Mwisho wa enzi Roysambu: Paris Lounge yafunga milango yake baada ya kuhudumu kwa miaka 5
Paris Lounge & Grill huko Roysambu imefungwa baada ya miaka mitano, na kuzima enzi ya muziki na maisha ya burudani usiku.Walinzi na wafanyikazi wameachwa na wasiwasi