Hukumu kesi dhidi ya Joseph Kabila yaahirishwa Kongo
Mahakama hiyo ambayo iliisikiliza kesi bila Kabila kuwepo mwezi Julai, ilikubali kufungua tena kesi hiyo baada ya wito wa dakika za mwisho wa kutaka mashtaka yaainishwe kuwa ya kufanya Ujasusi.…
Mahakama hiyo ambayo iliisikiliza kesi bila Kabila kuwepo mwezi Julai, ilikubali kufungua tena kesi hiyo baada ya wito wa dakika za mwisho wa kutaka mashtaka yaainishwe kuwa ya kufanya Ujasusi.…
Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, hali ya watoto wa Kipalestina hususan katika Ukanda wa Gaza ni mbaya mno na kwamba, mtoto mmoja kati ya watano…
Chanzo cha picha, Khames Alrefi/Anadolu via Getty Images Maelezo ya picha, Umati wa Wapalestina wamekusanyika katika kituo cha usambazaji wa misaada karibu na kivuko cha mpaka cha Zikim cha Gaza,…
#HABARI: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amehitimisha Kongamano la Nne la Kitaifa la Ufuatiliaji, Tathmini na Kujifunza lililofanyika Jijini Mwanza akiweka mkazo kuwa mfumo…
Kampuni ya utengenezaji magari ya umeme ya Uturuki, Togg, iliwasilisha modeli yake mpya ya T10F fastback kwa Rais Recep Tayyip Erdogan, ikimpa fursa ya kukagua muundo wa gari hilo, vipengele…
“Gaza ni kipimo halisi kwa jumuiya ya kimataifa kutofautisha kati ya mema na mabaya. Kutambua hali halisi ya Gaza na kulaani uhalifu wa kibinadamu wa Israel ni hatua ya kwanza…
Chanzo cha picha, Getty Maelezo kuhusu taarifa Author, Graham Fraser Nafasi, BBC 12 Septemba 2025 Kampuni ya Apple itazindua iPhone mpya wiki hii, isiyotumia kadiwia ya plastiki (sim card). Na…
Wafanyikazi katika uwanja wa ndege wa Ndjili jijini Kinshasa nchini DRC wameripotiwa kukamatwa kutokana na tukio kubwa la usiku wa Alhamisi ya Septemba tarehe 11 ambapo ndege ya Rais ilisubiri…
Mabunge ya Kiarabu na Kiafrika yamekosoa vikali kimya cha jamii ya kimataifa kwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza. BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Chanzo cha picha, ACT Dakika 35 zilizopita Alikuwa ni Vladmir Lenin, Baba wa Itikadi ya Kijamaa ya Urusi, aliyetoa kauli kwamba; “Kuna miongo ambayo hakuna kinachotokea na kuna wiki ambazo…
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki Source link
#HABARI: Kijana wa miaka 22 kutoka Utah amekamatwa kwa mauaji ya mwanaharakati wa mrengo wa kulia Charlie Kirk, ambaye alipigwa risasi akiwa jukwaani kwenye hafla ya chuo kikuu mapema wiki…
Burkina Faso imetangaza kuwa viza ya kuingia nchini humo kwa raia wote wa nchi za Afrika sasa itakuwa bila malipo, ikiwa ni sehemu ya hatua kadhaa zilizopitishwa na Baraza la…
Chanzo cha picha, Getty Images Saa 3 zilizopita Marekani imegubikwa na simanzi na hofu baada ya mwanaharakati Charlie Kirk kuuawa hadharani. Kirk alikuwa kijana maarufu Marekani kwa misimamo, mitazamo na…
Chanzo cha picha, Ofisi ya Gavana wa Utah Kijana wa miaka 22 kutoka Utah amekamatwa kwa mauaji ya mwanaharakati wa mrengo wa kulia Charlie Kirk, ambaye alipigwa risasi akiwa jukwaani…
Leo ni Jumamosi 20 Mfunguo Sita Rabiul-Awwal 1447 Hijria mwafaka na 13 Septemba 2025 Miladia. BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Chanzo cha picha, Getty Images Dakika 25 zilizopita Everton wana matumaini ya kumsajili Jack Grealish wa Manchester City kwa chini ya pauni milioni 50, Manchester United, Liverpool na Chelsea wanamfukuzia…
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) limepitisha kwa wingi mkubwa sana wa kura “Azimio la New York” linalotoa mwongozo wa kuchukuliwa “hatua zinazoonekana, katika muda maalumu na zisizoweza kutenduliwa”…
Mshauri mwandamizi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, amesema kuwa dunia haiwezi kuendelea kufumbia macho ukatili wa Israel kufuatia mashambulizi yake ya kikatili dhidi ya…
#KIPIMAJOTO: Jeshi la Polisi kuwataka wanaoendesha vyombo vya moto vinavyotumika katika Kampeni za Uchaguzi kuendesha kwa kutii sheria za usalama barabarani ili kuepusha ajali. Je, wahusika wanatekeleza hilo kivitendo?
Afrika inachangia chini ya asilimia 5 ya uzalishaji wa gesi chafuzi duniani lakini inalipa kile ambacho mtaalamu mmoja wa masuala ya hali ya hewa anakiita “gharama kubwa” ya mabadiliko ya…
Yemen imetoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni kuhusu uwezekano wa Sana’a kulipiza kisasi vikali dhidi ya mashambulizi ya kinyama ya Tel Aviv huko Yemen. BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameeleza kuwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) umeridhishwa kikamilifu na vipengee vya makubaliano yaliyofikiwa karibuni kati ya wakala…
13.09.202513 Septemba 2025 Rais wa Marekani Donald Trump ameitaka Jumuiya ya Kujihami ya NATO kusitisha kununua mafuta ya Urusi na kuiwekea vikwazo vikubwa ili isimamishe vita Ukraine. Wapalestina 32 wauawa…
13.09.202513 Septemba 2025 Urusi imesema mazungumzo ya amani na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenky kwa sasa yamesitishwa. China imeilaani kitendo Marekani na Uingereza kutumia eneo tete la Mlango Bahari wa…
Maandamano makubwa yamefanyika nchini Uingereza ambapo waandamanaji wametoa wito wa kukamatwa Rais wa Israel kwa kutenda jinai huko Palestina. BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Vifo vinavyotokana na ugonjwa wa malaria huenda vikaongezeka mwaka huu kutokana na kupunguzwa kwa misaada ya kigeni. BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Mwendesha mashitaka wa kitengo cha Mahakama ya kimataifa ya mauaji ya kimbari ya Rwanda (ICTR) ametoa ombi la kurejeshwa Rwanda Felicien Kabuga anayekabiliwa na mashtaka ya mauaji ya Rwanda. BONYEZA…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limelaani shambulio la Israel dhidi ya mji mkuu wa Qatar, Doha siku ya Jumanne na kutaka kupunguzwa kwa mvutano na taharuki katika eneo.…
Kura hiyo ilifanyika kabla ya mkutano kuhusu suala hilo utakaofanyika tarehe 22 Septemba, na kabla ya Mjadala Mkuu wa Umoja wa Mataifa, ambapo Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza kuwa…
Bunge la Ulaya limepasisha azimio likielezea wasiwasi wake kuhusu hali mbaya ya Ukanda wa Gaza, na kuzitaka nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya kuliweka suala la kutambuliwa taifa huru la…
UN yaonya ya kwamba mafuriko makubwa Sudan Kusini yanaweza kuathiri zaidi ya watu milioni 1 Mapigano, maradhi ya kipindupindu, na kupunguzwa kwa ufadhili imeongeza ukali wa janga hilo, asema mwakilishi…
#KIPIMAJOTO: Kampeni zinazoendelea za wagombea Urais Je zina majibu ya changamoto za kiafya na Elimu zilizopo Nchini..? Tupe maoni yako Saa tatu kamili usiku
Rais wa zamani wa Brazil Jair Bolsonaro amehukumiwa kifungo cha miaka 27 na miezi mitatu jela baada ya jopo la Mahakama Kuu kumpata na hatia ya kufanya jaribio la kuipindua…
Ted Cruz, Seneta wa Marekani wa jimbo la Texas kwa tiketi ya chama tawala cha Republican amesema, wakati umewadia kwa Marekani kuitambua harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul Muslimin kuwa ni…
12.09.202512 Septemba 2025 Caroline Kennedy amejiweka katika mstari wa mbele kusaidia watoto wenye usonji akionekana kama mtetezi wa kundi hilo lililosahaulika. Kujitoa kwake kwa jamii hakutazamwi tu kama juhudi binafsi,…
Mji huo ni makaazi ya wapalestina wengi waliojihifadhi huko licha ya amri ya serikali ya Israel ya kuwataka waondoke. Israel imetangaza nia yake ya kuudhibiti kikamilifu mji huo unaowahifadhi wapalestina…
Umoja huo pamoja na Bahrain ndio nchi za mwanzo kabisa kurejesha mahusiano yao na Israel mwaka 2020 na wamekuwa wakikosoa hatua ya taifa hilo katika vita vyake na Hamas mjini…
#HABARI: Jopo la Wataalamu na Madaktari Bingwa wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala wamefanikiwa kuondoa uvimbe wa kilogramu 6.5 kwa Mwanamke mmoja mkazi wa Morogoro uliopelekea akose mtoto kwa…
Rasmussen aliyasema hayo alipokuwa katika ziara fupi mjini Kiev. “Ukiniuliza mimi, (vikwazo) vinapaswa kuwa vigumu iwezekanavyo. Ni lazima iwe orodha ya vikwazo vinavyogusa pande zote, meli za mafuta ya Urusi…
Mshambuliaji mpya wa Bayern Munich, Nicolas Jackson, amesema leo Ijumaa 12.09.2025 kwamba amefurahi kuwa “mahali anapohitajika” baada ya kujiunga na miamba hao wa Ujerumani kwa mkopo wa msimu mzima akitokea…
Makubaliano tete ya kuwa na serikali ya pamoja kati ya rais Salva Kiir na mpinzani wake wa muda mrefu Riek Machar, yamekuwa yakiyumba kwa miezi kadhaa sasa. Makubaliano hayo yalivunjika…
12.09.202512 Septemba 2025 Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwashughulikia wakimbizi UNHCR limefunga vituo vyake vinane Afghanistan, vinavyotoa huduma kwa wakimbizi waliorejeshwa nchini humo. https://p.dw.com/p/50Poc UN yafunga vituo vyake Afghanistan…
Waziri Mkuu wa Uhispania Pedro Sanchez ameendelea kukosoa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina huku akieleza kwa masikitiko kwamba Uhispania haina bomu la nyuklia, manowari ya…
Shambulio moja la anga katika jiji la Gaza pekee limewauwa watu 14 waliokuwa ndani ya nyumba moja. Jeshi la Israel limesema litachunguza kuhusu ripoti mauaji hayo. Licha ya ahadi hiyo…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani imetaja hatua za Rais wa Urusi Vladimir Putin kuwa hatari na zisizokubalika, na ikasisitiza kwamba NATO inasimama imara kulinda eneo la muungano wao…
Upinzani nchini Sudan Kusini umepinga vikali hatua ya kushtakiwa makamu wa rais wa nchi hiyo Riek Machar kwa makosa ya mauaji, uhaini na uhalifu dhidi ya binadamu. Reath Muoch Tang,…
Wakati jina lake likisalia katika kumbukumbu ya raia wengi hata baada ya karibu nusu muongo kupita, mamlaka nchini Afrika Kusini, zimetangaza kuanzisha uchunguzi kuhusu mauaji ya mwanasiasa Steve Biko, miaka…
Nchni DRC, takriban watu 86 wamefari katika ajali ya Boti, wakiwemo wanafunzi 65, huku 8 wakiokolewa, katika ajali hiyo iliyoripotiwa Jumatano usiku kwenye makutano ya Mto Nsolo na Mto Baringa,…
Waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu ameapa kuwa, hakutakuwa na dola la Palestina, na kusisitiza kwamba ardhi zote za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo…