Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Akutana na viongozi wa Pakistan jijini Islamabad
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Abbas Araqchi, amefika katika mji wa Islamabad, Pakistan na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu nchini humo.