Clatous Chama...
Watatu wafariki, 15 wajeruhiwa vurugu za mgogoro wa ardhi Kibaha
Ni hali ya taharuki, simanzi na sintofahamu kwa wakazi wa Lupaso, Kata ya Vikawe, wilayani...
‘Wenye sifa ya kupandishwa vyeo wasicheleweshwe
ARUSHA: Serikali imeagiza waajiri na wasimamizi wa rasilimali watu nchini kuhakikisha watumishi wote wenye sifa na waliotengewa bajeti ya kupandishwa vvyeo Mei mwaka huu wanapandishwa vyeo bila kuwapo kwa ucheleweshaji…
Amsons Group yawashawishi wawekezaji wa Tanzania kupanua biashara Afrika Mashariki
Kampuni ya Amsons Group imewataka wawekezaji wa Kitanzania kutumia fursa zilizopo nchini Kenya...
Rigathi Gachagua akumbuka jinsi alivyoshtuka kumuona Atwoli Ikulu: “Alikuwa akicheka kwa haya”
Rigathi Gachagua amekumbuka wakati alipokutana na Atwoli Ikulu, akakosoa uongozi katika COTU, na kutoa wito wa kuundwa kwa shirika jipya la haki za wafanyakazi.