Jumatano, tarehe 3 Juni, 2026
Leo ni Jumatano tarehe 17 Dhulhija 1447 Hijria sawa na tarehe 3 Juni 2026.
Leo ni Jumatano tarehe 17 Dhulhija 1447 Hijria sawa na tarehe 3 Juni 2026.
Rais wa Rwanda Paul Kagame, akiwa ziarani nchini Ufaransa, na mwenzake wa Ufaransa Emmanuel Macron wamezindua mnara wa pande mbili kwenye kingo za Mto Seine jijini Paris Jumanne alasiri, Juni…
Hii ni ziara ya kwanza ya Rais Samia nje ya Bara la Afrika, tangu vurugu za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, lakini ni ziara ya pili kufanywa na Rais wa…
Serikali ya Zimbabwe inapendekeza mabadiliko ya kikatiba ambayo yanaweza kuongeza muda wa Rais Emmerson Mnangagwa ofisini hadi 2030. Hatua hiyo imezua mjadala.
Marekani imetangaza vikwazo kwa Makamanda wa makundi yenye silaha inayoyatuhumu kwa kuwa nyuma ya mapigano yanayoendelea mashariki ya Kongo licha ya juhudi za upatanishi wa Washington. Imechapishwa: 03/06/2026 – 05:48…
MCA wa zamani Jared Okoth Okode, almaarufu Defao, ameonyesha jumba lake jipya la kifahari na rundo la magari ya kifahari wiki chache baada ya kubomolewa nyumba.
Mashambulizi ya hivi karibuni yanatokea baada ya mazungumzo kuhusu makubaliano ya kukomesha vita vyao vya miezi kadhaa kushindwa kuendelea mwishoni mwa juma.
Ndoto ya Tanzania kutwaa taji lake la kwanza la Afrika katika soka imeishia mikononi mwa Senegal baada ya Serengeti Boys kufungwa kwa penati 4-2 kufuatia sare ya 1-1 katika fainali…
Arsenal inapanga kuimarisha kikosi chake msimu ujao baada ya ushindi wao wa Ligi Kuu, ikiripotiwa kuwaweka sokoni wachezaji wanne, akiwemo Gabriel Jesus.
Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetangaza kwamba vikosi vyake vimetekeleza mashambulizi ya kulipiza kisasi dhidi ya meli ya adui, makao makuu ya Kikosi cha Tano…
Matumaini ya Serengeti Boys kutwaa ubingwa wa AFCON U17 yamezimwa katika mchezo wa fainali jana...
Sikuelewa mengi kuhusu ndoa, lakini nilielewa jambo moja maisha yangu yalikuwa yanabadilishwa bila ridhaa yangu.
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
#AFCONU17Final Kutoka Tabata, Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam pamoja na baadhiya mashabiki nao wana la kusema baada ya Tanzania kupoteza mchezo wa fainali kwa mikwaju ya penati. FT:…
#AFCONU17Final Maoni ya mashabiki waliokuwa wakitazama fainali kutokea eneo la Mburahati Dar es Salaam... FT: Senegal 1-1 Tanzania (Pen: 4-2) Burudani zinaendelea LIVE #AzamSports2HD #YouthFootball #SerengetiBoys #Tanzania #Senegal #SenegalTanzania #LinakujaNyumbani…
#AFCONU17Final Maoni ya mashabiki waliokuwa wakitazama fainali kutokea eneo la Temeke Mwembeyanga. FT: Senegal 1-1 Tanzania (Pen: 4-2) Burudani zinaendelea LIVE #AzamSports2HD #YouthFootball #SerengetiBoys #Tanzania #Senegal #SenegalTanzania #LinakujaNyumbani (Feed generated…
#AFCONU17Final Naaaa Mchezaji Bora wa Mmashindano ni Issa Mussa Chole kutoka Tanzania. FT: Senegal 1-1 Tanzania (Pen: 4-2) Burudani zinaendelea LIVE #AzamSports2HD #YouthFootball #SerengetiBoys #Tanzania #Senegal #SenegalTanzania #LinakujaNyumbani (Feed generated…
#AFCONU17Final Mfungaji bora wa mashindano ni Dismas Athanas wa Tanzania aliyemaliza na magoli matatu. FT: Senegal 1-1 Tanzania (Pen: 4-2) Burudani zinaendelea LIVE #AzamSports2HD #YouthFootball #SerengetiBoys #Tanzania #Senegal #SenegalTanzania #LinakujaNyumbani…
Bei hizo zimetolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) ambazo zitaanza...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amewataka wadau wa kahawa mkoani humo kuhakikisha...
CAF U17 AFRICA CUP OF NATIONS 2026 Fainali 30’ Senegal 🇸🇳 0️⃣-1️⃣🇹🇿 Tanzania ⚽️Hamisi Chenga @caf_online @serengetiboystz (Feed generated with FetchRSS)
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan’s visit to Russia comes at a time when Tanzania is intensifying efforts to advance its long-term development agenda, anchored on industrialization, agricultural transformation,…
IRINGA: Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amefungua rasmi Wiki ya Utafiti, Ubunifu na Huduma kwa Jamii iliyoandaliwa na Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE), akisisitiza umuhimu wa…
Katibu wa NEC Itikadi uenezi na mafunzo CCM Taifa Kenani Kihongosi ameeleza kuridhishwa na utekelezaji wa mradi wa shule ya Sekondari Beselo iliyopo Babati Vijijini ambayo imetajwa kuwa itasaidia wanafunzi…
DODOMA: Wizara ya Kilimo pamoja na taasisi zake zimeendelea kushiriki Maonesho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyoanza jijini Dodoma mnamo Juni Mosi na kutarajiwa kufungwa rasmi Juni 6, mwaka huu.…
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Ummy Mwalimu kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto. Ummy ambaye amewahi kuwa mbunge na waziri katika wizara mbalimbali ikiwamo…
Rais Samia Suluhu Hassan, amemteua Ummy Mwalimu kuwa mshauri wa Rais katika masuala ya afya...
Wizara ya Fedha imeweka wazi vipaumbele vinane vitakavyoongoza utekelezaji wa majukumu yake...
ILIPOISHIA Zainab akatabasamu. “Nitafurahi sana” “Nataka mke wangu upate afya nzuri uweze kumlea mtoto wetu aliye tumboni mwako” “Usijisahau mume wangu. Ukumbuke kuwa umeacha mke wako akiwa na kitoto chako…
Seneta Ledama Olekina alionesha mlango wa kisasa wa pivot kutoka Türkiye, wenye teknolojia ya kuduwaza. Maoni ya umma yalitofautiana, yakionesha sifa na wasiwasi pia
DAR ES SALAAM: In a world increasingly defined by stress, distraction, loneliness, and division, yoga offers a rare invitation to reconnect with ourselves and with one another. As humanity navigates…
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Revenue Authority (TRA) has reminded taxpayers to submit their tax returns on time as the 2025/2026 financial year approaches its end. Speaking in Dar es…
Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wamefanya maandamano leo mjini Nairobi wakipinga makubaliiano yaliyofikiwa kati ya serikali ya nchi hiyo na Marekani wa kuanzisha nchini kenya kituo cha kuhifadhi Wamarekani…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limemkamata na kumfungia leseni kwa miezi mitatu dereva wa...
DILI la kocha Mkuu wa Azam FC Florent Ibenge kwenda Mali limebuma, huku sababu kubwa ikitajwa ni bosi huyo kugoma kwenda nchini humo kwa kuwa anataka kubaki Tanzania.
KOCHA Mkuu wa Mbeya City, Salum Mayanga amesema atatumia mapumziko ya siku 14 kuimarisha safu ya ulinzi na ushambuliaji wa timu hiyo katika harakati za kujinasua kutoka hatari ya kushuka…
BODI ya Ligi Kuu Bara (TPLB) imefanya mabadiliko kwenye muda wa michezo mitatu ya mwisho ya ligi hiyo ili kuepuka upangaji wa matokeo, lakini mashabiki kupata nafasi ya kutazama mechi…
Watu wanne wamefikishwa katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kwa makosa matano ya kusafirisha kuuza...
NAHODHA wa Serengeti Girls, Elizabeth John amesema timu hiyo imeshindwa kufikia malengo waliyojiwekea ya kufuzu Kombe la Dunia la Wanawake chini ya miaka 17 baada ya kupoteza mchezo wa kwanza…
Kwa jumla, Tanzania ina nafasi ya kuongeza mauzo ya bidhaa zake Russia yenye thamani ya Dola 14...
Singida Black Stars imeanza mipango ya kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao kwa kuweka macho kwa kiungo mshambuliaji wa Golden Arrows ya Afrika Kusini, Siyanda ‘Skhwishi’ Ndlovu.
Singida Black Stars imeanza mipango ya kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao kwa kuweka macho kwa kiungo mshambuliaji wa Golden Arrows ya Afrika Kusini, Siyanda ‘Skhwishi’ Ndlovu.
Wizara ya Afya ya Uganda imethibitisha visa sita vipya vya ugonjwa wa Ebola, na hivyo kufanya jumla ya maambukizi yaliyothibitishwa nchini humo kufikia 15. Katika taarifa iliyochapishwa kwenye X, wizara…
Tume ya Taifa ya Mipango imesema mafanikio ya utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya...