UN: Watu wa asili DRC na Uganda wako hatarini zaidi kupata Ebola
Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa leo wameelezea wasiwasi mkubwa kuhusu kurejea kwa mlipuko wa virusi vya Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Uganda,…