Cullie Ruto: Kiasi cha Karo Ambacho Rais Aligharamika kwa Masomo ya Bintiye Huko Dubai
Cullie Ruto amehitimu Heriot-Watt University Dubai kwa Shahada ya Usanifu wa Ndani na Ubunifu, kozi inayotambulika kimataifa kwa viwango vya elimu vya Uingereza.
Cullie Ruto amehitimu Heriot-Watt University Dubai kwa Shahada ya Usanifu wa Ndani na Ubunifu, kozi inayotambulika kimataifa kwa viwango vya elimu vya Uingereza.
VICE-PRESIDENT Dr Emmanuel Nchimbi (pictured) has expressed the government’s commitment to granting the National Environment Management Council (NEMC) full regulatory authority, saying there are no obstacles to the proposal. He…
DAR ES SALAAM: MOZAMBIQUE President Daniel Chapo has begun a three-day working visit to Tanzania, during which he will hold bilateral talks with President Samia Suluhu Hassan and join her…
Magazeti ya Kenya siku ya Ijumaa, Julai 3, yaliangazia hatua ya Hospitali ya Kitaifa ya Kenya (KNH) ya kuongeza ada za huduma maalum za matibabu kwa hadi KSh 25k.
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has directed the Tanzania Revenue Authority (TRA) to broaden the tax base, simplify revenue systems and strengthen integrity as part of efforts to…
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanza awamu ya kwanza ya taratibu za mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, huku viongozi wa kimataifa na wanazuoni…
DAR ES SALAAM: TANZANIA has entered a new phase of its development journey with the inception of Vision 2050, an ambitious blueprint that outlines the country’s aspirations for the next…
DAR ES SALAAM: THE government has declared zero tolerance for any threats to national security, reiterating that protecting the lives of Tanzanians and ensuring public projects deliver their intended benefits…
Rais Samia Suluhu Hassan, amewataka wafanyabiashara waendelee kulipa kodi, akisema hicho ni kitendo cha kizalendo na kinaipa nchi heshima kuelekea uchumi wa kujitegemea. Rais Samia ameyasema hayo Jumatano Julai 1,…
Teknolojia mpya inayotumia akili mnemba (AI) inatafuta na kupata seli za manii za wanaume ambao waliambiwa hawana uwezo wa kuzalisha.
Mtoto mchanga Levi Baraka alipatikana ametekelezwa Nakuru akiwa hai, huku barua ya mama yake ikieleza umaskini, ukosefu wa makazi na mateso aliyopitia.
GEITA: BARAZA la Wazee Halmashauri ya Manispaa ya Geita limelalamikia kukithiri kwa kasumba ya vijana kuzaa watoto na kisha kuwatelekeza kwa wazazi wao pasipo kutoa huduma ya malezi. Wazee hao…
Cullie Ruto amehitimu Shahada ya Sanaa katika Usanifu wa Ndani kutoka Heriot-Watt University Dubai, huku familia yake ikisherehekea mafanikio hayo kwa furaha.
TANGA: SERIKALI imepokea mradi wa usambazaji wa maji katika mtandao wa bomba wa Kwamaizi, uliotekelezwa katika Kata ya Kideleko, Halmashauri ya Mji Handeni mkoani Tanga, kwa gharama ya Shilingi milioni…
Timu ya taifa ya Ureno, imefuzu hatua ya 16 bora baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi...
DAR ES SALAAM: Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) limesema Tozo ya Maendeleo ya Miundombinu ya Bandari (PID Levy) iliyoanza kutekelezwa Julai 1, 2026, itasaidia kuimarisha sekta ya viwanda, kuboresha…
Licha ya idadi kubwa ya wagonjwa wa shinikizo la damu nchini kuwa na uelewa mzuri kuhusu namna...
PAWAGA, iliyokuwa ikitajwa zaidi kama eneo la uzalishaji wa mpunga pekee, sasa imeanza kujijengea sifa mpya ya kuwa kitovu cha uchumi wa kilimo nchini baada ya uwekezaji mkubwa wa Serikali…
Makubaliano kama haya yamekumbwa na mapingamizi makubwa katika baadhi ya nchi za Afrika wakidai kuhusu kutumika kwa taarifa binafsi na masuala ya madini.
Babu Owino atetea Linda Mwananchi, akimsihi Mbunge wa Saboti Caleb Amisi kutatua wasiwasi wake kibinafsi badala ya kupitia ukosoaji wa umma ili kudumisha umoja.
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amefanya ziara ya “mshikamano” Kinshasa siku ya Alhamisi, Julai 2, 2026, huku janga la Ebola likiendelea kuenea. Takwimu za hivi karibuni zinaripoti vifo zaidi…
Mbunge wa Uganda Daudi Kabanda anakanusha madai ya Rigathi Gachagua yanayomhusisha Rais Ruto na kufungwa kwa Nation Media Group, akidai uhuru wa Uganda.
Jaribio la kimatibabu limeanza siku ya Alhamisi, Julai 2, 2026, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ili kujaribu matibabu yanayowezekana dhidi ya aina ya virusi vya Ebola vya Bundibugyo.…
Marekani inapanga kuuzuia Umoja wa Mataifa, kuunga mkono vikosi vya kijeshi vya kulinda amani vya Umoja wa Afrika nchini Somalia, kuanzia mwaka ujao. Imechapishwa: 03/07/2026 – 05:57 Dakika 1 Wakati…
Misafara ya wanaharakati wanaopinga ubeberu, wasomi, waandishi wa habari na wawakilishi wa vituo vya Kiislamu kutoka kote barani Ulaya inaendelea kuwasili Tehran kushiriki katika mazishi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya…
Senegal, DR Congo, Afrika Kusini, na Ivory Coast zilifungishwa virago katika hatua ya timu 32 ya FIFA WC 2026 lakini zilipata kati ya KSh 1.42b na KSh 1.74b.
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesisitiza kuwa umati mkubwa wa wananchi utakaojitokeza katika shughuli ya mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, utakuwa “jibu madhubuti”…
Kamandi Kuu ya Majeshi ya Iran, maarufu kama Kamandi ya Khatam al-Anbiya, imetoa onyo kali kuwa, uingiliaji wowote wa kijeshi wa Marekani katika Lango Bahari la Hormuz utajibiwa kwa kasi…
Vyanzo vya ngazi ya juu vya kimkakati katika kanda vimeeleza kuwa shehena ya zana za kijeshi iliyotoka katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na Israel imesafirishwa hadi Somalia kwa jina la…
Mazishi ya Ali Khamenei yanafanyika wakati ambapo Iran inakabiliwa na changamoto nyingi za kisiasa na kijamii.
Nchini Iran, kuanzia leo shughuli za mazishi ya aliyekuwa kiongozi wa kiroho Ayatollah Ali Khamenei, zimeanza kuelekea kuzikwa kwake, baada ya kuuawa kwenye vita dhidi ya nchi yake na Marekani…
Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro aelezea majuto yake kwa kumuunga mkono Ruto, akidai hakuwa tayari kwa utawala, akisisitiza masuala ndani ya utawala wa Kenya Kwanza.
Wakati huo huo, shughuli za mazishi ya Khamenei zitafanyika kati ya Julai 4 na 8 katika miji ya Tehran, Qom na Mashhad, huku mikutano ya maombolezo pia ikipangwa kufanyika katika…
Kila siku mamia ya watu hupita kwenye lango la Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI) jijini Dar...
Manchester United inamtaka Carlos Baleba wa Brighton baada ya kumkosa Mateus Fernandes, Arsenal bado inamwania Bruno Guimaraes na Ezri Konsa, huku Mason Greenwood akitajwa kuwa mbadala wa Alvarez Atletico Madrid.
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Baada ya kunusurika katika ajali ya pikipiki na kufanyiwa upasuaji, wengi walidhani safari ya kijana Fati ingekuwa imefikia tamati huku ndoto kubwa alizonazo katika fikra kuzikwa katikati ya majonzi na…
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) umetangaza fursa za uwekezaji katika viwanja 38 vinavyomilikiwa na Serikali vilivyopo katika mikoa 20, vitakavyoendelezwa kupitia ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi…
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bakhresa Food Products (BFPL), Salim Aziz amesema ushindi wa tuzo ya ulipaji kodi kwa mujibu wa vigezo vinavyotambulika iliyotolewa kwa kampuni za Said Salim Bakhresa (SSB)…
Unaweza kuelezeaje hali hii? Wananchi wanalia kwa kukosekana kwa maendeleo ikiwemo miundombinu bora na salama ya barabara kisha miongoni mwa wananchi wanageuka wezi na waharibifu. Hatua za mafanikio mkoani Shinyanga…
Wadau wa masuala ya kodi wakiwemo wataalamu na wafanyabiashara wameishauri serikali kuboresha baadhi ya mifumo ya ukusanyaji kodi ili kuendana na kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kukerwa na…
#HABARI: Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho, amewataka wananchi wa Wilaya ya Serengeti na Mkoa wa Mara kwa ujumla kuwa mstari wa mbele katika kulinda…
#MALUMBANOYAHOJA: VIONGOZI WA SERIKALI KUTOA MATAMKO YALE YALE KUHUSU FOLENI DAR ES SALAAM BILA UTEKELEZAJI. JE, WANAONGEA LUGHA MOJA?, JULAI 02, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#MALUMBANOYAHOJA: VIONGOZI WA SERIKALI KUTOA MATAMKO YALE YALE KUHUSU FOLENI DAR ES SALAAM BILA UTEKELEZAJI. JE, WANAONGEA LUGHA MOJA?, JULAI 02, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴MALUMBANOYAHOJA: VIONGOZI WA SERIKALI KUTOA MATAMKO YALE YALE KUHUSU FOLENI JE, WANAONGEA LUGHA MOJA? JULAI O2, 2026 JULAI O2, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
MSHAMBULIAJI Prince Dube, amepiga chini ofa tatu na kufanya uamuzi mgumu wa kurejea kwao Zimbabwe akisaini mkataba wa miaka miwili timu iliyopanda daraja kushiriki Ligi Kuu nchini humo.