Kinara wa Liberal Democrats Uingereza asema Trump ni jambazi fisadi na hatari
Mwanasiasa wa Uingereza amemtaja Donald Trump, rais wa Marekani, kuwa jambazi fisadi na hatari, na kusisitiza kuwa kitendo chake cha kuzingira Mlango-Bahari wa Hormuz kinaweza kuhatarisha usitishaji mapigano dhaifu kati…