Jepchirchir kutoka Kenya ashinda mbio za marathon Japan
Wanariadha hao wawili walimaliza mbio hizo kwa kuingia katika uwanja wa kitaifa wa Japan bega kwa bega baada ya kukimbia kilomita 42 katika barabara za Tokyo Assefa alionekana kusonga mbele…
Wanariadha hao wawili walimaliza mbio hizo kwa kuingia katika uwanja wa kitaifa wa Japan bega kwa bega baada ya kukimbia kilomita 42 katika barabara za Tokyo Assefa alionekana kusonga mbele…
Katika kile kinachoonekana kama kuongezeka kwa kampeni ya kigaidi ya wazi na ya kunyamazisha sauti ya haki, utawala haramu wa Israel umetekeleza mojawapo ya mashambulio mabaya zaidi dhidi ya waandishi…
Kiongozi mpya wa Nepal aliahidi Jumapili kufuata matakwa ya waandamanaji ya “kumaliza ufisadi” alipokuwa akianza kazi kama waziri mkuu wa mpito, baada ya maandamano ya vijana wa kizazi cha “Gen…
Chanzo cha picha, EEP Maelezo ya picha, Rais wa Marekani Donald Trump asema hajafurahishwa na shambulizi la Israel huko Doha. Maelezo kuhusu taarifa Author, Paul Adams Nafasi, Diplomatic correspondent Dakika…
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Michael Oliseh Saa 2 zilizopita Bayern Munich wamempiga bei kiungo wa kati wa Ufaransa Michael Olise mwenye umri wa miaka 23 kwa…
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania siku ya Jumamosi ilikubali nyaraka za uteuzi za Luhaga Mpina, mwanasiasa mwandamizi kutoka chama cha pili kwa ukubwa cha upinzani, na hivyo kumruhusu…
Wanachama wa Mchakato wa Radiamali ya Haraka wa Kundi la G7 ambazo ni nchi za Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan, Uingereza, Marekani na Umoja wa Ulaya, pamoja na Australia na…
Mpishi wa Nigeria akamilisha jaribio la Rekodi ya Dunia kwa chungu kikubwa zaidi cha wali wa jollof Hii ni jitihada ya rekodi ya dunia ya mwisho ya Hilda Baci baada…
Sudan inakaribisha juhudi za amani kumaliza vita na RSF, inakataa kuingiliwa na mataifa ya kigeni Matamshi ya Sudan yanakuja baada ya taarifa ya pamoja ya Misri, Saudi Arabia, Imarati na…
Wamalawi wanajiandaa kupiga kura kumchagua rais mpya wiki ijayo katika uchaguzi unaofanyika wakati wa changamoto za kiuchumi, ambapo rais wa sasa Lazarus Chakwera anakabiliana na mtangulizi wake. Watatu kati ya…
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Abraham Lincoln alikuwa Rais wa kwanza wa Marekani kuuawa Maelezo kuhusu taarifa Author, Selin Girit Nafasi, Dakika 57 zilizopita Msako mkubwa unaendelea…
Jeshi la Israel limefyatua risasi dhidi ya kundi la Wapalestina waliokuwa wakitafuta msaada wa kibinadamu huko Gaza, na kuwaua angalau watu wanne, huku hospitali katika eneo hilo lilozingirwa zikiripoti vifo…
Chanzo cha picha, Getty Im Maelezo ya picha, Familia za mateka wanaoshikiliwa na Israel Familia za mateka wa Israel ambao bado wanazuiliwa na Hamas wamesema Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ndiye…
Balozi wa Burkina Faso mjini Tehran, Mohammadi Kaboureh, amesisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa kisayansi na Iran, akieleza kuwa ni jambo la msingi kwa maendeleo endelevu ya taifa hilo la…
Dakar – AGRA, kwa ushirikiano na Mastercard Foundation, inaendesha mpango wa kuongeza kufadhili vijana kuleta mabadiliko katika sekta ya kilimo barani Afrika. Mpango huu, uliopewa jina Youth Entrepreneurship for the…
Kamanda Mkuu wa zamani wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amezitahadharisha nchi za eneo zikiwemo Saudi Arabia, Uturuki na Iraq kwamba ziko katika hatari ya kukabiliwa na…
Leo ni Jumapili 21 Mfunguo Sita Rabiul-Awwal 1447 Hijria mwafaka na 14 Septemba 2025 Miladia. BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
IQNA – Shirika la ujasusi la Israel, Mossad, limeahirisha mpango wa uvamizi wa nchi kavu uliolenga kuwaua viongozi wa Hamas walioko Qatar, mpango uliokuwa ukifanyiwa kazi katika wiki za hivi…
Ruhusa yakuendelea kwa shughuli za uvuvi Ziwa Ikimba baada ya kufungwa kwa miezi sita ili kukuza vifaranga vya samaki. Je ziendane na mikakati ya kuufanya uvuvi wake kuwa endelevu? #SwaliLaKipimaJoto…
Bwawa la Renaissance au an-Nahdha, mradi mkubwa zaidi wa kuzalisha umeme barani Afrika, ulizinduliwa rasmi na serikali ya Ethiopia siku ya Jumanne. BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Shirika la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi (UNHCR) limetoa tahadhari kali kuhusu mafuriko makubwa yanayoendelea nchini Sudan Kusini, likisema kuwa tayari yameathiri watu wapatao 273,000 mwaka huu, na huenda yakawaathiri…
Nchi kadhaa za Afrika pamoja na Umoja wa Afrika (AU) zimetoa taarifa kali kulaani mashambulizi ya anga yaliyofanywa na utawala wa Israel siku ya Jumanne, yaliyolenga uongozi wa Harakati ya…
DW Kiswahili14.09.202514 Septemba 2025 Kongo na Rwanda kuijumuisha Marekani kufufua sekta ya madini++++Rubio yuko ziarani Israel wakati ikizidisha mashambulizi yake Gaza+++Baraza la Usalama wa Taifa Iran laidhinisha ukaguzi mpya wa…
Marekani ni taifa linaloundwa na majimbo 50 na linakalia sehemu kubwa ya bara la Amerika Kaskazini. Miji yake muhimu zaidi ni pamoja na New York, Washington DC, ambao ndiyo mji…
DW Kiswahili14.09.202514 Septemba 2025 Jepchirchir kutoka Kenya ameshinda mbio za marathon Japan+++++Droni za wanamgambo zimeshambulia maeneo muhimu ya kijeshi Sudan+++Rubio ziarani Israel kujadili shambulio lililofanya Qatar dhidi ya Hamas++++Wakimbizi wa…
Mbunge mmoja kutoka Uskochi amewasilisha hoja rasmi akitaka mashirika ya michezo barani Ulaya kuiondoa Israel katika mashindano ya kimataifa kutokana na mauaji ya kimbari yanayoendelea huko Gaza. BONYEZA HAPA KUSOMA…
Matukio mawili tofauti ya ajali wiki hii katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yamesababisha vifo vya takriban watu 193. Makumi ya watu hawajulikani walipo huku kazi ya uokoaji ikiendelea. BONYEZA…
Mrengo wa upinzani nchini Sudan Kusini umepuuzilia mbali mashtaka dhidi ya kiongozi wao ambaye pia ni makamu wa rais Riek Machar. BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Mashirika ya Umoja wa Mataifa yanayohudumu nchini Nepal yamekaribisha kuteuliwa Sushila Karki kuwa Waziri Mkuu wa mpito, wakati nchi hiyo ikikumbwa na mshtuko kufuatia ukandamizaji wa umwagaji damu dhidi ya…
Katika hatua ya kihistoria, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio lililopendekezwa na Ufaransa na Saudi Arabia, na kutangaza kuunga mkono kuanzishwa kwa nchi huru la Palestina na kutekelezwa…
#HABARI: Chama cha ACT Wazalendo kimefanya Uzinduzi wa Kampeni za Urais , Ubunge na Udiwani Visiwani Zanzibar, ambapo Mgombea Urais kisiwani humo Othman Masoud Othman ambaye pia Makamu wa Kwanza…
Ali Larijani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran katika ujumbe wake amezitaka serikali za Kiislamu kuchukua hatua madhubuti na za kivitendo dhidi ya jinai za Israel.…
Jeshi la Yemen limetangaza kuwa limevurumisha kombora la kasi ya juu au haipasoniki aina ya “Palestine-2” lenye vichwa vingi vya mlipuko dhidi ya maeneo nyeti ndani ya Tel Aviv, katika…
Taarifa hizo ni kulingana na kitengo cha kuhifadhi maiti cha hospitali ya Shifa ambako miili yao imefikishwa. Israel inaendelea kutanua operesheni za kijeshi hasa katika jiji la Gaza ambako imewaamuru…
Katika barua hiyo aliyoichapisha kwenye mitandao ya kijamii 13.09.2025 Trump ameeleza kuwa yuko tayari kuiwekea vikwazo Urusi kama mataifa wanachama wa Jumuiya hiyo yatakubali pia kufanya hivyo. Wito huo umetolewa…
Nchi hizo zimependekeza pia lengo la usitishaji vita wa kudumu utakaofuatiwa na uongozi wa mpito kwa miezi tisa kuelekea utawala wa kiraia. Katika taarifa ya pamoja iliyotolewa na Wizara ya…
Wanamgambo hao wa Arakan kupitia chaneli yao ya telegram leo Jumamosi wamebainisha kwamba mashambulizi yalizilenga shule mbili binafsi za sekondari. Wanafunzi waliouawa wana umri kati ya miaka 15 na 21…
Taarifa ya jeshi imeongeza kuwa wanamgambo 13 wameuawa wakati wa makabiliano hayo na watu wanne wamejeruhiwa.Wanamgambo wa kundi la Taliban la Pakistan wamekiri kuhusika katika tukio hilo wakisema pia kuwa…
Ijumaa Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Misri na pia Marekani zilitoa wito wa kusitishwa mapigano kwa muda wa miezi mitatu nchini Sudan sambamba na kufanyika mazungumzo ya…
Mataifa ya Marekani, Saudi Arabia, nchi ya Falme za Kiarabu na Misri, zinataka usitishwaji vita nchini Sudan kwa miezi mitatu, ili kuwezesha misaada ya kibinadamu kuwafikia mamilioni ya watu wanaothiriwa…
Misri imefichua njama za Israel za kuwaua viongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Kupigania Ukombozi wa Palestina, Hamas, walioko ndani ya ardhi yake, na kuionya Israel kuwa shambulio lolote la…
Rais Kagame, akutana na kiongozi wa Qatar, kuonyesha mshikamano baada ya shambulio la Israel Rais Paul Kagame pia alieleza shukrani kwa “jukumu muhimu la Qatar katika juhudi za upatanishi katika…
Abbas Araghchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, amesema kuwa mahusiano kati ya Iran na Tunisia ni “mfano angavu” wa dhamira ya Tehran kuendeleza uhusiano imara na mataifa ya…
Serikali ya Tanzania imedhamiria kuweka mazingira mazuri kwa ajili ya uendeshaji wa viwanda na biashara nchini Tanzania ikiwemo kuboresha mifumo ya utaratibu na usimamizi wa mipango, mikakati na programu za…
Askari wasiopungua 12 wa Pakistan wameuawa katika makabiliano ya kufyatuliana risasi na magaidi kaskazini-magharibi mwa nchi hiyo. BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Umoja wa Afrika umetangaza hatua hiyo baada ya mkutano wa kilele wa hali ya hewa mjini Addis Ababa, Ethiopia. AU imesema Afrika ina utajiri mkubwa wa madini kuanzia nchini Jamhuri…
Watu wasiopungua 107 wamefariki baada ya boti ya aina ya whaleboat kushika moto magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Boti hiyo, ambayo ni chombo chembamba chenye ncha mbili na…
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amesisitiza kwamba, hatua za utawala wa Kizayuni zinaonyesha njama zake za kudhoofisha mkakati wa kuundwa “Nchi ya Palestina”. BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Ameutangaza uamuzi huo saa chache baada ya kumteua na kumuapisha Waziri Mkuu mpya wa mpito aliyewahi kuwa Jaji Mkuu nchini humo, Sushila Karki. Karki mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo…
Msemaji wa kamandi ya mashariki wa jeshi la China Kanali Shi Yi amesema vikosi vya anga na vya wanamaji vya China vilifuatilia mwenendo wa meli mbili za Marekani na Uingereza…