Rais Ruto kuhutubia Bunge la Tanzania Mei 5
Sillo amesema mbali na Rais Ruto, viongozi wengine wa kitaifa pia watashiriki bungeni siku...
UNICEF: Watoto 43,000 wameuawa au kujeruhiwa tangu kuanza kwa vita nchini Sudan
Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada ya Dharura kwa Watoto, UNICEF, limetangaza kuwa watoto 43,000 wameuawa au kujeruhiwa tangu kuanza kwa vita nchini Sudan.
Serikali kuwekeza zaidi sayansi data, akili unde
DODOMA: SERIKALI na Benki ya Exim zinakusudia kufadhili masomo ya wanafunzi wa elimu ya juu wa Sayansi Data na Akili Unde. Hatua hiyo inatajwa kuwa sehemu ya mkakati wa benki…
Wahadhiri UDSM wachambua ripoti Jaji Chande, wataja sababu 53 za vurugu
Ukiacha vyanzo vitano na vichocheo vinane vya vurugu za Oktoba 29 2025 vilivyotajwa na Tume ya...
Govt backs local investment as Riviera unveils four beverage products
DAR ES SALAAM: THE government has renewed its drive for local industrial investment and stepped-up efforts against counterfeit alcohol following Lomatan’s launch of four new Riviera brand products, reflecting growing…
Ghana yakataa mkataba wa afya na Marekani katikati ya mvutano wa data
Baada ya miezi kadhaa ya mazungumzo, Ghana imekataa mkataba wa Afya na Marekani. Sababu: Kutokubaliana kunakoendelea kuhusu kushiriki data za Afya. Taarifa hiyo, iliyofichuliwa siku ya Jumanne, Aprili 28, 2026,…
Wahadhiri UDSM wachambua mambo 53 ripoti Jaji Chande, watahadharisha yasijirudie
Hata hivyo masuala hayo yaliyomengi yalikuwa yametolewa na Tume kwa ujumla na kilichofanywa na...
Mantra Tanzania Limited yawezesha wazawa kwa kufungua fursa za ajira kupitia Mradi wa Mto Mkuju
Katika jitihada za kusaidia kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira kwa kundi kubwa la vijana...
Brussels yaishutumu Meta kwa kuwaruhusu watoto kufikia Instagram na Facebook
Brussels imeishutumu, Jumatano, Aprili 29, kampuni ya Marekani ya Meta kwa kukiuka Kanuni ya Huduma za Kidijitali za Ulaya (DSA) kwa kuwaruhusu watoto wengi walio chini ya umri wa miaka…
Filamu kuelimisha jamii changamoto za tabianchi
DAR ES SALAAM: SHIRIKA la My Legacy limekutana na asasi za kiraia zinazoshughulika na masuala ya wanawake, watoto na makundi maalumu kwa lengo la kuutambulisha mradi wa Mialo ya Kijani…
Anna Komu wa Chadema afariki dunia
Aliyekuwa mjumbe wa bodi ya wadhamini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Anna...
Cameroon: Mashirika ya kiraia yaomba mazungumzo ya haraka kufuatia vifo vya watu wasiopungua 14
Nchini Cameroon, bado hakuna taarifa rasmi kutoka kwa mamlaka za ndani au viongozi kutoka serikali kuu kuhusu vurugu mbaya zilizotokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika eneo la Kaskazini Magharibi linalozungumza…
Serikali yaingiza bil 1/- zao la utomvu
KILIMANJARO: SERIKALI imeanza kunufaika na mapato ya zao jipya linalotokana na mti aina ya msindano kisayansi ukijulikana jina la “ Pinus patula au pine tree” yanayofikia Sh bilioni 1 kutokana…
Mwisho wa ubishi umefika usilale mapema leo
Leo ni siku ya hukumu hivyo usilale mapema. Ikifika saa 2:15 usiku hakikisha umeshapata chakula...
Kombo calls for grooming competent diplomats
DAR ES SALAAM: MINISTER for Foreign Affairs and East African Cooperation, Ambassador Mahmoud Thabit Kombo, has stressed the need to nurture youth into competent diplomats equipped with strong negotiation skills…
Mfalme Charles III aitaka Marekani kuendelea kuwa mwaminifu kwa washirika wake wa magharibi
Katika hotuba ya nadra kwa Bunge la Marekani siku ya Jumanne, Aprili 28, Mfalme wa Uingereza, Charles III, ameitaka Marekani kuendelea kuwa mwaminifu kwa washirika wake wa kihistoria wa Magharibi,…
Stakeholder cooperation vital for public accountability, says CAG
ZANZIBAR: THE Office of the Controller and Auditor General (CAG) – Zanzibar has underscored the importance of strong collaboration among stakeholders in promoting accountability, transparency and the proper use of…
Mvulana wa Kayole Aliyekuwa Akiwatunza Nduguze Afadhiliwa na Kujiunga na Visa Oshwal Academy
Tito Wambua, mvulana mdogo aliyekuwa akiwatunza ndugu zake, amepata nafasi katika Shule ya Msingi ya Visa Oshwal huku Wakenya wakiungana kuisaidia familia yake.
Mei Mosi ndoto ya haki, uhalisia wa wafanyakazi
Wafanyakazi duniani wanatarajiwa kuadhimisha Siku yao ya kimataifa ya Wafanyakazi maarufu kwa...
Vita vya Mashariki ya Kati: Lebanon inashindwa kukidhi mahitaji ya dharura ya kibinadamu
Vita nchini Lebanon vimesababisha watu theluthi moja ya wakazi wa nchi hiyo, au watu milioni 1.2 kutoroka makazi yao. Tayari ikiwa imeathiriwa na mzozo wa mwaka 2024 na mgogoro wa…
Govt strengthens welfare support for elderly through housing projects
ZANZIBAR: THE Zanzibar Government has reaffirmed its commitment to creating a supportive and enabling environment for the elderly by providing safe and decent housing, as part of broader efforts to…
Magazetini, Aprili 25: Taarifa mpya zaibuka polisi wakichunguza kifo cha Connie Githinji
Maafisa wa polisi wanachunguza hali ambayo Consolata Githinji, mwanafunzi wa chuo kikuu, alifariki akiwa na mwanamume aliyekutana naye mtandaoni.
Low women participation weakens climate solutions
DODOMA: LOW participation of women in decision-making on resource management, environmental policies and climate change has limited their ability to contribute to solutions, despite being among the most vulnerable groups…
New strategy to boost mineral processing
DODOMA: THE government has completed the formulation of the Mineral Value Addition Strategy aimed at transforming the mining sector. The strategy is designed to shift the sector from exporting raw…
Varsities ordered to consult before introducing new programmes
DODOMA: THE government has directed universities in the country to consult relevant authorities early before introducing new academic programmes, in order to facilitate the development of appropriate employment frameworks for…
Mali: Baada ya mashambulizi, Assimi Goïta anadai hali ‘mbaya’ iliyoikumba nchi ‘imedhibitiwa’
Akiwa hajaonekani tangu Jumamosi, Aprili 25, siku ya mashambulizi ya kwanza kwenye miji kadhaa nchini Mali, kiongozi wa utawala wa kijeshi, Jenerali Assimi Goïta, amejitokeza siku ya Jumanne, Aprili 28.…
Youth empowerment fund hits 200bn/-
DAR ES SALAAM: THE Ministry of Livestock and Fisheries has announced the provision of loans worth 200bn/- for youth empowerment programmes. The initiative is part of the implementation of President…
Video: Rigathi Gachagua aambia polisi nje ya mahakama atawashughulikia baada ya kuwa rais
Aliyekuwa DP Gachagua anadai Huduma ya Kitaifa ya Polisi haina uhuru, akiashiria matarajio yake ya 2027 alipokuwa akiwahutubia maafisa nje ya Mahakama ya Milimani.
Irrigation projects to get 25bn/- monthly funding
DODOMA: THE government will release 25bn/- every month to finance irrigation projects across the country, to ensure timely completion. Deputy Minister for Agriculture, David Silinde, informed the National assembly yesterday…
Local firms to gain more from mining value chain
DODOMA: TANZANIA is stepping up efforts to ensure the mining sector creates more opportunities for local businesses, with a stronger push to position Tanzanian-owned companies at the centre of the…
TZ, Belarus pledge deeper ties in trade, energy
DAR ES SALAAM: TANZANIA and Belarus have pledged to further strengthen their diplomatic relations and expand cooperation across key sectors, including energy, infrastructure, investment, education, agriculture, technology, tourism and trade.…
Trump awaomba washauri wake kujiandaa kwa kizuizi cha kijeshi kwa muda mrefu dhidi ya Iran
Juhudi za kukomesha vita nchini Iran zimefikia kikomo. Rais wa Marekani, akiwa hajafurahishwa na pendekezo la hivi karibuni la Iran, amesema siku ya Jumanne, Aprili 28, kwamba Tehran iliifahamisha Marekani…
Tofauti za kisiasa zisiwe chanzo cha mgawanyiko
Baada ya matukio ya Oktoba 29, 2025 wakati wa uchaguzi mkuu, Watanzania wengi walijikuta katika...
Atletico, Arsenal kibaruani leo Ligi ya Mabingwa Ulaya
Leo Atletico Madrid wataikaribisha Arsenal katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali wa Ligi ya...
The 4Rs in practice: Measuring Tanzania’s political reforms since 2021
DAR ES SALAAM: WHEN President Samia Suluhu Hassan assumed office in March 2021, she introduced a governing philosophy built around four pillars: reconciliation, resilience, reforms and rebuilding, collectively known as…
New measures to end sugar, edible oil shortages
DODOMA: THE government has outlined measures to curb recurring shortages of edible oil and sugar, with a comprehensive production strategy set for implementation in the 2026/27 financial year. Presenting the…
Afrika Kusini: DRC yawataka raia wake kuwa waangalifu kufuatia maandamano dhidi ya wageni
Ubalozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo nchini Afrika Kusini umetoa wito kwa raia wa Kongo wanaoishi nchini humo kuwa macho kufuatia ripoti za maandamano ya chuki dhidi ya Wageni…
Tanzania secures 3.34tri/- SGR financing deal
DODOMA: THE government has signed a 1.277 billion US dollar (about 3.34tri/-) financing facility for the execution of Lots 3 and 4 of the Standard Gauge Railway (SGR) project, marking…
Serikali yatoa wito wa utulivu kutokana na uvumi kuhusu hali ya wahamiaji nchini DRC
Waziri wa Mawasiliano na Vyombo vya Habari wa DRC, Patrick Muyaya, ameuwasihi umma kuwajibika na kuwa watulivu kuhusu uwepo wa wahamiaji nchini hmo. Katika mahojiano na Redio na Televisheni ya…
Injinia Mkenya apewa Dabi ya Kariakoo Muungano
Kamati ya Mashindano ya Muungano imepindua meza, baada ya kufuata mwamuzi Kenya wa kuamua...
Inquiry asserts report credibility
Cites solid evidence, warns against scapegoating DAR ES SALAAM: THE Commission of Inquiry into the October 29th 2025 incident has affirmed the authenticity and integrity of its report, stressing that…
FYATU MFYATUZI: Fyatu kuwafyatua mafyatu wanaofyatua kumkosoa
Juzi si nilifyatua uteuaji na utenguaji. Katika kufanya hivyo, si nikampa ulaji swahiba yangu...
PSG, Bayern zaacha rekodi usiku wa Ulaya
PSG na Bayern Munich zimeoneshana ubabe ndani ya dakika tisini zilizoacha rekodi kabambe katika...
Sudan Kusini: Zaidi ya watu Milioni nane wanakabiliwa na tishio la njaa
Watu zaidi ya Milioni nane nchini Sudan Kusini, wapo kwenye hatari kubwa na kukabiliwa na njaa kali kufuatia kuendelea kwa vita vinavyosababisha maelfu ya watu kuyakimbia makaazi yao. Imechapishwa: 29/04/2026…
Marekani yawekea vikwazo mashirika 35 na watu binafsi wanaohusishwa na ‘mfumo wa benki uliofichwa’ wa Iran
Marekani inasema, "Mitandao hii inaruhusu vikosi vya kijeshi vya Iran, pamoja na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, kufikia mfumo wa fedha wa kimataifa."