🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55….MACHI 18 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....MACHI 18 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....MACHI 18 2026
#HABARI: Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, ameitaka Serikali pamoja na wadau wa sekta binafsi kuhakikisha maboresho ya mfumo wa kodi yanatekelezwa kwa awamu tatu za muda mfupi, wa kati na mrefu…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....MACHI 18 2026
"Mhe.Rais bado hakuna utaratibu kamilifu, jumuishi wa kuwatambua, kuwalea na kuwakuza wajasiriamali wadogo, na wote wanaoanza biashara mpya, jambo hili ni kilio kikubwa sana cha wananchi na hasa vijana" -…
#HABARI: Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imemhukumu kunyongwa hadi kufa Joseph Mhulilwa, dereva bajaji na Mkazi wa Mtwivila B, Manispaa ya Iringa, baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kwa…
"Mfumo wa utatuzi wa migogoro ya kikodi, ambao bado wadau wanaona hauridhishi na walipa kodi wana mashaka na wanapoteza imani na mfumo uliopo wakiona kuwa vyombo vya utatuzi wa migogoro…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....MACHI 18 2026
"Tume imebaini masuala mbalimbali kwenye mfumo wa usimamizi wa kodi nchini ambayo bado ni kilio cha walipa kodi" - Balozi Ombeni Sefue - Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini…
#HABARI: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu Utamaduni na Michezo imeridhishwa na miradi ya Serikali inayoendelea kujengwa katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Mloganzila na…
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Tunduru imemuhukumu James Hashimu Chingwaru, (20) Mkazi wa Kijiji cha Mtina, Tunduru kwenda jela miaka 30 chini ya K/F 132 (1),(2) (a) Sheria ya kanuni…
"Ni muhimu sana Mhe.Rais mfumo wa kodi unaotakiwa lazima usaidie kujengwa uchumi shirikishi, ili mafanikio ya uchumi unaokua yasiwe ya watu wachache" - Balozi Ombeni Sefue - Mwenyekiti wa Tume…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....MACHI 18 2026
#MEZAHURUl: Je ni kitu kinachangia watu wengi kubadilika KITABIA BAADA YA MAFANIKIO..? -Weka maoni yako
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Congo, Denis Sassou Nguesso, mwenye umri wa miaka 82, ameshinda wa uchaguzi wa urais kwa kupata asilimia 94.82 ya kura. Matokeo hayo yametangazwa kupitia televisheni…
🔴HABARI ZA SAA, NNE NA DAKIKA 55....MACHI 18 2026
#HABARI: Ujenzi wa Jengo jipya la Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya, uliotarajiwa kukamilika katika kipindi cha miaka mitatu umefikia asilimia 23, huku kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya…
🔴HABARI ZA SAA, MBILI NA DAKIKA 55....MACHI 18 2026
#HABARI: Mkuu wa Jeshi la Iran Amir Hatami ametishia kuanza kulipiza kisasi "madhubuti" kwa mauaji ya mkuu wa usalama Ali Larijani katika shambulio la anga la Israel. "Kwa wakati na…
#MICHEZO: Bodi ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Machi 17, 2026 imetoa uamuzi mzito kwa kuinyang’anya Senegal ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025. Kwa mujibu…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: ....MACHI 18 , 2026
🔴KUMEKUCHA: ...MACHI 18, 2026
🔴MAGAZETI:.. .MACHI 18, 2026
Wakulima kuamua kuwafukuza wafugaji kwenye Kijiji. Je, hatua hiyo itamaliza mgogoro kati yao kuhusu maeneo ya malisho ?
🔴TAARIFA YA HABARI ASUBUHI MACHI 18, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MACHI 17, 2026
#HABARI: Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Emmanuel Tutuba, amewakaribisha na kuwatoa hofu wawekezaji wa kimataifa katika sekta ya fedha nchini Tanzania, huku akisisitiza kuwa mazingira ya uwekezaji…
#HABARI: Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI, Mhe. Florent Kyombo, ameipongeza Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) kwa usimamizi thabiti wa miradi ya kimkakati ya TACTIC jijini Arusha.…
#HABARI: Serikali imetoa pongezi na zawadi kwa wakaguzi na Askari waliopo chini ya Vyombo vya Usalama, vilivyopo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ambao walijitoa na kufanya…
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Segerea, Mhe. Agnesta Kaiza, ameahidi kufikisha bungeni changamoto ya upungufu wa mabweni inayoikabili Shule ya Msingi ya Viziwi Buguruni jijini Dar es Salaam. Akizungumza shuleni…
#HABARI: Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Mhe. Barke Sehel, amesema kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuimarisha upatikanaji wa haki kwa wanawake na wasichana ili kufanikisha usawa wa kijinsia.…
#HABARI: Mkoa wa Mbeya umekumbwa na hofu baada ya kurejea kwa mtindo wa kinyama wa uporaji kwa kutumia nondo na nyundo, ambapo watu sita wamepoteza maisha katika matukio tofauti. Kati…
#HABARI: Wizara ya Katiba na Sheria imezindua rasmi huduma ya “Sema na Waziri” Machi 17, 2026, inayolenga kuwasaidia wananchi kuwasilisha changamoto zao za kisheria kwa njia ya simu bila malipo.…
#HABARI: Serikali ya Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera inawasaka watuhumiwa sita, wakiwemo wenyeviti wa vitongoji watatu, kwa tuhuma za kuvamia na kuharibu msitu wa Buyanja uliopo Kijiji cha Businde. Mkuu…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MANYARA, MACHI 17, 2026
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amesema Serikali iko tayari kutoa eneo kwa ajili ya ujenzi wa kituo maalum cha taarifa za maendeleo kitakachoanzishwa na Taasisi ya Vyombo…
"Mgeni mualikwa unapoalikwa kwenye sherehe inapendeza utafute kiti cha nyuma kuketi, halafu baadae mhusika atakunyanyua na kukupeleka siti ya mbele," Sylivia Simkoko - Naibu Katibu Saa. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI…
"Unapoalikwa mahala lazima uwe na nidhamu, mtu mwingine anaalikwa pahala anakuwa yeye kama ndio mwenyeji jambo hilo halipendezi, unapoalikwa kwenye sherehe ukaenda mikono mitupu haipendezi" Adel Kyarwazi - Mchambuzi Masuala…
#HABARI: Kada wa Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina, amewashauri viongozi wa Serikali na Watanzania kwa ujumla wake, kuhakikisha Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya…
"Tunamkumbuka hayati Rais Magufuli kuwa alikuwa mtetezi mkubwa wa wanyonge...hasa wananchi wa kawaida kwa kutetea haki zao na kusimamia kutatua changamoto zao, aliamini katika kulinda rasilimali za taifa na kuhakikisha…
#HABARI: Moto mkubwa umeteketeza kiwanda cha rasta kilichopo eneo la Buguruni Sukita jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa mashuhuda moto huo umeanza tangu usiku wa kuamkia leo Jumanne Machi…
“Kuna wakati aliona orodha ya viongozi waliokuwa wanakwenda nje ilikuwa kubwa sana, sitawasema ni akina nani....kwa kuwa fedha zilikuwa ni nyingi nikaona siwezi kufanya maamuzi nikasema nipate muongozo wa wakubwa…
"Kati ya mambo ambayo ninayakumbuka vizuri sana, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kati ya vitu alivyokuwa ananisisitiza sasa na Watanzania kwa ujumla ni kumtegemea Mungu, wakati nimeugua alinishirikisha katika upendo…
“...nimepata salamu kutoka kwa Mhe. Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ambaye ametuonesha upendo wake alikuwa akichangia kwa miaka hii yote mitano na leo ameweza kuchangia Shilingi milioni 50…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....MACHI 17, 2026
#MEZAHURU: Je kuna umuhimu gani wa kuzingatia mambo muhimu unapopewa mwaliko wowot..? na ni kweli waafrika wengi HATUESHIMU MIALIKO..? -Weka maoni yako
"....wana Geita, Wana Chato, tunajiona kabisa kwamba tumebahatika hatudai, nataka niwaambie yupo kwenye mioyo yetu, tuendelee kumuenzi kwa mazuri yote aliyoyatenda hiyo ndio heshima yake,"-Mhe.Kassim Majaliwa - Waziri Mkuu Mstaafu…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....MACHI 17, 2026
"Hayati Dkt.Magufuli alikuwa ni mtu mkweli, lakini pia alikuwa hana utani katika mambo yake na ni mkali, alikemea maovu, wezi, wala rushwa, wabadhirifu wa mali za umma, na yule ambaye…
"Hayati Dkt.John Pombe Magufuli alikuwa mchapakazi, alikuwa ni kiongozi mzalendo, uzalendo unajengwa na uwajibikaji, uaminifu, uadilifu, lakini pia kupenda maendeleo na matokeo ya kazi nzuri,"-Mhe.Kassim Majaliwa - Waziri Mkuu Mstaafu…
"Dkt.John Pombe Magufuli pamoja na ukweli kwamba hatuko naye Duniani, bado anaishi kwenye mioyo ya Watanzania na hii haikutokea kwa bahati mbaya, ni kwa sababu alifanya kazi nzuri, aliheshimu Tanzania…