🔴#MAGAZETI:WASIOJULIKANA WAFUKUA KABURI LA MZEE WA MIAKA 85, JANUARI 31, 2026
🔴#MAGAZETI:WASIOJULIKANA WAFUKUA KABURI LA MZEE WA MIAKA 85, JANUARI 31, 2026
🔴#MAGAZETI:WASIOJULIKANA WAFUKUA KABURI LA MZEE WA MIAKA 85, JANUARI 31, 2026
🔴#MAGAZETI:WASIOJULIKANA WAFUKUA KABURI LA MZEE WA MIAKA 85, JANUARI 31, 2026
🔴#MAGAZETI:WASIOJULIKANA WAFUKUA KABURI LA MZEE WA MIAKA 85, JANUARI 31, 2026
#KIPIMAJOTO: “Bima ya Afya kwa wote ni Utaratibu wa kisheria….. unaoweka utaratibu wa kila mwananchi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kulipia huduma za afya kabla ya kuugua hiyo ndio…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JANUARI 30, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA JANUARI YAKO KWA BUKU TU..JANUARI 30, 2026
#HABARI: Serikali imeweka mkazo katika kuimarisha ulinzi wa maisha ya wananchi pamoja na mali zao dhidi ya wanyamapori wakali na waharibifu, kama sehemu ya mkakati wa kitaifa wa kutatua migongano…
#HABARI: Zaidi ya kaya 2,000 zenye uhitaji mkoani Manyara zinatarajiwa kunufaika na msaada wa chakula kutoka taasisi ya Mati Foundation, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kampuni ya Mati Super…
#HABARI: “Daktari Samia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni binadamu mwenye nyam ana hakuna mtu mzima popote pale duniani anayependa kila mara kunyooshewa kidole wakati ana masikio tumuache…
🔴KIPIMAJOTO: UTEKELEZAJI BIMA YA AFYA KWA WOTE AWAMU YA KWANZA. JE, NINI VIGEZO NA MASHARTI KWA WALENGWA?
TAARIFA YA HABARI SAA MBILI JANUARI 30, 2026 - BOT YAKANUSHA KUUZA DHAHABU KUFADHILI MIRADI
#KIPIMAJOTO:UTEKELEZAJI BIMA YA AFYA KWA WOTE AWAMU YA KWANZA. JE, NINI VIGEZO NA MASHARTI KWA WALENGWA?
#HABARI: Waziri wa Afya nchini Tanzania Mhe. Mohamed Mchengerwa Jumatatu Februari 02, 2026, anatarajiwa kuwa na ziara ya Kikazi kwenye Taasisi ya Saratani ya Ocean Road Jijini Dar es Salaam…
#HABARI: Serikali ya Tanzania, kwa kushirikiana na Shirika la Ushirikiano la Kimataifa la Korea (KOICA), imezindua mpango kabambe wa barabara za kasi (Expressways) unaolenga kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha…
#HABARI: Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imetangaza kuwa itaendesha zoezi la upimaji wa viashiria vya saratani ya tezi dume bila malipo wakati wa tamasha la IST Festival litakalofanyika Februari 14,…
#MICHEZO: Afisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe kuhusu nyota wa timu hiyo kutakiwa kuwafurahisha mashabiki na Wana-Afrika Mashariki waliokuja na wanaofuatilia kuona Yanga ikiwawakilisha mechi dhidi ya Al Ahly…
#HABARI: Rais wa Baraza la Usimamizi wa Mkataba wa Lusaka na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, amewaagiza watendaji wa Sekretarieti ya mkataba huo (LATF) kuhakikisha idadi…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA PWANI - JANUARI 30, 2026
#HABARI: Umoja wa Madereva Bodaboda Jijini Mbeya umeiomba Serikali kuingilia kati mgogoro unaofukuta kati yao na Mwenyekiti wa umoja huo, Aliko Fwamba, anayetuhumiwa kushindwa kuitisha Mkutano Mkuu. Wanachama hao wameeleza…
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Serikali imefanikiwa kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu, wanaoingia nchini baada ya Idara ya Uhamiaji kufunga jumla ya vipenyo 1,777…
#HABARI: Wananchi Mkoani Geita watakiwa kuchangamkia fursa ya umeme kwenye Vitongoji vyao ambapo Wakala ya Nishati Vijijini (REA) inatarajia kusambaza umeme kwenye vitongoji 528 vitakavyo fikia jumla ya kaya 17,014…
#HABARI: Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Yohana John (40), Mkazi wa Kijiji cha Imbilili wilayani Babati, mkoani Manyara, amefariki dunia Januari 28, 2025, kwa kujinyonga. Akizungumzia tukio hilo mama…
#HABARI: Wizara ya Nishati imewahimiza wananchi wa Wilaya ya Monduli kuachana na matumizi ya kuni na mkaa na badala yake kugeukia nishati safi ya kupikia ili kuunga mkono maono ya…
#HABARI: Sakata la Pombe kuwaathiri wanaume wakiwemo vijana katika Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro limechukua sura mpya baada ya baadhi ya wazee katika wilaya hiyo kapaza sauti wakiiomba Serikali kukomesha…
"...kiimani tunavyozungumzia tabia hatarishi moja kwa moja tunazungumzia dhambi sio tafsiri yake au tunaweza kusema uasi kwa sababu kwenye maandiko Biblia inasema kila atendaye dhambi amefanya uasi.." - Dismas Mwakatundu…
“…..tukizungumzia tabia tunazungumzia matendo ambayo mtu anayatenda, vitu ambavyo amefanya, mazoea ambayo anakuwa nayo baadaye anajenga tabia kwa hiyo anakuwa na utaratibu wake wa kimaisha…”-Churchil Shakim-Mwandishi. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Ndugu Jabiri Makame, ametangaza marufuku ya biashara ya Mkaa wa Miti katika Mkoa wa Songwe na kuhimiza matumizi ya Mkaa Mbadala na Nishati Safi…
🔴MEZA HURU: .ATHARI ZA TABIA HATARISHI KWENYE JAMII-.JANUARI 30, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....JANUARI 30, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....JANUARI 30, 2026
#HABARI: Serikali ya kijeshi nchini Burkina Faso imevifuta vyama vyote vya siasa na kufuta mfumo wa kisheria uliokuwa unasimamia uendeshaji wake, kwa mujibu wa amri iliyoidhinishwa na Baraza la Mawaziri…
#HABARI: Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Mhe. Jacquline Mzindakaya, amehoji Serikali kuhusu hatma ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Rukwa unaotekelezwa kwa gharama ya takribani shilingi bilioni…
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Award Karonga, Mkazi wa Katumba ambaye ni Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Rungwe na pia ni Makamu…
#MICHEZO: Afisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe akizungumzia na wanahabari kisiwani Zanzibar, amesema ana furaha kuona mchezaji machachari wa Al Ahly, Emam Ashour kutokuwepo kuelekea mchezo wao wa kesho…
#HABARI: Reli ya Kisasa ya Standard Gauge Railway (SGR) imeendelea kuwa chachu ya maendeleo nchini, ikirahisisha usafiri wa abiria na mizigo, sambamba na kuchochea ukuaji wa sekta ya utalii. …
#HABARI: Watumishi wawili wa kada ya afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro, wamechukuliwa hatua kali za kinidhamu kwa kufukuzwa kazi kutokana na utoro, mmoja akidaiwa kutohudhuria kazini…
#HABARI: Jeshi la Uganda limekiri kuwa wanajeshi walimkamata kwa muda mfupi Barbara “Barbie” Kyagulanyi, mke wa kiongozi wa upinzani Robert Kyagulanyi Ssentamu maarufu kama Bobi Wine, na baadaye kumuachia huru,…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....JANUARI 30, 2026
#HABARI: Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Dennis Londo ameitaka Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala – WRRB kuhakikisha inatatua changamoto zilizopo katika vyama vya ushirika, kuongeza thamani ya…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....JANUARI 30, 2026
#HABARI: Jeshi la Nigeria limesema wanamgambo wameshambulia kambi ya kijeshi iliyopo katika jimbo la Borno, kaskazini mwa nchi hiyo. Wanajeshi na wanamgambo kumi na mmoja wameuawa katika shambulizi hilo. Jeshi…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: ..JANUARI 30, 2025
#MEZAHURU: nini chanzo cha asilimia kubwa ya vijana kuingia kwenye TABIA HATARISHI, je kuna ukweli juu ya malezi mabovu au kusosekana ajira..? -Weka Maoni yako -Saa Tisa Mchana
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....JANUARI 30, 2026
🔴KUMEKUCHA MICHEZO JANUARI 30, 2026
#SWALILAKIPIMAJOTO:Mpango mkakati wa kisayansi wa kujenga umahiri wa kusoma , kuandika na kuhesabu .Je, walimu wa kutekeleza ngazi husika wameandaliwa kuleta tija inayokusudiwa
🔴KUMEKUCHA: MAONI JUU YA HOTUBA YA RAIS AKIFUNGUA BUNGE.. JANUARI 30, 2026
🔴#MAGAZETI:KIWANDA KUZALISHA ARV RASMI NCHINI / SABABU UWANJA WA KMC ZATAJWA.JANUARI 30, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 30, 2026
#MALUMBANOYAHOJA:"Katika kitu cha kujifunza tufanye kama tulivyofanya CHAN iliyopita kwa sababu tulifanya vizuri "Hopton Chilonji - Mshiriki. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000…