Mfumo mpya wa forodha kurahisisha biashara Zanzibar
ZANZIBAR: Mfumo wa Pamoja wa Uondoshaji wa Shehena Maeneo ya Forodha Zanzibar unatarajiwa kuleta ahueni kwa wafanyabiashara kwa kurahisisha mazingira ya biashara na kupunguza urasimu uliokuwa ukiwakabili. Kupitia mfumo huo,…