Maelfu ya vikundi vya ulinzi shirikishi wilayani Nzega, mkoani Tabora, wameungana na viongozi mbalimbali wa Serikali wilayani hu…
Maelfu ya vikundi vya ulinzi shirikishi wilayani Nzega, mkoani Tabora, wameungana na viongozi mbalimbali wa Serikali wilayani humo kuonesha mshikamano wao katika kulinda na kuendeleza amani na utulivu. Wamesisitiza kujitenga…