Nadharia tatu kuhusu uwezekano wa kutokea mwisho wa dunia
Hizi ni baadhi ya nadharia maarufu kuhusu jinsi mwisho wa dunia au ulimwengu unaweza kuwa katika siku za mbali sana zijazo, ikiwa kweli kutakuwa na mwisho kabisa.
Hizi ni baadhi ya nadharia maarufu kuhusu jinsi mwisho wa dunia au ulimwengu unaweza kuwa katika siku za mbali sana zijazo, ikiwa kweli kutakuwa na mwisho kabisa.
Kwa usaidizi wa Shirika lisilo la kiserikali la Medical Corps, taasisi hiyo katika mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini unayodhibitiwa na wasi wa AFC/M23 imeanzisha mzunguko mpya wa kuwapima…
Katika juhudi za kuzuia kuenea kwa virusi vya Ebola kwa raia wake, Uganda imetangaza kusitisha usafiri wote wa anga na ardhini na nchi jirana ya DRC, huku Rwanda ikiamua kupiga…
Rubio ameingilia kati baada ya Rais Donald Trump kusema kwamba Marekani itatuma wanajeshi zaidi nchini Poland, wiki moja baada ya mpango wa kupeleka wanajeshi nchini humo kufutwa.
Abdoul Salam Maïga, mwalimu wa Quran katika madrasa huko Tonka, amepigwa risasi hadharani na wanajihadi wa JNIM siku ya Alhamisi, Mei 21. Mamo mwezi Novemba mwaka uliyopita, mji huuulioko katikati…
Rais wa Senegal Bassirou Diomaye Faye amemfuta kazi Waziri wake Mkuu, Ousmane Sonko, jioni ya Mei 22, 2026. Tangazo hilo lilitolewa kwenye kituo cha televisheni cha RTS muda mfupi kabla…
Kila mara alipomfanyia vibaya msichana, alimwambia asimweleze mtu yeyote, na alikuwa akimfuatilia kwa karibu, akimtisha kwamba baadhi ya watu wa familia yake wangeweza kuumizwa.
Kisonono na kaswende, miongoni mwa maambukizi mengine ya zinaa (STIs), vinafikia viwango vya juu vya rekodi barani Ulaya.
Chanzo hicho kiliongeza kuwa urani iliyorutubishwa ya Iran na udhibiti wa Tehran juu ya Mlango bahari wa Hormuz bado ni miongoni mwa masuala yanayokwaza mazungumzo.
Ripoti imenukuu afisa wa Pentagon, Jules W. Hurst, akiliambia Bunge kuwa gharama za vita dhidi ya Iran zimezidi dola bilioni 29 za Marekani, kiwango kinachojumuisha matengenezo na ukarabati wa ndege…
Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio imesema kwa kuzingatia taarifa zinazoaminika, Mafwele alihusika katika ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.
Jeshi la Israel linasema limewaua watu wawili kusini mwa Lebanon leo Ijumaa asubuhi, Mei 22, karibu na mpaka. Kulingana na shirika la habari la Lebanon, ANI, wafanyakazi wanne wa afya…
Wasiwasi kuhusu kiwango cha uchezaji na utimamu wa mwili umeanza kuenea kwa baadhi ya mastaa wakubwa wa soka, huku zikiwa zimesalia wiki tatu tu kabla ya Kombe la Dunia kuanza,…
Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi thelathini na mbili za Muungano wa Atlantiki wanakutana tangu siku ya Alhamisi, Mei 21, na Ijumaa, Mei 22, 2026, huko Helsingborg, kusini mwa…
Wadau wa sekta ya usafirishaji nchini Kenya, wametangaza kumaliza mgomo waliopanga kuufanya tena wiki ijayo baada ya majadilino na Rais William Ruto. Imechapishwa: 22/05/2026 – 08:35 Dakika 1 Wakati wa…
Ingawa matokeo ya mwisho ya duru ya pili ya uchaguzi wa wabunge bado hayajatangazwa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, mkuu wa nchi ametangaza muundo wa serikali yake mpya siku…
Kupiga picha za utupu ni uamuzi ambao ni ngumu kuuingilia. Lakini kile ambacho makala hii inakusudia kukigusia, ni ushauri wa namna ya kujilinda ili picha zako za faragha zisiende kwenye…
Mahakama Kuu ya Ndjamena imefutilia mbali siku ya Alhamisi, Mei 21, rufaa iliyowasilishwa na kundi la mawakili wa kiongozi wa zamani wa serikali, na hivyo kumfanya ahukumiwe kifungo cha miaka…
Huko Rwampara, yapata kilomita kumi kutoka Bunia, ndugu wa mgonjwa aliyefariki kutokana na Ebola wameteketeza mahema katika kituo cha matibabu siku ya Alhamisi, Mei 21, 2026, baada ya wafanyakazi wa…
David Djumbe, msaidizi binafsi wa Tundu Lissu, kiongozi wa chama cha upinzani cha Chadema ambaye mwenyewe anafungwa jela kwa zaidi ya mwaka mmoja, amefanikiwa kutoroka kundi la watu wenye silaha…
Mamia ya wandamanaji walijitokeza hapo jana nje ya bunge la Ireland kulalamikia kifo cha raia wa DRC akiwa mikononi mwa maofisa wa usalama wiki iliopita. Imechapishwa: 22/05/2026 – 06:41 Dakika…
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Marekani, Marco Rubio, amesema kuwa Cuba ni tishio kwa usalama wa taifa la Marekani na kuwa hakuna uwezekano wa kuafikiwa kwa makubaliano ya amani…
India na Umoja wa Afrika wameahirisha mkutano uliokuwa umepangwa kufanyika wiki ijayo, kuanzia Mei 28 hadi 31, huko New Delhi, kutokana na mlipuko wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya…
Waziri wa Afya wa Kongo ametangaza siku ya Alhamisi asubuhi, Mei 21, katika kipindi cha RFI cha “Appels sur l’actualité”, taarifa mpya kuhusu janga la Ebola linaloathiri sehemu za mashariki…
Nchini Sudan, zaidi ya vituo 50 vya kutoa lishe katika jimbo la Darfur Magharibi,vimelazimika kusitisha shughuli zao kutokana na kupungua kwa ufadhili, watu karibu laki mbili wakisalia bila msaada. Imechapishwa:…
Mamlaka nchini Uganda imetangaza kusimamisha usafiri wote wa umma kwenda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo mlipuko mbaya wa Ebola umeendelea kuenea. Imechapishwa: 22/05/2026 – 05:43Imehaririwa: 22/05/2026 – 05:45 Dakika…
Wanamuziki wengi wa Afrika Mashariki hupenda kufanya matamasha na kuishi Dubai kwa lengo la kupata malipo mazuri pamoja na kutumia jukwaa hilo kuwafikia mashabiki wa kimataifa.
"Tanzania imekuwa mshirika muhimu wa Marekani katika Afrika Mashariki, lakini kuzorota kwa demokrasia, vurugu za kisiasa na ukandamizaji wa hivi karibuni haviwezi kupuuzwa," amesema Jeanne Shaheen.
Wakaazi wa Goma, Mashariki mwa DRC sasa wanakabiliwa na mzigo mzito wa kuendelea kukabiliwa na ugumu wa maisha kutokana na kutatizika kwa shughuli za kibiashara, na sasa maambukizi ya virusi…
Nchini Nigeria, vyama vya siasa kuanzia siku ya Jumamosi, vitaanza zoezi la kuwateuwa wagombea urais kuelekea uchaguzi mkuu, uliopangwa kufanyika mwezi Junauari mwaka ujao. Imechapishwa: 21/05/2026 – 16:27Imehaririwa: 21/05/2026 –…
Wizara ya Mambo ya nje ya Iran, inasema viongozi wake, wanapitia majibu mapya ya Marekani kuhusu upatikanaji wa mkataba wa amani, baada ya awamu kadhaa ya mazungumzo. Imechapishwa: 21/05/2026 –…
Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imeonya kuwa adhabu ya kifo inazidi kutumiwa kunyamazisha upinzani wa kisiasa nchini Iran.
Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel Denis Mukwege ametoa wito kwa kundi la waasi wa AFC/M23 siku ya Jumanne, Mei 19, kufungua tena uwanja wa ndege wa Goma ili…
Cuba iko kwenye misukosuko ya kiuchumi na nishati kufuatia shinikizo la hivi karibuni kutoka kwa utawala wa Donald Trump na kupoteza uungwaji mkono kutoka Venezuela baada ya kuondolewa madarakani kwa…
“Hatari barani Afrika imemekuwa kubwa,” amesema Sidi Ould Tah, Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), katika Jukwaa la Wakurugenzi Wakuu wa Afrika wiki iliyopita. Mtazamo wa hatari unachukuliwa…
Kampeni za uchaguzi wa urais zinafunguliwa rasmi leo Alhamisi, Mei 21, 2026, nchini Zambia. Miaka minne baada ya kuingia madarakani, Rais Hakainde Hichilema anapewa nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi huu…
Hii ni harakati inayoendelea nchini Marekani, nchi yenye akili bandia iliyoendelea zaidi na yenye nguvu. Kutoridhika, hata uasi, dhidi ya akili bandia kunaongezeka. Mifano inaongezeka. Imechapishwa: 21/05/2026 – 10:17 Dakika…
Tehran imetangaza kuwa inachunguza pendekezo jipya la amani la Marekani kupitia mpatanishi wa Pakistan. Huko Washington, Donald Trump aliacha mlango wazi kwa diplomasia, akisema “hakuwa na haraka,” ingawa, kulingana naye,…
Kusoma nchini Ufaransa kutakuwa ghali zaidi kwa wanafunzi ambao si raia wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya. Kulingana na amri kutoka Wizara ya Elimu ya Juu ya Ufaransa iliyotolewa…
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz anapendekeza kuihusisha Ukraine na Umoja wa Ulaya (EU), badala ya kujiunga na EU, jambo ambalo litachukua muda, katika barua kwa viongozi wa Ulaya iliyopatikana na…
Utafiti uliofanywa na wataalamu wa shirika la Afya Duniani (WHO) na Chuo cha Imperial unakadiria idadi ya visa kuwa mara mbili hadi tano zaidi kuliko takwimu za sasa. Imechapishwa: 21/05/2026…
Bila shaka, mimea haina mboni, macho, au akili, kwa hivyo haina aina ya macho ambayo inahusishwa na viumbe vingine.
Baada ya miaka kumi akiwa madarakani nchini Benin, rais Patrice Talon anajiandaa kukabidhi hatamu ya uongozi wa nchi siku ya Jumapili hii, Mei 24, 2026 kwa msindi wa uchaguzi, waziri…
Nchini Senegali, je, hii ni bahati mbaya ya wakati au mfano mwingine wa mawasiliano yanayokinzana katika ngazi za juu za serikali? Kuanzia Alhamisi, Mei 21 hadi Mei 31, Rais Bassirou…
Nchini Mali, hakuna habari za wakili na mwanasiasa Mountaga Tall kwa karibu wiki tatu. Baada yake, watetezi wengine wa demokrasia na ndugu wa wanachama wa upinzani walio uhamishoni wametekwa nyara…
Jibu linaandaliwa ili kukabiliana na mlipuko wa virusi vya Ebola ambao unaendelea kuathiri maeneo kadhaa ya mashariki mwa DRC kwa siku kadhaa. Kitovu cha mlipuko kiko Ituri, Bunia, na katika…
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio linaloimarisha wajibu wa mataifa kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa, hatua iliyosubiriwa kwa muda mrefu, hata hivyo likipata upinzani mkali toka…
Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Kenya, yametoa muda wa siku 40 kwa serikali kushughulikia ongezeko la visa vya mauaji ya wanawake na vitendo vingine vya Ukatili wa Kijinsia,…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema Marekani ipo tayari kutekeleza mashambulizi dhidi ya Iran, iwapo hawataafikia makubaliano ya kusitisha vita, na kusema kuwa Washington itasubiri kwa siku chache ili kupata…
Sierra Leone imekuwa taifa jingine la Afrika kuwapokea wahamiaji waliofukuzwa kutoka Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump na kampeni yake dhidi ya aliowataja wahamiaji haramu. Imechapishwa: 21/05/2026 –…