Mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM), Hussein Rashidi mwenye umri wa miaka 23, amepatikana …
Mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM), Hussein Rashidi mwenye umri wa miaka 23, amepatikana akiwa amefariki dunia katika chumba alichokuwa akiishi, baada ya kutokuonekana…
#KIPIMAJOTO: “Kwa sababu hatuna njia nyingine lakini kwa haya mafuta tulionayo yalipita kabla ya haya machafuko kuwa kiasi hiki …
#KIPIMAJOTO: “Kwa sababu hatuna njia nyingine lakini kwa haya mafuta tulionayo yalipita kabla ya haya machafuko kuwa kiasi hiki tunajiuliza stock ingine inayo kuja yatapitaje…..” Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA…
#KIPIMAJOTO: “Hatua hizi za awali na za kidplomasia tunaona zimechukuliwa kwa sababu kwanza viongozi wetu wakuu wameonesha utash…
#KIPIMAJOTO: “Hatua hizi za awali na za kidplomasia tunaona zimechukuliwa kwa sababu kwanza viongozi wetu wakuu wameonesha utashi wao wa kutamani vita isiendelee…..” Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO…
#HABARI: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanya ziara ya kijamii katika vituo vitatu vya watoto wenye mahitaji maalum jij…
#HABARI: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanya ziara ya kijamii katika vituo vitatu vya watoto wenye mahitaji maalum jijini Dar es Salaam na kutoa misaada mbalimbali kwa ajili ya kuleta…
Chuck Norris, action hero and ‘Walker, Texas Ranger’ star, has died
USA: Chuck Norris, veteran, martial arts world champion, action hero and early 2000s Internet meme inspiration, whose rugged demeanor was immortalized on hit show “Walker, Texas Ranger,” has died. He…
Diplomatic force departs, leaves enduring Tanzania–Sweden partnerships
STOCKHOLM: King Carl XVI Gustaf recently hosted the outgoing Tanzanian Ambassador to Sweden, Ambassador Mobhare Matinyi, in a dignified farewell courtesy ceremony held at the Royal Palace in Stockholm on…
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba nchini (TMDA), Kanda ya Mashariki imebaini dosari mbalimbali kwenye maabara binafsi ambazo zinakiu…
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba nchini (TMDA), Kanda ya Mashariki imebaini dosari mbalimbali kwenye maabara binafsi ambazo zinakiuka sheria. Imeelezwa kuwa wamiliki wa maabara hizo wamekuwa wakifanya tohara bila…
Innovative fertilizer offers hope for Africa’s small farmers
Across the world, researchers operate within established principles that guide their work, widely recognized as one of the most reliable pathways to solving societal challenges. Within academic and scientific communities,…
“Kubwa ni usalama wa raia na mali zao, hilo ndio kubwa, kwa sababu kama hakuna usalama kila kitu kitakuwa hakiendi na watu watak…
"Kubwa ni usalama wa raia na mali zao, hilo ndio kubwa, kwa sababu kama hakuna usalama kila kitu kitakuwa hakiendi na watu watakimbia watasema Kilimanjaro tukienda tunafanyiwa vurugu...lakini sasa hivi…
Tanzania takes a leaf from Durban Port’s services, being among the best container handlers
DURBAN: THE Tanzanian Transport Deputy Minister, David Kihenzile, has visited the Port of Durban to assess its operations and observe major infrastructure investments at one of Africa’s leading container ports.…
Beki Chelsea akamatwa na bangi Hispania
Beki wa zamani wa Chelsea na West Bromwich Albion, Paul Clement anashikiliwa na Polisi nchini...
Watatu wafariki ikidaiwa kunywa dawa za kutoa nyongo, kuongeza hamu ya kula
Watu watatu wakazi wa Kijiji cha Burunga wilayani Serengeti mkoani Mara wamefariki dunia huku...
🔴 KIPIMAJOTO:TANZANIA IJIPANGE VIPI KUKABILIANA NA ATHARI ZA VITA VYA MASHARIKI YA KATI?
🔴 KIPIMAJOTO:TANZANIA IJIPANGE VIPI KUKABILIANA NA ATHARI ZA VITA VYA MASHARIKI YA KATI?
William Ruto, Oburu Oginga wapiga luku kwa mavazi ya kufanana katika sherehe za Idd-ul-Fitr Kisumu
Rais William Ruto alisherehekea Idd-ul-Fitr na jamii ya Waislamu mjini Kisumu, na kuonyesha uhusiano mkubwa alionao Oburu Oginga na viongozi wengine wa ODM.
Kihenzile akoshwa uwekezaji bandari ya Durban
DURBAN: NAIBU Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, ametembelea Bandari ya Durban iliyopo nchini Afrika Kusini, kwaajili ya kujionea utendaji na uwekezaji mkubwa katika bandari hiyo inayohesabika miongoni mwa bandari kuu…
Aristote on building career in beauty, property
DAR ES SALAAM: IN a busy salon, a man stands behind a seated woman, parting her hair with care and precision. His hands move quickly but deliberately, shaping and styling…
Leo ni Siku ya Kimataifa ya Furaha, ambayo huadhimishwa kila mwaka na kutoa tathmini ya kina kuhusu hali ya maisha ya watu katik…
Leo ni Siku ya Kimataifa ya Furaha, ambayo huadhimishwa kila mwaka na kutoa tathmini ya kina kuhusu hali ya maisha ya watu katika nchi zao pamoja na mambo yanayochochea au…
Kioja waumini waking’ang’ania mchanga ambapo Mchungaji Ezekiel Odero alikanyaga
Pasta Ezekiel Odero, amepepea mitandaoni baada ya video kuibuka ikimuonyesha akitembea juu ya ardhi ya matope huku waumini wakimfuata mbio nyuma.
Kioja waumini wakikimbia kukusanya mchanga ambapo Mchungaji Ezekiel Odero alikanyaga
Pasta Ezekiel Odero, amepepea mitandaoni baada ya video kuibuka ikimuonyesha akitembea juu ya ardhi ya matope huku waumini wakimfuata mbio nyuma.
Iran imethibitisha kifo cha msemaji wake wa jeshi aliyeuawa katika mashambulizi ya anga yaliyohusisha Israel dhidi ya viongozi w…
Iran imethibitisha kifo cha msemaji wake wa jeshi aliyeuawa katika mashambulizi ya anga yaliyohusisha Israel dhidi ya viongozi wa ngazi ya juu wa usalama wa taifa hilo. Kifo hicho kimejiri…
#HABARI: Serikali ya Tanzania imetangaza fursa kubwa za uwekezaji katika sekta ya nishati zenye thamani ya dola za Marekani bili…
#HABARI: Serikali ya Tanzania imetangaza fursa kubwa za uwekezaji katika sekta ya nishati zenye thamani ya dola za Marekani bilioni 12.9 ili kukuza uchumi na kuboresha huduma za nishati nchini.…
#KIPIMAJOTO: TANZANIA IJIPANGE VIPI KUKABILIANA NA ATHARI ZA VITA VYA MASHARIKI YA KATI?
#KIPIMAJOTO: TANZANIA IJIPANGE VIPI KUKABILIANA NA ATHARI ZA VITA VYA MASHARIKI YA KATI?
Imebainika kuwa viboko vina mchango mdogo kwenye kukabiliana na utoro wa wananfunzi shuleni kuliko mazingira yenye mvuto kwa Wat…
Imebainika kuwa viboko vina mchango mdogo kwenye kukabiliana na utoro wa wananfunzi shuleni kuliko mazingira yenye mvuto kwa Watoto hao. Tafiti mbalimbali zilizojikita kuangazia mazingira ya elimu ukiwemo wa Benki…
Ruzuku ya pembejeo za kilimo inayotolewa na Serikali chini ya uongozi wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuwa …
Ruzuku ya pembejeo za kilimo inayotolewa na Serikali chini ya uongozi wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuwa chachu ya maendeleo kwa wakulima wadogo na vijana katika Wilaya…
#HABARI: Simanzi nzito imetanda katika Kijiji cha Buruga, wilayani Serengeti, kufuatia vifo vya ndugu watatu wa familia moja baa…
#HABARI: Simanzi nzito imetanda katika Kijiji cha Buruga, wilayani Serengeti, kufuatia vifo vya ndugu watatu wa familia moja baada ya kunywa dawa ya kienyeji iliyotokana na magome ya miti shamba.…
AI, tech drive talks at women’s executive summit
DAR ES SALAAM: Harnessing technology and Artificial Intelligence (AI), alongside pathways to financial growth, took centre stage at the Accelerate Women Executive Summit 2026 in Dar es Salaam, bringing together…
Nairobi Hospital: Madaktari sasa wasema hospitali hiyo haihitaji mtu wa kuikomboa, iko imara
Hospitali ya Nairobi inakabiliwa na sakata kali ya usimamizi huku madaktari wakigongana na bodi, ambayo haitaki Rais William Ruto kuingilia mambo yake.
Serikali: Hakuna muda wa nyongeza miundombinu uwanja wa AFCON
Profesa Shemdoe amesema kutokana na ukubwa wa mashindano hayo, dunia yote itaelekeza macho yake...
#HABARI: Katika hali ya sintofahamu, mtu mmoja mwanamke, aliyefahamika kwa jina la Hussein Rashid Omary (23) ambaye ni Mwanafunz…
#HABARI: Katika hali ya sintofahamu, mtu mmoja mwanamke, aliyefahamika kwa jina la Hussein Rashid Omary (23) ambaye ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro (MUM), amekutwa amefariki chumbani kwake…
Burundian refugees voluntarily return home as Nyarugusu, Nduta camps are about to close
KIGOMA: THOUSANDS of Burundian nationals who had been living in the Nduta refugee camp in Kibondo District and Nyarugusu camp in Kasulu District, Kigoma Region, have continued to return to…
Njombe assigns TSN to promote its green economy in avocados, tea, forest products
DAR ES SALAAM: THE Njombe Regional Commissioner, Anthony Mtaka, has visited the Tanzania Standard Newspapers (TSN) in Dar es Salaam to discuss a media partnership in preparation for the May…
Chuck Norris: Mkali wa filamu za kivita afariki akiwa na miaka 86, mashabiki wamlilia
Mwigizaji wa Marekani Chuck Norris amefariki akiwa na miaka 86. Familia yake inatoa heshima za dhati na kuomba faragha wakati huu mgumu. Mkumbuke kwa urithi wake.
SHA imesota, wabunge waafikia uamuzi baada ya vikao vya kujadiliana Mombasa
SHA, mpango wa afya uliochukua nafasi ya NHIF, unakabiliwa na uhaba wa pesa taslimu huku wanachama milioni 5 pekee kati ya milioni 29 wakichangia.
Chadema: Ramadhani ni msingi wa kujenga jamii bora
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Serengeti kimetuma salamu za pongezi kwa...
#HABARI: Ruzuku ya pembejeo za kilimo inayotolewa na Serikali chini ya uongozi wa Rais wa Tanzania, Dkt
#HABARI: Ruzuku ya pembejeo za kilimo inayotolewa na Serikali chini ya uongozi wa Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuwa chachu ya maendeleo kwa wakulima wadogo na vijana…
Relief as Kwala Dry Port reduces cargo congestion at Dar Port
DAR ES SALAAM: THE Parliamentary Standing Committee on Infrastructure has conducted a visit to the Kwala Dry Port to observe its operations and assess the progress of the ongoing project.…
#MICHEZO: “..maandalizi yapo vizuri kwa 90% kwasababu tuko Moshi sasa hivi kwenye zoezi la uchukuaji namba ambalo tutakamilisha …
#MICHEZO: "..maandalizi yapo vizuri kwa 90% kwasababu tuko Moshi sasa hivi kwenye zoezi la uchukuaji namba ambalo tutakamilisha zoezi hili la uchukuaji namba kesho Machi 21, 2026, bingwa wa riadha…
Waislamu watakiwa kudumisha utamaduni wa kutenda mema
Waumini wa dini ya Kiislamu wametakiwa kuendelea kumfanya Mwenyezi Mungu kuwa kimbilio lao...
Muigizaji wa filamu za mapigano Chuck Norris amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86, familia yake imetangaza kifo chake katik…
Muigizaji wa filamu za mapigano Chuck Norris amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86, familia yake imetangaza kifo chake katika taarifa iliyotolewa leo rasmi.. Muigizaji huyo wa Marekani alijulikana…
Tanzania tasks CRJE to timely complete building roads leading to the AFCON stadium
ARUSHA: THE Tanzanian government has tasked the contractor CRJE from China to ensure he finishes his assignment two months before the kick-off of AFCON 2027 finals. CRJE has won the…
Polisi Dar wakazia marufuku matumizi ya njia za mwendokasi
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesisitiza marufuku kwa magari binafsi, ya...
Shemdoe ataka miradi inayozunguka uwanja AFCON ituzwe
ARUSHA: WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Professa Riziki Shemdoe amesema kuwa fedha za mradi wa Sh bilioni 82.5 za ujenzi…
Familia za gwiji wa pikipiki Gustavo, mkewe Diana Mwai zatangaza tarehe zao za mazishi
Familia zimetangaza tarehe za kuzikwa kwa mwendesha pikipiki wa Nairobi Elvis Khamala na mkewe Diana Mwai, ambao walifariki katika ajali. Hawatazikwa mahali pamoja.
Chuck Norris wa ‘The Delta Force’ afariki dunia
Gwiji wa mapigano na filamu za kivita, Chuck Norris, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 86...
Tanzania lures China’s expertise to advance its technological innovation, industrial transformation
WEIHAI: THE Tanzanian government has called on companies and experts from China to collaborate with Tanzania in advancing modern technology and innovation, to accelerate the country’s industrial transformation. The call…
#HABARI: Chuck Norris, nyota wa filamu za mapigano na mhusika mkuu wa Walker, Texas Ranger, amefariki dunia akiwa na umri wa mia…
#HABARI: Chuck Norris, nyota wa filamu za mapigano na mhusika mkuu wa Walker, Texas Ranger, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86, kwa mujibu wa taarifa ya familia yake.…
Makonda graces the construction of the road leading to the AFCON Stadium
ARUSHA: THE Minister for Information, Arts, Culture, and Sports, Paul Makonda, has emphasized that investment in road infrastructure is a national initiative that unites citizens regardless of their political differences.…
RC Mtaka atembelea TSN, ataja mikakati mipya
DAR ES SALAAM; Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, ametembelea Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) jijini Dar es Salaam kujadili ushirikiano wa kimawasiliano kuelekea Mei Mosi 2026. Ziara…