Subra Yavuta Heri baada ya Miaka 63: Wajir Yangia Katika Historia kwa Kuandaa Madaraka Dei
Miaka 63 baada ya uhuru, Wajir iliandaa Madaraka Day kwa mara ya kwanza huku Ruto akizawadiwa ngamia 100 na kuupa uwanja mpya jina la Ahmed Khalif.
Miaka 63 baada ya uhuru, Wajir iliandaa Madaraka Day kwa mara ya kwanza huku Ruto akizawadiwa ngamia 100 na kuupa uwanja mpya jina la Ahmed Khalif.
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan is expected to undertake a state visit to Russia from tomorrow to Friday at the invitation of President Vladimir Putin. According to a…
Magazeti yanaangazia mageuzi ya elimu ya Ruto, utata wa vituo vya Ebola, maendeleo makubwa ya miundombinu, na mabadiliko ya mienendo ya kisiasa kabla ya 2027.
Michuano ya U17 AFCON yanafikia tamati leo kwa mechi ya fainali kuchezwa Serengeti Boys watakipiga na Senegal Mechi hii itachezwa kuanzia saa 4:00 usiku na kuruka mubashara kupitia AzamSports2HD. Tunasema…
Zoezi la upigaji kura kwenye baadhi ya maeneo ya Oromia na Amhara nchini Ethipia, liliahirishwa kutokana na hofu za kiusalama, hata hivyo misururu mirefu ya wapiga kura ilionekana kwenye miji…
Wanawake bwana, wana mambo yao mengi sana hasa kwenye suala la mavazi. Utakuta mwingine anavaa...
Wasanii wa muziki Tanzania, wameelezea kushtushwa na kifo cha msanii mkongwe wa Hip Hop na...
Mapitio ya #MAGAZETI leo juni 2, 2026 kwenye #MorningTrumpet #utv108 #AzamTVUpdates (Feed generated with FetchRSS)
Fainali ya Tanzania vs Senegal inakuja katika kipindi ambacho taifa bado linaendelea kutafakari na kuponya majeraha yaliyoachwa na matukio ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Idara ya Utabiri wa Hali ya Hewa ya Kenya yaonya kuhusu mvua kubwa katika kaunti kadhaa mwezi huu wa Juni, huku hali tofauti zikitarajiwa kote nchini ikiwemo Nairobi
Idara ya Utabiri wa Hali ya Hewa ya Kenya yaonya kuhusu mvua kubwa katika kaunti kadhaa mwezi huu wa Juni, huku hali tofauti zikitarajiwa kote nchini ikiwemo Nairobi
MASASI: OVER 500 residents in Masasi District, Mtwara Region have been targeted by the medical outreach programme aiming at upholding the former President Benjamin Mkapa’s legacy on extending specialist medical…
Marekani na Iran zote zimeashiria kwamba hazingependelea kurejea kwenye vita ambavyo vimesitishwa tangu kutangazwa kwa usitishaji mapigano tarehe 8 Aprili
Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, hapo jana alitangaza kuunda serikali mpya iliyohusisha wandani wake na baadhi kutoka chama cha aliyekuwa waziri mkuu wake Osumane Sonko, ambaye amesema wanachama wake…
Lindi/Mtwara. Nyuma ya uzio unaozunguka Mradi wa Nyengedi, kuna simulizi za wananchi...
Mwenyekiti mstaafu wa Bodi ya Mwananchi Communications Limited (MCL), amefariki Dunia Mei 30...
Mwenyekiti mstaafu wa Bodi ya Mwananchi Communications Limited (MCL), amefariki Dunia Mei 30...
Leo ni Jumanne tarehe 16 Dhulhija 1447 Hijria sawa na tarehe Pili Juni 2026.
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) Mohammad Baqir Qalibaf ameilaani Marekani kwa kuhusika katika mashambulizi ya utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Lebanon na kueleza kuwa…
Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limesema limefanya shambulio la kulipiza kisasi dhidi ya kambi ya anga iliyotumiwa na Marekani kuanzisha mashambulizi ya kijeshi dhidi ya…
Bei ya mafuta duniani yapanda huku majeshi ya Israel yakisonga ndani zaidi kusini mwa Lebanon
Ubalozi wa Lebanon nchini Marekani ulisema "umepokea uthibitisho wa kukubali kwa Hezbollah pendekezo la Marekani la kukomesha mashambulizi kwa pande zote mbili".
Jeshi la Taifa la Somalia (SNA) limewaua wanachama wawili wa kundi la kigaidi la Al Shabaab, akiwemo kamanda mwandamizi, katika operesheni ya kijeshi iliyopangwa katika eneo la Hanti Wadaag, mkoani…
Takwimu hizo hutumiwa mara nyingi ama kama ushahidi wa maendeleo ya bara au kama ukumbusho kuwa Afrika bado ina safari ndefu kiuchumi.
Burudani ya tarumbeta ilikuwa sehemu ya uzinduzi wa Kampeni ya Road To World Cup, mapema leo katika Stendi Kuu ya Mabasi ya Magufuli. Mechi zote 104 zitaruka mubashara kupitia AzamSports2HD…
Timu mauzo ya AzamTV na Timu Kombolela Ilikuwa ni mtaa kwa mtaa kuwasogezea wananchi Kisimbuzi cha AzamTV na kuhakikisha hawakosi fainali za Kombe la Dunia 2026, kwani mechi zote 104…
Team Kombolela walikuwepo leo katika uzinduzi wa kampeni ya Road to World Cup ambapo mechi zote 104 za Kombe la Dunia zitaruka mubashara kupitia kisimbuzi cha AzamTV Kama huna kisimbuzi…
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam, Amina Said, amesema wanawake wengi nchini wanajishughulisha na biashara ndogo ndogo, lakini wanakabiliwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa mikopo kutokana…
DAR ES SALAAM: Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro, amewapongeza viongozi na wanajamii wa Kimasai wanaoishi jijini humo kwa kuendeleza misingi ya uaminifu, uadilifu…
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuanza ziara ya kitaifa ya...
Kombe la Dunia la mwaka 2026 linatarajiwa kuleta mabadiliko kadhaa katika sheria za mchezo (Laws of the Game) zitakazobadilisha namna soka linavyochezwa na kusimamiwa. Mabadiliko hayo yanalenga kupunguza upotevu wa…
Serikali imeendelea kuboresha ustawi wa watumishi wa umma kwa kulipa malimbikizo ya mishahara yenye thamani ya Tsh. Bilioni 24,699,256,645.7 na kulipa watumishi 1,249 waliokoma utumishi yenye thamani ya zaidi ya…
#AFCONU17: “Senegal anakufa…, tunashinda na kombe linakuja Tanzania”. Wadau wa soka wanaeleza jinsi itakavyowezekana kwa Serengeti Boys kushinda ubingwa wa mataifa Afrika kwa vijana U17, huku pongezi zikielekezwa pia kwa…
#AFCONU17: Mohamed Soloka anasema anaamini Serengeti Boys itafanya vizuri zaidi kwenye mchezo wa fainali, kwakuwa sasa kuna hamasa kutoka kwa Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, lakini pia nguvu…
MANYARA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewaelekeza Viongozi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mkoa wa Manyara kuhakikisha pikipiki zilizokamatwa kutoka kwa wananchi zinarejeshwa mara moja kwa wahusika ambao…
KOMBE LA DUNIA | Hewani muda huu ni Marekani vs Ghana, moja kati ya mechi za kusisimua kutoka kwenye fainali za mwaka 2010 zilizofanyika nchini Afrika Kusini. Ilikuwa ni mechi…
IRINGA: Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Fadhili Ngajilo, ameendelea kuonyesha dhamira ya kuwawezesha wananchi kiuchumi kwa kuratibu mafunzo maalumu ya ujasiriamali awamu ya pili yanayowakutanisha zaidi ya wajasiriamali 400…
Maurice Ogeta alisimulia kwa hisia nyakati za mwisho za Waziri Mkuu wa zamani Raila Odinga nchini India. Alikanusha madai kuwa Raila alizimia akipiga tizi asubuhi.
Paris Lounge & Grill huko Roysambu imefungwa baada ya miaka mitano, na kuzima enzi ya muziki na maisha ya burudani usiku.Walinzi na wafanyikazi wameachwa na wasiwasi
#AFCONU17: “….tuna nafasi kubwa ya kuchukua kikombe” Neno kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo kuelekea mchezo wa fainali ya Kombe la Mataifa Afrika kwa vijana chini ya…
Hata hivyo, maendeleo ya hivi karibuni kutoka China yameibua matumaini kwamba siku moja baadhi...
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limezitaka kampuni zinazofanya kazi...
Wabunge wameitaka Serikali kusimamia maadili ikiwemo utoaji elimu ya haki, kuliko ambavyo...
Mususa, alifariki dunia Mei 30, mwaka huu na maziko yake yanatarajiwa kufanyika kesho Jumanne...
Katika utekelezaji wa pendekezo la tume, Mei 18, 2026, Rais Samia aliunda Tume hiyo huku...
Waziri wa TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amesema jumla ya wanafunzi 246,197 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano pamoja na vyuo vya elimu ya ufundi mwaka 2026 (Feed generated with FetchRSS)