#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan, amesema ili kuliponya Taifa amechukua hatua kadhaa iki…
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan, amesema ili kuliponya Taifa amechukua hatua kadhaa ikiwemo kuanzisha Wizara ya Vijana iliyopo chini ya Ofisi ya Rais, kuwaachia…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55….JANUARI 15, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....JANUARI 15, 2025
Mjumbe wa Marekani Steve Witkoff ametangaza kuanza kwa awamu ya pili ya mpango wa Rais Donald Trump wa kukomesha vita huko Gaza,…
Mjumbe wa Marekani Steve Witkoff ametangaza kuanza kwa awamu ya pili ya mpango wa Rais Donald Trump wa kukomesha vita huko Gaza, huku serikali ya Palestina yenye kuendeshwa na wataalam…
Je, serikali ya Iran imefikia ‘ukingoni’?
Maandamano yanayoendelea hivi karibuni ni zaidi ya malalamishi ya kiuchumi na kimaisha hadi matakwa ya wazi ya kukomesha utawala.
Mfamasia Mkuu wa Serikali, Daudi Msasi, amesema Serikali imeweka mkakati wa kitaifa wa kuongeza uzalishaji wa dawa za ndani ifik…
Mfamasia Mkuu wa Serikali, Daudi Msasi, amesema Serikali imeweka mkakati wa kitaifa wa kuongeza uzalishaji wa dawa za ndani ifikapo mwaka 2030, ili kupunguza utegemezi wa dawa kutoka nje. Amesema…
Wananchi Uganda wajitokeza, walalamikia uchelewaji kupiga kura ngome za upinzani
Wananchi wa Uganda wamejitokeza vituo vya kupiga kura katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo...
Vigogo warejea Ligi Kuu Bara
Timu nne zinazowakilisha Tanzania katika hatua ya makundi ya mashindano ya Klabu Afrika...
Tanzania Judges Conference sees NCAA promoting its rich attractions
DODOMA: THE Ngorongoro Conservation Authority (NCAA) has seized the opportunity to promote its world-class tourism attractions during the annual conference of the Tanzania Judges and Magistrates Association in Dodoma. The…
Airtel Tanzania launches new communication towers in Simanjiro and Mara
MARA: Airtel Tanzania has launched two new telecommunications towers in Simanjiro–Lebosoiti and Mugumu Ward in Mara Region, a move expected to significantly improve access to mobile communication and internet services…
Tanzania lures Indonesian investments in agro-processing, mining, energy, tourism sectors
DODOMA: TANZANIA, has invited Indonesian investors to explore investment opportunities in the country in the various sectors of agriculture, agro-processing, mining, manufacturing, energy, infrastructure, health, education, and tourism. The call…
Washindi wa CRDB Bank Supa Cup wapitikana
Katika kuendeleza juhudi za kuimarisha mshikamano kazini, kukuza afya njema na kuinua morali ya...
Ms Mwinyi cherishes Zanzibar’s contribution to Swahili literature, multicultural exchange
SHARJAH: Zanzibar’s First Lady and Chairperson of the Board of Trustees of the Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), Mariam H. Mwinyi, has said that Zanzibar has a significant contribution to…
Tanzania set to launch Universal Health Insurance within 100 days
DODOMA: MINISTER of Health, Mohamed Mchengerwa, has said that they have planned with great hope the historic launch of Universal Health Insurance before the completion of one hundred days of…
Tanzania embarks on strategic mining deals with India, Korea
DODOMA: THE Minister for Minerals, Anthony Mavunde, has held separate discussions with the Ambassador of India to Tanzania, Bishwadip Dey, and the Ambassador of Korea to Tanzania, Eunju Ahn, aimed…
Vituko vya mwanamuziki Aya Nakamura na bodyguard wake
Wakati wasanii wengine wa kike wakiambatana na wasimamizi wao ambao ni wanawake, katika sehemu...
Tanzania, Korea unveil a joint bid to bring Rufiji water to Dar residents
DAR ES SALAAM: TANZANIA, and Korea have held discussions on the implementation of the Rufiji Water Project as a long-term plan to improve the provision of clean and safe water…
#HABARI: Ujenzi wa mradi wa chujio la maji la mradi wa kuvuna maji ya mvua wa Mwendakulima wilayani Kahama, unaojengwa gharama y…
#HABARI: Ujenzi wa mradi wa chujio la maji la mradi wa kuvuna maji ya mvua wa Mwendakulima wilayani Kahama, unaojengwa gharama ya shilingi bilioni 4.8 umefikia asilimia 91. Akielezea mradi…
Vikundi 10 vya bodaboda kupata Bima ya Afya Arusha
ARUSHA: Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude, ameahidi kuchangia Bima ya Afya kwa Wote kwa waendesha bodaboda 60 kutoka vikundi 10, kila kikundi kikiwa na watu sita, ikiwa ni…
Raia zaidi ya milioni 21 wa Uganda wanapiga kura Alhamisi katika uchaguzi wa rais unaotarajiwa kuendeleza utawala wa muda mrefu …
Raia zaidi ya milioni 21 wa Uganda wanapiga kura Alhamisi katika uchaguzi wa rais unaotarajiwa kuendeleza utawala wa muda mrefu wa Rais Yoweri Museveni. Museveni mwenye umri wa miaka 81…
Wazazi viongozi wahimizwa kushirikiana elimu bure
MTWARA: VIONGOZI wa ngazi mbalimbali mkoani Mtwara wametakiwa kuweka mikakati mahususi kwa kushirikiana na wazazi na walezi ili kuhakikisha wanafunzi walioandikishwa elimu ya awali, msingi, sekondari na wanaoendelea wanaripoti shule.…
Kijana mmoja dereva wa Bodaboda anayefahamika kwa jina la Hamis Nchambi amekutwa ameuawa na watu wasiojulikana, huku mwili wake …
Kijana mmoja dereva wa Bodaboda anayefahamika kwa jina la Hamis Nchambi amekutwa ameuawa na watu wasiojulikana, huku mwili wake ukiwa umetelekezwa juu ya kaburi katika makaburi ya miemba mkoani Tabora.…
Elimu bure: Wazazi, viongozi wahimizwa kushirikiana
SHINYANGA: WALIMU wa Shule ya Msingi Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kufuata waraka wa elimu wa mwaka 2016 kuwa elimu ni bure nawasitoze fedha zozote kwa wazazi…
Watakiwa kuwajibika mikopo ya halmashauri
SHINYANGA: MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita amesema maofisa maendeleo ya jamii na madiwani wasikwepe kusimamia mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri ili vikundi mbalimbali vyenye sifa vinufaike…
#MEZAHURU: Watu wengi wanafanya mazoezi ya mwili kipindi hiki lakini je wanazingatia ulaji wa chakula bora
#MEZAHURU: Watu wengi wanafanya mazoezi ya mwili kipindi hiki lakini je wanazingatia ulaji wa chakula bora
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita, amekagua ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye mahitaji maalum pamoja na kuweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa nyumba ya mlezi…
Kuelekea katika shindano la Miss & Mr UDSM, @pjsweya ametaka kujua maisha ya mwanafunzi wa chuo kikuu hicho kikongwe yapoje toka…
Kuelekea katika shindano la Miss & Mr UDSM, @pjsweya ametaka kujua maisha ya mwanafunzi wa chuo kikuu hicho kikongwe yapoje toka kwa William, Emmanuel; Rais Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55….JANUARI 15, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....JANUARI 15, 2025
IRGC yaonya kuhusu majibu makali kwa makosa ya kimahesabu ya Marekani na Israel
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) amezionya Marekani, Israel na mamluki wao wenye mienendo ya Daesh kwamba kosa lolote la kimahesabu litakabiliwa na…
Wabunge wa Uingereza watoa wito wa kufukuzwa Marekani katika mashindano ya Kombe la Dunia 2026
Wabunge wapatao ishirini wa Bunge la Uingereza wamelitaka Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuiondoa Marekani katika fainali za Kombe la Dunia 2026, licha ya kuwa mwenyeji mkuu, kwa sababu ya…
Maelfu ya Wanigeria wakimbia makazi yao baada ya kiongozi wa genge la waasi kutishia kuwaua
Maafisa wa serikali na wakazi wa kaskazini magharibi mwa Nigeria wamesema kwamba maelfu ya watu wamekimbia makazi yao wiki hii baada ya kiongozi wa genge lenye silaha kuwaamuru waondoke kwenye…
#ALAMA | #Bambo anasimulia mikasa iliyomkuta wakati alipokuwa akiendelea kujitafuta katika sanaa ya uigizaji
#ALAMA | #Bambo anasimulia mikasa iliyomkuta wakati alipokuwa akiendelea kujitafuta katika sanaa ya uigizaji. Usikose kutazama ALAMA kila Alhamisi saa 2:00 usiku kupitia #SinemaZetuHD ukiwa na @sophiamgaz
Uwepo wa wageni wanaofanya kazi na biashara zinazoweza kufanywa na Watanzania imekuwa gumzo kwenye Mastori ya Town #LiveOnClouds…
Uwepo wa wageni wanaofanya kazi na biashara zinazoweza kufanywa na Watanzania imekuwa gumzo kwenye Mastori ya Town #LiveOnClouds360 #Clouds26Nyoosha
#HABARI: Shughuli ya kupiga kura imechelewa kuanza katika maeneo mengi nchini Uganda
#HABARI: Shughuli ya kupiga kura imechelewa kuanza katika maeneo mengi nchini Uganda. Awali, ilitarajiwa kuwa vituo vingefunguliwa saa moja asubuhi, lakini kufikia saa mbili na nusu asubuhi, wapiga kura walikuwa…
Do you have what it takes to be a single mother?
DAR ES SALAAM: WHEN Jane Mattes, a psychotherapist, was caring for her infant son in 1981, she realized she didn’t have a support system. “No one fully understands how hard…
#HABARI: Serikali ya Kenya imetoa Bilioni 6 za chakula cha msaada, wakati zaidi ya watu millioni 2.1 wanaendelea kukabiliwa na u…
#HABARI: Serikali ya Kenya imetoa Bilioni 6 za chakula cha msaada, wakati zaidi ya watu millioni 2.1 wanaendelea kukabiliwa na uhaba mkubwa wa maji na chakula nchini Kenya, huku ukame…
TREASURY REGISTRAR’S CORNER: What 46 per cent cut in public entities without boards means
DODOMA: THE steady strengthening of Boards of Directors across public institutions marks one of the most consequential governance reforms being implemented under the oversight of the Office of the Treasury…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limemkamata Denis Ogesa (28), raia wa Kenya na mkazi wa Nairobi, kwa tuhuma za kuvunja na kuiba k…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limemkamata Denis Ogesa (28), raia wa Kenya na mkazi wa Nairobi, kwa tuhuma za kuvunja na kuiba katika tawi la Benki ya Azania lililopo…
Faida Fund’s assets forecast to hit 70bn/- by mid-year
DAR ES SALAAM: THE Faida Fund Scheme, under Watumishi Housing Investment (WHI), is projected to record continued growth in assets under management, reflecting sustained investor interest and rising participation in…
Stop normalising corruption, it normalises failure
DAR ES SALAAM: WE must be reminded that corruption often arrives quietly, wearing the friendly face of “chai,” “kitu kidogo,” or “let’s sort this out.” It rarely bangs on the…
Waziri wa Ulinzi na JKT azindua bodi mpya ya ushauri SUMAJKT
WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Rhimo Nyansaho amezindua Bodi Mpya ya Ushauri ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMAJKT), Makao Makuu ya…
Uchaguzi Uganda 2026: UCC yatoa maelezo kuhusu kuminya intaneti
UCC ilieleza kuwa hatua ya kusitisha kwa muda huduma za intaneti ilichukuliwa ili kuzuia usambazaji wa habari potofu, wizi wa kura, pamoja na shinikizo la mtandaoni linaloweza kuchochea ghasia au…
Uchaguzi Uganda 2026: Shughuli ya upigaji kura Uganda yacheleweshwa
Uchaguzi huu unafanyika katika mazingira ambayo sio tofauti sana na chaguzi zilizopita hali ya wasiwasi ikiwa imetanda na ulinzi mkali ukiimarishwa.
Tanzania praised for hosting DRC refugees
KIGOMA: THE Minister of State-in Charge of Social Welfare, Humanitarian Action and Solidarity from the DR Congo Ms Eve Bazaiba Masudi, has praised the Tanzanian government for providing asylum to…
Govt commends UDOM’s role in advancing legal aid campaign
DODOMA: THE government has commended the University of Dodoma (UDOM) for its strategic and exemplary role in implementing the Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC), citing the institution as a…
Shamkhani: Shambulio la makombora kwenye kambi ya Al-Udeid ni ukumbusho wa azma ya Iran la kujibu mapigo
Mshauri mkuu wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran ameonya kwamba shambulio la makombora la Juni mwaka jana kwenye Kituo cha Anga cha jeshi la Marekani cha Al-Udeid huko…
Kenya: Umaskini wasababisha zaidi ya wanafunzi laki 8 kukosa kuripoti shule
Ripoti kutoka Kenya zinasema umaskini pamoja na hatua ya serikali kudhibiti uteuzi wa shule, umeibuka kuwa sababu kuu inayofanya zaidi ya wanafunzi 800,000 wa Gredi ya 10 kushindwa kuripoti katika…
Farmers call for rainwater harvesting, insurance to tackle climate risks
DODOMA: FARMERS in Dodoma Region have appealed to the government to urgently implement climate commitments agreed at the 30th Conference of the Parties (COP30), citing the need for rainwater harvesting…
Nyuma ya ustaa wa Eminem kuna maisha haya
Nyumba, magari, mavazi, mahusiano na vinginevyo ni miongoni mwa vitu ambavyo wasanii na watu...
Kijana mmoja ambaye bado hajatambuliwa jina wala makazi yake amekutwa ametelekezwa katika uwanja wa shule ya sekondari Nyanza Ma…
Kijana mmoja ambaye bado hajatambuliwa jina wala makazi yake amekutwa ametelekezwa katika uwanja wa shule ya sekondari Nyanza Manispaa ya Geita kwa madai ya kushambuliwa na watu wasiojulikana nyakati za…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55….JANUARI 15, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....JANUARI 15, 2025