Uganda: Bunge limechagua spika wake mpya baada ya kuondolewa kwa mwanachama wa chama tawala
Nchini Uganda, karibu miezi mitano baada ya uchaguzi wa urais na wa wabunge, wabunge wapya waliochaguliwa wamekutana kwa mara ya kwanza siku ya Jumatatu, Mei 25. Walimchagua Jacob Oboth-Oboth, ambaye…