Pezeshkian: Unyanyasaji wa Marekani katika Kombe la Dunia unaakisi sera ya kigeni ya Washington
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amesema Marekani imegeuza Kombe la Dunia FIFA la 2026 kuwa uwanja mwingine wa uonevu na mashinikizo ya kisiasa, akisisitiza kuwa mwenendo wa Washington kama mwenyeji…