Netanyahu alinasa vipi katika mtego wa vita vyake mwenyewe?
Kutiwa saini Mkataba wa Maelewano wa Islamabad kati ya Iran na Marekani kumevuruga milinganyo anayoipendelea Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni na kuuweka utawala huo katika hali isiyo…