Mzozo kati ya Trump na Papa hadharani, utamgharimu vipi kisiasa
Historia inaonyesha kwamba kwa Wakatoliki wengi nchini Marekani, siasa huja kabla ya imani.
Historia inaonyesha kwamba kwa Wakatoliki wengi nchini Marekani, siasa huja kabla ya imani.
Nchini Venezuela, sheria ya msamaha kwa wafungwa wa kisiasa ina miezi miwili haswa tangu kuidhinishwa. Ilipitishwa na bunge mnamo Februari 20. Katika miezi hii miwili, mamia ya wafungwa wameachiliwa huru,…
Mtu mwenye bunduki amewaua watoto wanane kwa risasi, tukio lililohusishwa na vurugu za nyumbani katika nyumba mbili tofauti mapema siku ya Jumapili asubuhi, Aprili 19, Shreveport, Louisiana, polisi imesema. Lilikuwa…
Kwa mujibu wa Rais wa Marekani Donald Trump, vikosi vya Marekani sasa vinaidhibiti meli hiyo, ambayo alisema ilijaribu kukwepa kizuizi cha kijeshi cha Marekani kilichowekwa kwa meli zinazotoka Iran siku…
Mimea huwa ya kijani kwa sababu ina chlorophyll, ambayo hufyonza nishati ya mwanga. Katika mchakato wa usanisinuru au photosynthesis, nishati hii hubadilisha hewa ya carbondioxide kuwa oksijeni.
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Mawaziri wa Mambo ya Nje, Utamaduni, na Nishati wanasafiri kwenda Gdansk kwa mkutano wa kwanza wa kilele wa Ufaransa na Poland. Mpango huu unatekeleza…
Nchini Tanzania, serikali imefuta leseni 40 za uchimbaji madini. Kulingana na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, kampuni husika hazikuendeleza makubaliano yao ndani ya muda uliowekwa. Hata hivyo, leseni hizi ambazo…
Kwa sasa Tehran haijapanga kushiriki katika mazungumzo mapya na Marekani, vyombo vya habari vya serikali ya Iran vimeripoti siku ya Jumapili jioni, huku jeshi lake likiishutumu Marekani kwa kukiuka makubaliano…
Umoja wa Afrika hapo jana “ulilaani vikali” hatua ya Israel kuteua balozi mpya kwenye eneo la Somaliland linalotaka kujitenga na Somalia, uamuzi iliyosema ni kuingilia uhuru wa Somalia. Imechapishwa: 20/04/2026…
Arsenal kafungwa na City. Swali kubwa linalobaki ni kama Arsenal wataweza kubadilisha simulizi yao ya miaka ya karibuni. Mara nyingi wamekuwa wakianza vizuri, lakini kushindwa kumaliza kazi.
Joe Nam, 55, alifanya kazi katika vyombo vya habari vya serikali kwa miongo mitatu kabla ya kustaafu. Alikuwa ameandika kitabu kinachozungumzia matokeo yanayowezekana ya Rais Yoweri Museveni kujiuzulu baada ya…
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani, Papa Leo wa 14, amekemea vitendo vya rushwa na kuzitaka mamlaka za Angola kumaliza ubaguzi ambao umeendelea kusumbua nchi hiyo tangu kumalizika kwa vita ya…
Serikali ya DRC na waasi wa M23 wamekubaliana kuruhusu kupitishwa kwa misaada ya kibinadamu na kubadilishana wafungwa ndani ya siku 10 zijazo, hii ni kwa mujibu wa taarifa ya pamoja…
Arsenal na Chelsea zinamfuatilia kiungo wa Tottenham Hotspur, Lucas Bergvall. Wakati huo huo, Paris Saint-Germain wako kwenye mazungumzo na Gabriel Martinelli, huku Manchester United na Real Madrid wakimmendea Unai Emery.
Katika kikao chao cha kwanza na wanahabari baada ya kurejea Ijumaa iliyopita, Reid Wiseman, Victor Glover, Christina Koch na Jeremy Hansen walisema walienda angani kama marafiki na wakarudi wakiwa na…
Kabla ya penalti, mechi za finali au mtoano zilizoishia kwa sare zilitatuliwa kwa marudio, kwa kucheza bahati nasibu au kurusha sarafu.
Ni silaha ya bei nafuu, inayoweza kutupwa ambayo inaweza kuzalishwa kwa urahisi na kwa wingi. Silaha ambayo haihitaji rubani, haihitaji ardhi adimu, na inaweza kuzalishwa hata chini ya shinikizo la…
Spika wa bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, anasema pande hizo mbili "hazijakaribia kufikia makubaliano ya mwisho" ya mazungumzo ya kukomesha vita na Marekani.
Vita nchini Sudan vilipoingia mwaka wake wa nne Aprili 15, 2026, wakimbizi wa Sudan waliokimbilia nchi jirani wanakabiliwa na matatizo makubwa. Matatizo haya yanazidishwa na kupungua kwa kiasi kikubwa kwa…
Wakati madai mapya yakiibuka tena kuhusu matumizi mabaya ya fedha zilizokusudiwa kwa waathiriwa wa vita vya Kisangani, nchini DRC, katika miaka ya 2000, Waziri wa Sheria ameamuru uchunguzi ufanyike kuhusu…
Karibu watu 70 wamekamatwa na mamlaka ya Iran, wakituhumiwa kwa kuhusishwa na mitandao ya ujasusi ya kigeni katika jimbo la Mazandaran, kulingana na shirika la habari la Tasnim. Imechapishwa: 19/04/2026…
Mazungumzo ya amani kati ya Iran na Marekani “yamepiga hatua,” lakini makubaliano ya mwisho “bado yako mbali,” spika mwenye wa bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, amesema siku ya Jumamosi,…
Iran imetangaza siku ya Jumamosi, Aprili 18, kwamba imerejesha “udhibiti mkali” wa Mlango-Bahari wa Hormuz kujibu kizuizi kinachoendelea cha Marekani kwenye bandari za Iran, ikibadilisha uamuzi wake siku iliyopita wa…
Morgan Rogers wa Aston Villa analengwa na Bayern Munich, ambao wamejiunga na Chelsea na Manchester United katika kumtaka mshambuliaji huyo wa Uingereza.
Mwanajeshi wa kikosi cha Umoja wa Mataifa kutoka Ufaransa ameuawa leo Jumamosi nchini Lebanon katika shamulio la kuvizia, amesema Waziri wa Ulinzi Catherine Vautrin. Sajenti Meja Florian Montorio “alikuwa kwenye…
Ni miongoni mwa watu wachache ambao waliwaunganisha viongozi wa Marekani na Iran kupitia mawasiliano ya simu, akipitisha ujumbe kati ya pande hizo mbili kama mpatanishi anayeaminika.
Jeshi la Iran limesema limefunga tena mlango wa bahari wa Hormuz kutokana na kile limekitaja kama hatua ya jeshi la Marekani kuendelea kuzuia meli zinaoingia na kutoka kwenye bandari za…
Wakati kuna kusitishwa kwa mapigano mapigano katika eneo la Mashariki ya Kati, swali kubwa linaibuka: je, mazingira sasa yameiva kwa mafanikio ya kihistoria katika diplomasia
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuna “habari njema” kuhusu Iran, akionyesha matumaini juu ya mazungumzo ya amani ya kumaliza vita, ikiwa zimesalia siku nne kabla ya wiki mbili za…
Wakati Iran ilipotangaza kufunguliwa tena kwa Mlango-Bahari wa Hormuz, zaidi ya nchi arobaini zimekutana siku ya Ijumaa, Aprili 17, kujadili mustakabali wa ukanda huu wa baharini, ambao vizuizi vyake vina…
Wiki saba zilizopita, Marekani na Israel zilitekeleza mashambulizi dhidi ya Iran. Vita hivi vilienea haraka katika eneo lote. Lakini katika saa chache tu siku ya Ijumaa Aprili 17, hali katika…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema siku ya Ijumaa jioni kwamba kizuizi cha kijeshi kitaendelea kwenye bandari za Iran ikiwa hakuna makubaliano ya amani yatakayofikiwa na Tehran. Imechapishwa: 18/04/2026 –…
Liverpool wanatarajiwa kushindana na Manchester United kuwania saini ya kiungo wa Crystal Palace, Adam Wharton. Wakati huo huo, Tottenham Hotspur wamefikia makubaliano ya kumsajili Marcos Senesi, na Newcastle United wako…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi ametangaza Ijumaa alasiri kufunguliwa tena kwa Mlango-Bahari wa Hormuz kwa meli za kibiashara. Uamuzi huu, uliokaribishwa na Donald Trump, pia umesababisha…
Baada ya siku tano za mazungumzo huko Montreux, Uswisi, duru ya tisa ya mazungumzo kati ya Kinshasa na AFC/M23 imekamilika. Ingawa taarifa ya mwisho inataja maendeleo, hakuna makubaliano yaliyofikiwa kuhusu…
Karibu watu 200 waliotekwa nyara na waasi wa ADF wameachiliwa huru katika siku mbili zilizopita katika eneo la Mambasa mkoani wa Ituri, kutokana na operesheni za kijeshi zinazoendelea kufanywa na…
Maelezo ya Serikali ya Burundi, kuhusu mazingira ya kifo cha aliyekuwa Waziri wa mawasiliano na Habari, Gabby Bugaga, yameibua maswali zaidi baada ya mwili wake kukutwa kwenye gari, tukio ambalo…
Waziri wa mambo ya nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema kuwa mlango Bahari wa Hormuz, njia kuu ya biashara ya dunia, utabakia wazi mradi tu usitishaji wa mapigano kwenye eneo…
Kusitishwa kwa mapigano kwa siku 10 kati ya nchi hizo mbili sasa kumeanza kutekelezwa, huku Hezbollah inayoungwa mkono na Iran ikionesha uungaji mkono, wakati mazungumzo yakiendelea kati ya Marekani na…
Papa amekuwa akizungumza kwa uwazi na ukali usio wa kawaida wakati wa ziara yake nchini Cameroon iliyoathiriwa na migogoro.
The Colombian government announces plans to cull up to 80 of the hundreds of "cocaine hippos" descended from one male and three females imported by drug lord Pablo Escobar for…
Tangu Februari 28, kuzuiwa kwa Mlango-Bahari wa Hormuz kumevuruga sana usambazaji wa mafuta duniani na kusababisha bei ya mafuta kupanda. Ili kushughulikia hili, Umoja wa Ulaya (EU) unaziomba nchi wanachama…
Côte d’Ivoire ilifuta visa vya forodha na Mali na Burkina Faso mnamo Aprili 11. Urahisishaji huu wa taratibu za usafiri ni muhimu kwa ajili ya kuongeza biashara na nchi jirani…
Usalama wa baharini katika Mlango Bahari wa Hormuz ndio mada ya mkutano wa kimataifa leo Ijumaa hii, Aprili 17, jijini Paris. Mpango huu wa Ufaransa na Uingereza umeungwa mkono na…
Mwakilishi Mkuu wa sera za kigeni na Makamu wa Rais wa Tume ya Ulaya anazuru Morocco Aprili 16 na 17, 2026. Kaja Kallas na Waziri wa Mambo ya Nje wa…
Mkuu wa nchi wa Kongo, Denis Sassou-Nguesso, mwenye umri wa miaka 82, akiwa na miaka 41 madarakani, ameapishwa siku ya Alhamisi, Aprili 16, kwa muhula wake wa tano mfululizo. Alichaguliwa…
Beijing imeishutumu Tokyo kwa kushindwa kuwalinda ipasavyo wanadiplomasia wa China baada ya kupokea vitisho vitatu katika kipindi cha mwezi mmoja, huku kukiwa na mvutano unaoendelea kati ya majirani hao wawili…
Jeshi la Israel limeendelea kuttekeleza mashambulizi katika maeneo mbalimbali ya Lebanon saa chache baada ya usitishaji mapigano kati ya Lebanon na Israel kuanza kutekelezwa. Imechapishwa: 17/04/2026 – 08:25 Dakika 1…
BBC Sport inatathmini maisha ya Bernardo Silva katika Manchester City na kwa nini mashabiki hawatamsahau kamwe.
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Economic Freedom Fighters (EFF) chenye msimamo mkali kutoka mrengo wa kushoto nchini Afrika Kusini, Julius Malema, amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela siku ya…