Kongo kupeleka walinzi katika maeneo ya migodi ili kuzuia wizi wa madini
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, katika jitihada za kuzuia uporaji wa madini yake, imetangaza mpango wa kupeleka kikosi maalumu cha wanamgambo kitakachokuwa na jukumu la kulinda sekta ya madini nchini…