Simanzi yatanda mazishi ya mwenyekiti aliyeuawa
Kamanda Maigwa amesema mtuhumiwa alimkimbiza marehemu kabla ya kumshambulia kwa kitu chenye...
BoT ilichobaini Mwanza ikizindua kampeni ‘Zinduka, usiumizwe’
Licha ya kuendelea kulalamikiwa kwa mikopo yenye masharti magumu, baadhi ya wananchi wa Mkoa wa...
Abiria wanusurika ajali ya basi Kibaha
Abiria kadhaa waliokuwa wakisafiri na basi la Kampuni ya Katarama kutoka Dar es Salaam kuelekea...
Watafiti watwikwa mzigo kuelekea Dira ya 2050
Watafiti nchini wametakiwa kuhakikisha kazi zao zinajikita katika kutoa majawabu ya kisayansi...
Uhuru Kenyatta aashiria atashirikiana na Gachagua kumfanya Ruto kuwa rais wa muhula mmoja
Uhuru Kenyatta aliashiria kufanya kazi na Rigathi Gachagua, akionya dhidi ya wanasiasa "wenye lugha tamu" huku akiwatahadharisha viongozi wa makanisa 2027 ikikaribia
TTFC Yaitaka Serikali Kudhibiti Tumbaku
CHAMA cha Kudhibiti Tumbaku Tanzania (TTFC) kimeiomba Serikali kupeleka bungeni muswada wa sheria ya kudhibiti matumizi ya tumbaku ili kupunguza madhara ya kiafya yanayosababishwa na bidhaa hiyo. The post TTFC…
Simba vs Coastal kuna boli, mabao
SIMBA inarudi uwanjani ikiwa mwenyeji wa Coastal Union kwenye mchezo wa 16 baina ya timu hizo, lakini Wagosi wa Tanga, hesabu zinaonyesha, inaweza kuwa mechi ngumu kwao.
Watu kadhaa wahofiwa kufariki katika mlipuko kwenye ghala la silaha Bujumbura
Nchini Burundi, bado taarifa za maafa yaliyotokana na mlipuko wa ghala la silaha jijini Bujumbura, zimekuwa finyu, ripoti mbalimbali zikithibitisha watu kadhaa kupoteza maisha. Imechapishwa: 01/04/2026 – 18:19 Dakika 1…
Kizaazaa Edwin Sifuna, maseneta wakimkabili gavana arejee kwenye kamati ya Seneti baada ya kuondoka
Gavana wa Samburu Leleit alizozana na maseneta baada ya kususia wito wa CPAC, hali iliyozua mtafaruku huku Edwin Sifuna akiongoza juhudi za kumrudisha kikaoni
Serikali yaahidi suluhisho kupanda mafuta
KUPANDA kwa bei ya mafuta nchini kumesababisha ongezeko la nauli za usafiri mkoani Kilimanjaro, hali ilivyowaathiri abiria na watoa huduma za usafiri. The post Serikali yaahidi suluhisho kupanda mafuta first…
Afrika kutuma timu 10 kushiriki kombe la dunia la mwaka huu
Mwaka huu kwenye michuano ya kombe la Dunia, Afrika itaweka historia kwa kuwa na timu 10, hatua kubwa katika maendeleo ya soka la Afrika. Imechapishwa: 01/04/2026 – 18:04Imehaririwa: 01/04/2026 –…
Shinikizo bei ya mafuta laisukuma Afrika kuchukua hatua za dharura
Mfumuko wa bei ya mafuta duniani unaotokana na vita na mzozo wa kisiasa Mashariki ya Kati...
Makabiliano kati ya M23 na Wazalendo yaripotiwa Masisi DRC
Mapigano makali yamezuka mapema Jumatano, kati ya waasi wa AFC/M23 dhidi ya Wazalendo katika mji wa Shoa, ulioko katika eneo la Osso Banyungu eneo la Masisi huko Kivu Kaskazini nchini…
Peter arudi JKT kusaka namba
MSHAMBULIAJI wa JKT Tanzania, Paul Peter amesema bao lake la kwanza katika timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ limempa faraja na sasa anarejea kwa waajiri wake akiwa na lengo la kufunga…
Mwalimu mkuu wa Gilgil Hills azungumzia kifo cha mtoto wa miaka 3 aliyepatikana kwenye bwawa
Mwalimu mkuu Joseph Kihato alizungumzia kifo cha kusikitisha cha Faiz Faraji katika shule ya Gilgil Hills, huku kukiwa na malalamiko ya umma na kutaka uwajibikaji.
Dar City ilivyopunguzwa kasi Sauzi
Timu ya kikapu ya Al Ahly Ly kutoka Libya juzi usiku iliipunguza kasi Dar City kwa kuifunga pointi 118-97 katika Ligi ya Kikapu Afrika (BAL), mchezo uliofanyika katika uwanja wa…
DRC: Sherehe za Leopards kufuzu kombe la dunia zaendelea Congo
Nchini DRC, raia bado wanaendelea kusherehekea ushindi wa timu yao ya Léopards iliyofuzu kushiriki mashindano ya kombe la dunia kufuatia ushindi wao wa 1- 0 dhidi ya Jamaica. Mjini Bukavu…
Mbeya City yatenga mamilioni kuiua KMC
Mbeya City imetenga Sh10 milioni kwa wachezaji ili kuwahamasisha waibuke na ushindi katika mchezo ujao wa Ligi Kuu dhidi ya KMC kesho, Ijumaa, katika Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Babati, Manyara.
DC aagiza uchunguzi vifo ng’ombe 13, eneo la uchenjuaji dhahabu Geita
Geita. Hofu imetanda kwa wakazi wa Kijiji cha Nyakagwe, Kata ya Butobela wilayani Geita baada...
ZFF yataka Sh1 bilioni Kombe la Muungano
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu la Zanzibar (ZFF) linahitaji jumla ya Sh1.2 billioni kwa ajili ya mashindano ya ligi ya Muungano yanayaotarajiwa kuanza Aprili 21 hadi 27 katika Uwanja wa…
Azam yaendeleza mkosi wa Singida BS nyumbani
Mabao ya kipindi cha pili ya Lusajo Mwaikenda na Feisal Salum 'Fei Toto' yameihakikishia Azam...
DRC: Sikukuu kusherehekea Leopards kufuzu kombe la dunia
Mamlaka nchini DR Congo imetangaza siku ya leo Jumtano kuwa sikukuu ya kitaifa kusherehekea hatua ya timu ya taifa ya Leopards kufuzu kombe la dunia kwa mara ya kwanza katika…
Rais Samia azungumza wagombea vyama vya siasa
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Wagombea wa Nafasi ya Urais na Wagombea Wenza kutoka vyama vya Siasa 16 vilivyoshiriki…
Vita ya kupanda ZPL yapamba moto
SAFARI ya kupambania kukata tiketi ya kushiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) kutokea Unguja, imepamba moto huku vinara wa Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja, Black Sailors wakitoka uwanjani na…
Presidential candidates suggest ways to enhance harmony, democracy, national cohesion
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan met with the candidates who vied for the Presidential post in the 2026 General Elections to assess the political situation and national development…
Staa Prisons: Yanga Tutakufa na mtu
WAKATI Tanzania Prisons ikiendelea kujifua kwa ajili ya mchezo ujao wa Ligi Kuu dhidi ya Yanga, kipa wa timu hiyo, Edward Mwakyusa, amesema mechi hiyo ni ya kufa au kupona…
TEEA seeks closer ties with authorities to ensure mining activities adhere to environmental rules
DODOMA: THE Tanzania Environmental Experts Association (TEEA) has called for closer collaboration with the Ministry of Minerals to ensure that all exploration, mining, and mineral processing activities in the country…
CCM yawapa pole serikali ya Algeria
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Rabia Abdalla Hamid, amewasilisha salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Rais…
Samia akutana na alioshindana nao urais 2025
Katika uchaguzi huo, Samia alishindana na wagombea 16 kutoka vyama mbalimbali vya siasa, ambao...
Kuchochea mustakabali wa nishati safi: Jinsi SEPON LTD inavyoendeleza mageuzi ya nishati endelevu nchini
Wakati Tanzania ikiendeleza safari yake kuelekea mustakabali endelevu na imara, upatikanaji wa...
Experts, lawmakers explore means to transform Tanzania’s healthcare ecosystem
DAR ES SALAAM: IN an inspiring evening dedicated to transforming Tanzania’s healthcare landscape, the Johari Rotana Hotel hosted a significant event titled “Advancing Tanzania’s Health System Efficiency and Leadership Through…
Ensol Tanzania inavyoweka tabasamu kwenye nyuso za watumiaji wa nishati jadidifu nchini
Katika kipindi ambacho dunia inakabiliwa na changamoto za mabadiliko ya tabianchi na ongezeko...
Uhuru Kenyatta ajumuika na Rigathi Gachagua, viongozi wengine wa upinzani Kirinyaga
Aliyekuwa rais Uhuru Kenyatta alikuwa miongoni mwa waombolezaji waliokusanyika Kirinyaga Jumatano kumuaga aliyekuwa seneta wa Kirinyaga Daniel Karaba.
NileAGI partners with Zanzibar’s institutions to co‑develop ICT solutions
DAR ES SALAAM: KEY players in the Artificial Intelligence (AI) systems have been encouraged to embrace local AI infrastructure with focus on building solutions that are developed, hosted and maintained…
Maofisa Michezo wasisitizwa kuibua vipaji ngazi ya chini Arusha
ARUSHA: Maofisa michezo nchini wametakiwa kuhakisha wanasimamia vyema suala la kuibua vipaji kuanzia ngazi za chini ili kuweza kuwa na wanamichezo mahiri na imara. Akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Maofisa…
Tanzania yajipanga kuongeza ushiriki FEASSSA
ARUSHA: Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Ofisi ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Yusuph Singo amewaelekeza maofisa michezo nchi kuhakikisha ushiriki katika mashindano ya FEASSSA 2026 unaongeza…
Wanawake wapo nyuma uongozi sekta ya benki
Licha ya maendeleo yaliyopatikana katika ujumuishaji wa kifedha nchini, wanawake bado wanakosa...
Hofu, wasiwasi waibuka kwa wakazi Same, ardhi ikipasuka
Hofu, sintofahamu na taharuki vimetanda katika Kitongoji cha Makandeni, Kijiji cha Marieni...
Mixx by Yas, KCB ‘kuwabustisha’ mawakala wao
Benki ya KCB Tanzania imeingia ubia na Mixx by Yas kutoa mikopo ya kidijitali kwa mawakala wake...
Tanzania announces plans to upgrade infrastructure at Singida Water Institute
DODOMA: The Deputy Minister for Water, Kundo Mathew, has announced that the government plans to begin phased construction of buildings for the Water Institute at its Singida Campus starting in…
Mwigulu: Dira 2050 Ni Ajenda ya Taifa
WAZIRI Mkuu Dk.Mwigulu Nchemba ameagiza kuanza mara moja utekelezaji wa Dira ya Taifa ya 2050 kupitia Mpango na Bajeti ya Serikali, akisisitiza ushirikishwaji wa sekta binafsi na wadau wa maendeleo…
Latra yaonya wanaopandisha nauli
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra), Habibu Suluo amewataka...
EPRA yatupilia mbali ripoti za kupanda kwa bei ya mafuta hadi zaidi ya KSh 200 kwa lita
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Petroli imezima ripoti zinazopendekeza kuongezwa kwa bei ya mafuta ambayo huenda ikasukuma petroli ya kuuzwa kwa KSh 200 wa lita.
Zungu orders Minister- Parliament Committee’s talks on the surge in fuel prices
DODOMA: THE Speaker of Parliament, Mussa Zungu, has directed the Minister for Energy, Deogratius Ndejembi, to meet with the Parliamentary Committee on Energy to discuss the recent surge in fuel…
Mafuta Kupanda Bei, Serikali Yaahidi Suluhisho kwa Wananchi
Mafuta Kupanda Bei, Serikali Yaahidi Suluhisho kwa Wananchi Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kusimamia upatikanaji wa bidhaa za mafuta ya petroli na mafuta mengine ili kuhakikisha bei…
BMH eyes to honour its 10th year by raising funds for children with sickle cell anaemia
DODOMA: BENJAMINI Mkapa Hospital has announced plans to hold a special fundraising drive aimed at supporting the cost of bone marrow transplants for children suffering from sickle cell disease, as…
BoT calls for fast adoption of digital payment systems in cross-border trade
DAR ES SALAAM: The Deputy Governor of the Bank of Tanzania (BoT), Sauda Msemo, has called for the accelerated adoption of digital payment systems in cross-border trade, emphasizing that such…
CUF yasubiri Baraza Kuu kuthibitisha manaibu katibu wakuu wapya
Mchakato wa uteuzi wa manaibu katibu wakuu wapya wa Chama cha Wananchi (CUF) umeiva, huku...