Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi: PSG inamfuatilia Fernandes West Ham
Mateus Fernandes anatakiwa na Paris-St Germain, Andoni Iraola na Cesc Fabregas ni miongoni mwa wagombea nafasi ya Liam Rosenior katika klabu ya Chelsea, na Barcelona wanataka Marcus Rashford kuendelea kusalia…