Madagascar: Mahakama Kuu ya Mauritius yakataa ombi la Mamy Ravatomanga la kuachiliwa kwa muda
Mmoja wa wafanyabiashara wakuu nchini wa Madagascar Mamy Ravatomanga bado yuko gerezani nchini Mauritius. Mahakama Kuu ya Mauritius imekataa ombi lake la kuachiliwa kwa muda mapema wiki hii. Mshirika wa…