Tanzania sees the completion of 9.7bn/-Mtera Power substation
DODOMA: THE Minister for Energy, Deogratius Ndejembi, will tomorrow, January 16, 2026, launch the newly-constructed Mtera power substation, a strategic facility built for 9.7bn/- to significantly strengthen electricity availability across…
Domestic tourism heightens Kazimzumbwe Reserve as it generates 1.9bn/- in revenue
KISARAWE: THE Pugu Kazimzumbwi Nature Forest Reserve has continued to stand out as one of the key pillars in promoting Tanzania’s tourism sector, driven by a growing number of both…
SMZ yabainisha kuvunja mikataba ya sekta binafsi iwapo…
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema haijasita kuvunja mikataba na sekta binafsi endapo watoa...
Aliyewashusha, kuwapandisha vyeo watumishi kimakosa aburutwa Baraza la Maadili
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imemfikisha mbele ya Baraza la Maadili Mkuu wa...
With 44 percent, the General Elections glorify women’s capabilities
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has said that in 2025, Tanzania conducted its seventh General Election, which recorded major successes, including achieving 44 percent women representation in Parliament,…
Kitendawili mauaji ya Happiness, Mwangobola aachiwa huru
Ni nani aliyehusika na mauaji ya Happiness Fredrick, aliyekuwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza...
Mbarawa: Jengo la watu mashuhuri JNIA limechochea biashara Dar
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema jengo la watu mashuhuri katika Uwanja wa...
Korosho zaimarisha maandalizi ya wanafunzi Mtwara
MTWARA: BAADHI ya wakulima wa zao la korosho katika Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara wamesema kupitia fedha za malipo ya korosho watahakikisha watoto wote waliyochaguliwa kwenda shule wanawanunulia…
Mchengerwa awataka watumishi wa afya kuacha visingizio, atoa maagizo
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ametoa maagizo 17 kwa watendaji wa wizara na taasisi zilizo...
Serikali yaainisha mkakati kuendeleza wachimbaji wadogo
SERIKALI imeainisha mkakati mahsusi wa kuwaendeleza wachimbaji wadogo wa madini nchini, kwa kuweka kipaumbele katika utoaji wa leseni, upatikanaji wa mitaji, teknolojia, masoko ya uhakika pamoja na maeneo yenye taarifa…
#MEZAHURU”…..inabidi aende mazoezi kabla hajala, itakuwa na matokeo kwa mtu anayetaka kupunguza uzito….ukila chakula halafu …
#MEZAHURU".....inabidi aende mazoezi kabla hajala, itakuwa na matokeo kwa mtu anayetaka kupunguza uzito....ukila chakula halafu ukaenda mazoezi tafsiri yake chakula ulichokula huo muda ndo kitaenda kutumika kwenye mazoezi....ili tupunguze uzito…
#MEZAHURU”…..unakula vipi?
#MEZAHURU".....unakula vipi? Hicho ndio cha muhimu zaidi tunarudi tena kwenye vyakula kuna vyakula hutakiwi kula.....tunawaambia watu waanze kufunga kwa sababu kuna vyakula inabidi tuanze kuviondoa ambavyo sio vya muhimu sana…
Kwanini uchaguzi wa Uganda unafuatiliwa kwa ukaribu na Jumuiya ya Afrika Mashariki
Ni hali ya kinaya: serikali hunyamaza kidiplomasia, lakini raia wake huzungumza kwa sauti kubwa mtandaoni.
Yanga yamtambulisha Depu
KLABU ya Yanga imemtambulisha rasmi mshambuliaji mpya Laurindo Dilson Maria Aurélio maarufu kama Depu, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha kikosi chake katika dirisha dogo la usajili. Depu amesajiliwa akitokea Ligi…
Anayedaiwa kusafirisha bangi, apewa siku tano kupitia nyaraka za ushahidi
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Januari 20, 2026 kwa ajili ya Jamhuri kumsomea hoja za...
Kampuni ya Azam Ice Cream imezindua rasmi bidhaa mpya ya ice cream yenye ubora wa hali ya juu, ikilenga kuwapatia wateja ladha m…
Kampuni ya Azam Ice Cream imezindua rasmi bidhaa mpya ya ice cream yenye ubora wa hali ya juu, ikilenga kuwapatia wateja ladha mpya na chaguo pana kulingana na mahitaji yao.…
Diwani Geita atangaza oparesheni watoto wasioripoti shule
DIWANI wa Kata ya Nyanguku Halmashauri ya Manispaa ya Geita, Elias Ngole ametangaza kufanyika kwa oparesheni maalum kwa ajili ya kusaka watoto ambao hawajaripoti shule. Oparesheni hiyo inatarajia kuanza Januari…
Museveni apiga kura kijijini kwake, mfumo wa bayometriki wagoma
Rais Yoweri Museveni amepiga kura katika Kituo cha Shule ya Sekondari iliyoko katika kijiji...
Yanga SC wamemtambulisha mshambuliaji Depu leo kama mchezaji mpya wa klabu hiyo, akitarajiwa kuimarisha safu ya ushambuliaji kue…
Yanga SC wamemtambulisha mshambuliaji Depu leo kama mchezaji mpya wa klabu hiyo, akitarajiwa kuimarisha safu ya ushambuliaji kuelekea Ligi Kuu na michuano ya CAF. 📊 TAKWIMU ZA DEPU (Depú) Jina…
Comment yako itasomwa na @neypova kwenye show tamu ya Tv #TheSpark na @djfantastic255
Comment yako itasomwa na @neypova kwenye show tamu ya Tv #TheSpark na @djfantastic255 atasimamia Burudani ya muziki Ikifika saa 05:00 washa Tv yako kisha weka Clouds Tv .
Ni sehemu ya mahojiano na Musiba Paul Kitema maarufu kama Dkt
Ni sehemu ya mahojiano na Musiba Paul Kitema maarufu kama Dkt. Nyuki ambaye ni mtaalamu wa Nyuki katika kipindi cha #Baragumu live ambapo mahojiano yalilenga kuangazia fursa mbalimbali za kiuchumi…
Shughuli ya upigaji kura unaendelea katika vituo mbali mbali vya upigaji kura baada ya mchakato huo kuanza kuchelewa kutokana na…
Shughuli ya upigaji kura unaendelea katika vituo mbali mbali vya upigaji kura baada ya mchakato huo kuanza kuchelewa kutokana na hitilafu za kiufundi. Katika vituo vingi vya kupigia kura, upigaji…
Hukumu kesi ya aliyetoroka bandarini akituhumiwa kusafirisha bangi, yasogezwa mbele
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imesogeza mbele kutoa hukumu katika kesi ya kusafirisha dawa...
Wanandoa waweka rekodi ya dunia kwa kuzama kwenye maji ya baridi kali
Wanandoa Chloé Frammery na Steven Kittirath wameingia katika historia baada ya kuweka rekodi ya...
Ukisikia maajabu ndo leo, Karesi na Begum wafunge pingu za maisha, Osman ajeruhiwa
Ukisikia maajabu ndo leo, Karesi na Begum wafunge pingu za maisha, Osman ajeruhiwa. Usikose kutazama OTTOMAN leo saa 4:00 usiku. #AzamTWO
Pugu Kazimzumbwi yaimarisha mapato serikalini
PWANI: HIFADHI ya Msitu wa Mazingira Asilia Pugu Kazimzumbwi imeendelea kuwa miongoni mwa nguzo muhimu katika kukuza sekta ya utalii nchini, kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watalii wa ndani…
Balozi Luhemeja amkabidhi ofisi Dk Muyungi
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dk Richarid Muyungi amekabidhiwa ofisi na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Balozi Mhandisi Cyprian Luhemeja, Dodoma, leo Januari 14,…
Zaidi ya wananchi 500 wa Mkoa wa Arusha wanatarajiwa kulipwa fidia ya takribani shilingi bilioni 3 kupisha ujenzi wa barabara ya…
Zaidi ya wananchi 500 wa Mkoa wa Arusha wanatarajiwa kulipwa fidia ya takribani shilingi bilioni 3 kupisha ujenzi wa barabara ya Mianzini hadi Ngaramtoni. Mradi huo unaojengwa kwa kiwango cha…
Mikataba mibovu inavyowarudisha nyuma wakulima wa machungwa
Utafiti umebaini kuwa mikataba mibovu ya mauzo ya mazao ndiyo chanzo kikubwa cha wakulima wa...
Serikali kumchukulia hatua mkandarasi barabara Kahama
Serikali imesema itachukua hatua za kisheria dhidi ya mkandarasi Sichuan Road and Bridge Group...
#ALAMA za Mtanga tutazitazama leo kuanzia saa 2:00 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
#ALAMA za Mtanga tutazitazama leo kuanzia saa 2:00 usiku ndani ya #SinemaZetuHD @sophiamgaz anasema huyu si muigizaji na mchekeshaji tu, bali alama ambayo bado inaendelea kustawi kwenye tasnia ya Filamu.…
Vuta nikuvute Barazani, Iran ikijadiliwa; waliokumbwa na zahma wapaza sauti
Hali nchini Iran ni “inayobadilika na inayotia wasiwasi mkubwa”: amesema Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja Mataifa, Martha Pobee mbele ya wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa…
Mkataba wa aina yake wa kimataifa wa kuhifadhi viumbe hai baharini kuanza kutekelezwa
Baada ya takribani miongo miwili ya majadiliano, mkataba wa kimataifa wa kulinda viumbe wa baharini kwenye eneo la Bahari kuu na sakafu ya Bahari, unaanza kutekelezwa Jumamosi hii, ikiwa ni…
Mkuu wa UN aonya kuhusu zahma kubwa duniani, ataka mageuzi ya haraka na mshikamano wa kimataifa
Dunia inakabiliwa na kipindi cha zahma kubwa inayochangiwa na migogoro inayoongezeka, ukosefu wa usawa unaozidi kupanua wigo, mabadiliko ya tabianchi na kudhoofika kwa ushirikiano wa kimataifa, Katibu Mkuu wa Umoja…
ICJ: Warohingya Myanmar waliitwa ‘mbwa waislamu’ kabla ya mashambulio
Kesi imeendelea kusikilizwa leo katika mahakama ya Haki ya Umoja wa Mataifa ICJ kuhusu madai ya Gambia kwamba Myanmar ilitekeleza mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Rohingya, ikiwemo madai…
Familia nchini Sudan zinasukumwa kwenye ukingo – WFP
Kadri Sudan mwezi huu inavyoangazia zaidi ya siku 1,000 za mgogoro mkali, kile kilichogeuka kuwa janga kubwa zaidi la njaa na wakimbizi duniani hakioneshi dalili za kupungua. Hali hii inatokea…
Sudan: “Ilikuwa janga,” Wanawake na wahudumu wa afya wasimulia masaibu ya kukimbia El Fasher
“Huko El Fasher, sikuweza kupata uchunguzi wowote wa afya kwa sababu hakukuwa na hospitali zilizobaki karibu nasi,” anasema Zainab, mwenye umri wa miaka 26, ambaye alikuwa mjamzito wakati mji mkuu…
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Patrick Sawala, amewapongeza wananchi wa Kijiji cha Lidede, wilayani Nanyumbu, kwa kujitoa kujeng…
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Patrick Sawala, amewapongeza wananchi wa Kijiji cha Lidede, wilayani Nanyumbu, kwa kujitoa kujenga majengo saba ya Shule ya Msingi. Hatua hiyo imelenga kutatua msongamano…
NIC seeks to engage TCAA in implementing Mandatory Inbound Travel Insurance
DAR ES SALAAM: THE Acting Chief Executive Officer of the National Insurance Corporation (NIC Insurance), Kaimu Abdi Mkeyenge, has led an NIC delegation on an official visit to the headquarters…
Tanzania banks on diplomatic steps in safeguarding global image, fostering recovery
DODOMA: TANZANIA’S Foreign Affairs Ministry has today, January 15, 2026, briefed President Samia Suluhu Hassan on the diplomatic steps taken over the past year to safeguard the country’s international standing…
Sababu zilizofanya Somalia iwe na ghadhabu kali dhidi ya UAE
Serikali ya Mogadishu imeituhumu UAE kwa kudhoofisha mamlaka na uhuru wa Somalia.
Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na mabalozi wanaowakilisha nchini zao hapa Tanzania Katika hafla ya kufungua mwaka kwa mabalo…
Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na mabalozi wanaowakilisha nchini zao hapa Tanzania Katika hafla ya kufungua mwaka kwa mabalozi hao. Katika hafla hiyo, Rais Samia amegusia mambo mbalimbali ikiwemo vurugu…
NIC, TCAA zaimarisha utekelezaji Bima ya Wageni
DAR ES SALAAM: Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC Insurance), Kaimu Abdi Mkeyenge, ameongoza ujumbe wa NIC katika ziara rasmi iliyofanyika Makao Makuu ya Mamlaka ya Usafiri…
Aliyeshtakiwa kutapeli kwa jina la Mchungaji Kulola amshinda DPP
Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Tanga, imetupilia mbali rufaa iliyokuwa imekatwa na Mkurugenzi...
Trump awafungia mashabiki Kombe la Dunia
Kombe la Dunia la 2026, limeanza kukumbwa vikwazo baada ya mashabiki kutoka mataifa 15...
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Maji, imekutana na Serikali ya Korea kupitia ubalozi wake hapa nchini, ili kutafuta ufumb…
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Maji, imekutana na Serikali ya Korea kupitia ubalozi wake hapa nchini, ili kutafuta ufumbuzi wa uhaba wa maji katika jiji la Dar es Salaam,…
Huyu Firaz ashakuwa pasua kichwa, Karam naye mambo yameanza kuwa shwari
Huyu Firaz ashakuwa pasua kichwa, Karam naye mambo yameanza kuwa shwari Usikose kufuatilia THE PRICE leo saa 3:00 usiku. #AzamTWO
Serikali yatangaza ajira 1,200 kada mbalimbali
Serikali imetangaza ajira 1,283 zinazohitajika kujazwa katika taasisi na mamlaka mbalimbali za...
Arteta alia na washambuliaji Arsenal
Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta amesema amekwazika kwa timu yake kushindwa kufunga mabao manne...