Usaili ajira 12,000 za afya, ualimu kufanyika Desemba 13
Serikali imesema usaili wa ajira mpya 12,000 za afya na ualimu, utaanza rasmi kesho Jumamosi...
Tanzania launches a system that issues a birth certificate within 48 hours
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government, through the Registration, Insolvency and Trusteeship Agency (RITA), has officially launched a new system that enables Tanzanian citizens to obtain birth certificates within 48…
Tanzania joins Kenya in celebrating its National Day
NAIROBI: The United Republic of Tanzania has joined Kenya in celebrating the country’s Independence Day at Nyayo Stadium in Nairobi today, December 12, 2025. Tanzania was represented by the Minister…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas amesema mkoa wake umeguswa na msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo …
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas amesema mkoa wake umeguswa na msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho na Waziri mstaafu wa Afya, Jenista Mhagama…
#HABARI: Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo imezindua rasmi jarida lenye tafiti mbalimbali zinazofanyika hospitalini hapo, n…
#HABARI: Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo imezindua rasmi jarida lenye tafiti mbalimbali zinazofanyika hospitalini hapo, na kuelezwa kuwa kila mwaka MNH hupokea maombi ya tafiti kati ya 400 hadi…
Experts seek inclusion of children in climate action
NAIROBI: EXPERTS have called for a greater inclusion of children in climate action, saying their perspectives are crucial in planning for a changing environment. The call was made by the…
Ushauri mgumu kwa Liverpool sakata la Salah
Kiungo za zamani wa Liverpool, Dietmar Hammann ameitaka klabu hiyo kuachana haraka na...
“Kwa sasa uzalishaji wetu wa maji katika Mitambo ya Ruvu chini na Ruvu juu umeshuka kwa kiwango cha chini ya nusu ya uzalishaji …
“Kwa sasa uzalishaji wetu wa maji katika Mitambo ya Ruvu chini na Ruvu juu umeshuka kwa kiwango cha chini ya nusu ya uzalishaji wa kawaida, umeshuka kutoka lita Milioni 534…
Droughts, floods wipe out 10m livestock in East Africa
NAIROBI: EAST Africa faces the worsening climate extremes, where recent droughts and floods are said to have wiped out about 10 million livestock worth 2bn US Dollars, crippling livelihoods from…
Tanzania yashiriki Maadhimisho ya Siku ya Jamhuri ya Kenya
JAMHURI ya Muungano wa Tanzania imeungana na Jamhuri ya Kenya katika maadhimisho ya Siku ya Jamhuri (Jamhuri Day) yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Nyayo, jijini Nairobi. The post Tanzania yashiriki Maadhimisho…
RC Mhita ahimiza manispaa ya Shinyanga kuzingatia maslahi ya wananchi
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita amemtaka Meya wa Shinyanga, Salum Kitumbo na naibu wake,...
Lukuvi asihi vijana kuwa uelewa wa mazingira
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) William Lukuvi ametoa wito kwa vijana kuendelea kujijengea uwezo ili kuwa na uelewa kuhusu mazingira. Ametoa wito…
Sakata la wasanii, mashabiki linavyozidi kuchukua sura mpya
Kutokana na kilichotokea kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu na Oktoba 29, 2025 kipindi cha...
Tanzania approves 41,500 job positions for 2025/26
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has approved 41,500 job positions, including 12,000 vacancies currently available for recruitment for the 2025/2026 financial year. THE Minister of State in the President’s…
‘Hakuna mbadala wa amani’
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa hakuna mbadala wa amani na amewahimiza Waumini wa Dini ya Kiislamu kuendelea kuilinda na kuikuza amani.…
Wagosi wa Kaya waitana kujadili ripoti ya kocha
MABOSI wa Coastal Union ‘Wagosi wa Kaya’ wanatarajia kufanya kikao keshokutwa Jumatatu pamoja na kocha mkuu wa timu hiyo, Mohammed Muya kwa nia ya kujadili ripoti ya usajili unaotarajiwa kufunguliwa…
Police confirm the detention of former Minister, Mwambe
DAR ES SALAAM: THE Dar es Salaam Regional Police Command has confirmed the detention of former Minister Geofrey Mwambe since the night of December 7, 2025, when he was arrested…
Winga Stand Utd aibebesha zigo TFF
KIUNGO mshambuliaji wa Stand United ya Shinyanga, Raymond Masota amelibebesha mzigo Shirikisho la Soka nchini (TFF) kukomalia programu za kuandaa wachezaji chipukizi (TDS) ili kusaidia kutibu changamoto ya muda mrefu…
Pamba Jiji yataka mashine moja tu dirisha dogo
PAMBA Jiji kwa sasa ipo katika nafasi ya tatu katika msimamo wa Ligi Kuu Bara, lakini hiyo haina maana kama benchi la ufundi la timu hiyo limeridhika, kwani limesema lipo…
Teknolojia ya kidijitali inavyobadili samani za ndani
Mabadiliko ya mitazamo na mitindo ya matumizi ya samani nchini Tanzania yamesababisha...
Brayson: Mbinu zimetubeba JKT Tanzania
BEKI wa JKT Tanzania, David Bryson amekimwagia sifa kikosi cha timu hiyo kilichoanza kwa kasi kubwa msimu huu katika Ligi Kuu, huku akifichua kilichowabeba ni mbinu za kocha Ahmad Ally…
Twiga Minerals Yaipa Tanzania Nuru Mpya ya Maendeleo
TANZANIA inaendelea kung’ara kimataifa kupitia sekta ya madini, huku Twiga Minerals Corporation yenye ubia kati ya Serikali ya Tanzania na Barrick ikichukua nafasi ya kipekee katika kukuza uchumi wa taifa.…
Upinzani mkubwa wa UN dhidi ya kubadilishwa mipaka ya Gaza
Umoja wa Mataifa umetangaza upinzani wake mkubwa dhidi ya kufanyika mabadiliko ya aina yoyote ya mipaka ya Gaza na utawala wa Israel.
#Happybirthday | @_g_meshack
#Happybirthday | @_g_meshack #Cloudsmediagroup tunakutakia mafanikio na baraka maishani mwako. #Clouds26Nyoosha
Mazungumzo mabadiliko matumizi ya mafuta kwenda gesi
SERIKALI kupitia Wizara ya Nishati imesema imekuwa na mazungumzo na Wizara ya Fedha kupunguza gharama na kodi katika vifaa vinavyotumika kubadilisha mfumo wa vyombo vya usafiri wa moto kutoka kutumia…
🔴#MEZAHURU: KWANINI FAMILIA NYINGI HAZIPELEKI WATOTO LIKIZO KWA BIBI NA BABU?
🔴#MEZAHURU: KWANINI FAMILIA NYINGI HAZIPELEKI WATOTO LIKIZO KWA BIBI NA BABU?.... DESEMBA 12, 2025
Tanzania seeks to reduce the costs of converting vehicles from fuel to gas
DAR ES SALAAM: THE Ministry of Energy has announced that it is in discussions with the Ministry of Finance to reduce costs and taxes on equipment used to convert motor…
Ushawishi wa michezo katika kukuza suluhu endelevu, UNEA-7 yaidhinisha azimio jipya
Kikao cha saba cha Baraza la Umoja wa Mataifa la Mazingira UNEA-7 leo jijini Nairobi, Kenya kimeidhinisha rasimu ya azimio linalolenga kutumia nguvu ya michezo katika kuimarisha uendelevu na kuongeza…
Upatikanaji wa maji yanayoweza kurejelezwa kwa mtu mmoja wapungua kwa asilimia 7 katika miaka 10 – FAO
Upatikanaji wa maji safi yanayoweza kurejelezwa kwa mtu mmoja mmoja umepungua kwa kiwango cha asilimia 7 katika muongo mmoja, huku shinikizo likiongezeka katika maeneo yenye uhaba mkubwa wa maji, hii…
Baraza la Usalama: Mashambulizi mapya ya waasi DRC yamefufua hofu ya kusambaratika kwa nchi
Kutekwa kwa mji wa Uvira na Kundi la waasi la AFC/M23, baada ya siku kadhaa za mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, kumeporomosha matumaini ya kuwepo kwa…
UNEA-7: Viongozi wa dunia watoa wito wa hatua madhubuti kukabili janga la tabianchi
Wawakilishi kutoka zaidi ya nchi 170 wamekusanyika jijini Nairobi Kenya kwa kikao cha saba cha Baraza la Umoja wa Mataifa la Mazingira UNEA-7, linalokunja jamvi hii leo , wakitoa wito…
Vita Sudan: Hali bado ni tete japo kuna matumaini ya kufikisha misaada El Fasher – WFP
Huko nchini Sudan, wasiwasi mkubwa unaendelea kuhusu makumi ya maelfu ya watu wanaoaminika kuwa bado wamenaswa mjini El Fasher katika eneo la Darfur magharibi mwa nchi lakini mashirika ya misaada…
Vijana wabadilisha kilimo na maisha yao kupitia mradi wa EKYAN
Kutoka mashambani hadi kwenye majukwaa ya kidijitali, vijana wa kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya wanaongoza enzi mpya ya kilimo kinachoendana na mabadiliko ya tabianchi. Shirika la Umoja wa Mataifa la…
UNEA-7: Miaka 10 ya Mkataba wa Paris ni kupima hatua zilizopigwa na kukabili mapengo asante Dr. Munang
Leo Dunia inapoadhimisha miaka kumi tangu Mkataba wa Paris wa mabadiliko ya Tabianchi kupitishwa, wataalamu wa masuala ya tabianchi barani Afrika wanasema maadhimisho haya ni wakati wa kupima hatua zilizofikiwa…
Dar sees the completion of Kinyerezi power extension project
DAR ES SALAAM: THE Deputy Minister for Energy, Salome Makamba, has confirmed that the expansion project of the Kinyerezi I Extension Power Receiving and Cooling Station has been officially completed,…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55….12 DESEMBA 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....12 DESEMBA 2025
Ohooo Beysungur asije akakamatwa na wasaliti
Ohooo Beysungur asije akakamatwa na wasaliti. Ohoo kuna sumu imetumwa ikadhuru familia ya Bey wakati ambao binti Tekfur akiingia kambini na Orhan moyo unalipuka. Usikose kutazama OTTOMAN leo saa 4:00…
Siham bado anateswa na kumpoteza Basma
Siham bado anateswa na kumpoteza Basma. Stori za mtoto kupotea zinamshtua moyo wake. Upande wa pili Maryam anapambana kumtafutia shule Halla. Usikose kutazama UMMY leo saa 1:00 usiku ndani ya…
Jeshi la Polisi lathibitisha kumkamata Waziri wa zamani Mwambe
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limethibitisha kumshikilia Waziri wa zamani, Geofrey...
Kero ya maji yamkera Mbunge Ngorongoro
MBUNGE wa Jimbo la Ngorongoro mkoani Arusha, Dk Yannick Ndoinyo ameahidi kufuatilia kujua kwa nini mradi wa maji wenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 6 unasuasua kukamilika kwa zaidi…
Tanzania constructs 33bn/- center for adding value to gemstones
ARUSHA: THE minister of Minerals, Anthony Mavunde, has asked the contractor for the construction of the Tanzania Gemological Center (TGC) to complete the construction of the training center for adding…
TAFF injects 1.4bn/- support to Forestry Industries Training Institute
MOSHI: THE Tanzania Forest Fund (TAFF) has handed over a cheque worth 1.4bn/- to support the improvement of infrastructure at the Forestry Industries Training Institute (FITI) located in Kilimanjaro Region.…
HABARI: Viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili nyumbani kwa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Marehemu Jenista Mhagama kwa ajili y…
HABARI: Viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili nyumbani kwa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Marehemu Jenista Mhagama kwa ajili ya kutoa salamu za pole kwa familia. Hali ya huzuni imetanda nyumbani hapa huku…
Kinachoendelea tasnia ya burudani nchini, Chemical afafanua neno ‘msanii’
Umezoea kusikia maneno haya “msanii ni kioo cha jamii.” Mbali na maana hiyo soma hapa...
Fidan anamlaumu Zeliha kuwa ndiye sababu ya wazazi wao kufariki (Kumbuka wakati mchezo unaanza ni mchumba wake Zeliha ndiye aliy…
Fidan anamlaumu Zeliha kuwa ndiye sababu ya wazazi wao kufariki (Kumbuka wakati mchezo unaanza ni mchumba wake Zeliha ndiye aliyewachoma walipojificha familia yao) Usikose kutazama 6 of Us leo kuanzia…
Iran yalaani mwenendo wa madola makubwa wa kuitunukia Israel ‘haki maalumu’ ya kufanyia uchokozi
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, sera za mataifa makubwa katika Asia Magharibi zimetengeneza "haki maalumu kwa ajili ya utawala wa Kizayuni," hali ambayo imeiwezesha Israel…