Jinsi vita vya Iran vinavyoathiri mahujaji wanaokwenda Umrah
Mamilioni ya waumini wa kiislamu hushiriki Umrah nchini Saudi Arabia katika mwezi wa Ramadhan.
Mamilioni ya waumini wa kiislamu hushiriki Umrah nchini Saudi Arabia katika mwezi wa Ramadhan.
Trump ametoa wito huo wakati vita kati ya Marekani ikishirikiana na Israel dhidi Iran vinaingia wiki ya pili huku mashambulizi ya kijeshi yakiripotiwa kote Mashariki ya Kati.
Majina kadhaa yakiwemo ya wachezaji wawili wa zamani, yanatajwa kuwania nafasi ya kuwa kocha wa Tottenham Hotspur, huku mabingwa wa Italia Napoli wakipanga kuhakikisha wanambakiza kwa muda mrefu wa kiungo…
Siku chache baada ya kutangaza kuliwekea vikwazo jeshi la Rwanda pamoja na maofisa wake wa juu wa kijeshi, waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Marco Rubio, amesema nchi yake…
Waziri wa Afya Aden Duale amesema kampuni inayotengeneza chanjo hiyo, Bharat Biotech, inakabiliwa na ucheleweshaji wa uzalishaji kutokana na uboreshaji katika vituo vyake. Imechapishwa: 06/03/2026 – 15:03 Dakika 2 Wakati…
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imezindua rasmi ombi la dola bilioni 1.4 kwa washirika wake wa kimataifa siku ya Jumatano, Machi 4, huko Kinshasa. Ufadhili huu unalenga kushughulikia…
Nchini Afrika, zaidi ya nchi ishirini zimesaini makubaliano ya pande mbili na Marekani kama sehemu ya “Mkakati wa Afya wa Kimataifa wa – America First.” Programu hii, iliyozinduliwa na utawala…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amemteua mkuu mpya kwa ajili ya tume yake ya kuleta utulivu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO). Mmarekani James Swan, balozi wa…
China bado haijahisi mshtuko wa vita Mashariki ya Kati. Lakini tayari inahisi athari zake za awali.
Marekani inafaa kupiga marufuku usafiri wa anga ili kuwalinda wapiganaji wa Kikurdi.
Historia inaonyesha kwamba vita vyote vya Sudan vimekuwa vya muda mrefu na kudumu hadi miaka 20.
Marekani na Venezuela zitafufua uhusiano wa kidiplomasia, uliositishwa mwaka wa 2019, Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetangaza siku ya Alhamisi Machi 5, 2026. Caracas imejibu kwa kutoa wito…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine ameishutumu Hungary siku ya Ijumaa kwa kuwateka nyara wafanyakazi saba wa benki ya Ukraine huko Budapest. Benki hiyo imesema kwamba wafanyakazi hao walikuwa…
Tangu mwezi Januari 2025, pande zote katika mgogoro mashariki mwa DRC zimeshutumiwa kwa kufanya ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu na sheria za kimataifa za kibinadamu. Hili ni hitimisho la…
Suala la ndege iliyotelekezwa kwa karibu miaka ishirini kwenye lami ya uwanja wa ndege wa Faro nchini Ureno limeibuka tena. Mamlaka ya uwanja wa ndege wa Ureno imetoa notisi rasmi…
Sheria kuhusu mashirika yasiyo ya kiserikali imeanza kutumika siku ya Jumanne, Machi 3, nchini Angola, baada ya kupitishwa na Bunge linalodhibitiwa kwa kiasi kikubwa na chama tawala, MPLA. Sheria hii…
Usiku wa Jumatano, Machi 5, taarifa rasmi kutoka kwa Waziri Mkuu imetangaza kupokea barua ya kujiuzulu kutoka kwa Waziri wa Nchi na Waziri wa Elimu ya Juu, Utafiti wa Sayansi,…
Waziri wa Michezo wa DRC Didier Budimbu Ntubuanga yuko katika hali ngumu wiki hii. Kufuatia kufunguliwa kwa uchunguzi na ofisi ya mwendesha mashtaka wa Monaco baada ya malalamiko yaliyowasilishwa na…
Benini imepoteza zaidi ya wanajeshi wake 14 waliouawa katika shambulio la watu wenye silaha wanaohusishwa na kundi la wanamgambo wa kijihadi la JNIM. Shambulio hilo lilitolea siku ya Jumatano Machi…
Bado hakuna dalili kutoka Marekani kuwa wamempata kiongozi mbadala nje ya Iran.
Nchini Kenya, zaidi ya Wakenya 1,000 wanaaminika kuajiriwa katika jeshi la Urusi, kulingana na ripoti ya idara ya ujasusi ya Kenya iliyowasilishwa Bungeni mwezi uliopita. Baadhi walikuwa wanajeshi wa zamani…
Afisa wa jeshi la Iran amesema kuwa jaribio lolote la Marekani au Israel la kutaka kuupindua utawala wa Iran kupitia "machafuko ya silaha" litakabiliwa na jibu la moja kwa moja…
Rais Donald Trump amesema kuwa Marekani inashambulia mifumo ya ndege zisizo na rubani na makombora ya Iran "kila saa moja".
Manchester City wanakaribia kumnunua Elliot Anderson, vilabu kadhaa vya Premier League vinamtaka Samuel Amissah wa Fulham, na Liverpool wamemtambua Yan Diomande kama mbadala wa Mohamed Salah.
Hivi ni vita ambavyo serikali za Kiarabu hazikutaka vitokee na zilijaribu kuvizuia. Swali ni ikiwa nao wataingia katika vita baada ya mashambulizi waliyoyaitaya ya "usaliti" ya Iran.
Wakati wa mfungo wa mwezi wa Ramadhani, kuna ongezeko la hamu ya kula vyakula mbalimbali.
Israeli imezindua mashambulizi mapya dhidi ya Lebanon siku ya Alhamisi, Machi 5, ikifanya mashambulizi ya anga katika miji kadhaa ya mpakani kusini mwa nchi. Wakati huo huo, Iran imezindua mashambulizi…
Kudhoofika kwa Hezbollah kulichangia kuondolewa kwa Bashar al-Assad, na kuicha Tehran upweke.
Siku moja baada ya shambulio katika eneo la Lusinga katika Hifadhi ya Taifa ya Upemba, kaskazini mwa Katanga nchini DRC, lililohusishwa na wanamgambo wa Mai-Mai, hali imerejea kuwa shwari. Jeshi…
Macky Sall anawasilishaje ugombea wake kwa nafasi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa? Rais huyo wa zamani wa Senegal alituma barua ya motisha na wasifu kwa taasisi hiyo kupitia…
Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF), mnamo Machi 2, 2026, lilitangaza kuwa wamepoteza mawasiliano na wafanyakazi wake 26 katika Jimbo la Jonglei, nchini Sudan Kusini, ambapo mapigano kati ya…
Saa chache baada ya barua ya kujiuzulu ya Thomas Boni Yayi, iliyoandikwa siku ya Jumatano, Machi 3, 2026, maafisa wakuu wa chama cha upinzani cha Les Démocrates wameitisha mkutano wa…
Nchini Rwanda, Victoire Ingabire na wawakilishi wake wamewasilisha rufaa siku ya Jumatano Machi 4, 2026, dhidi ya kukamatwa kwake mnamo mwezi Juni 2025. Yuko kizuizini kwa karibu miezi minane. Imechapishwa:…
Muda mfupi baada ya Marekani na Israeli kuanza kuishambulia Iran mnamo Februari 28, Rais Donald Trump aliishutumu Tehran kwa kujenga silaha za nyuklia ambazo zinatishia washirika wa Marekani na zinaweza…
Serikali, vikundi vya kidini, na viongozi wa kijamii wamejibu kwa njia tofauti, wakionyesha uhusiano wa kidini na kisiasa wa muda mrefu kati ya Afrika na Iran.
Hatua hiyo ingesitisha hatua za kijeshi za Marekani nchini Iran bila idhini ya bunge.
Mwanahabari kutoka nchini Burundi Sandra Muhoza, ambaye amekuwa akizuiwa tangu Aprili mwaka 2024 na baadaye kuhukumiwa jela miaka minne mwezi Januari, ameachiwa huru. Imechapishwa: 05/03/2026 – 04:37 Dakika 1 Wakati…
Real Madrid wasitisha hamu yao ya kumnunua Rodri wa Manchester City, vilabu vitatu vya Ligi Kuu ya Uingereza vyamtaka kiungo wa kati wa Juventus Khephren Thuram na Liverpool vinamhitaji winga…
Miezi minane baada ya kusainiwa kwa makubaliano ya amani kati ya DRC na Rwanda chini ya usimamizi wa Marekani mnamo Juni 27, matokeo yanachelewa kufikiwa. Kulingana na ripoti ya tathmini…
Shirika la kimataifa la Haki za Binadamu la Human Rights Watch limekaribisha vikwazo vilivyotangazwa Machi 2 na Marekani dhidi ya jeshi la Rwanda na maafisa wanne wakuu wa kijeshi kwa…
Kiongozi mkuu wa Kishia wa Iraq, Ayatollah Ali Sistani, amelaani leo Jumatano “vita visivyo vya haki” dhidi ya Iran, vilivyoanzishwa tangu siku ya Jumamosi na Marekani na Israel. Ali Sistani,…
Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Mtoto imetoa wito leo Jumatano kwa watoto kulindwa wakati wa vita Mashariki ya Kati, ikirejelea hasa tukio la shambulio dhidi ya shule…
Matumaini ya Arsenal ya kumaliza ukame wa miaka 21 wa kushinda kombe la ligi kuu ya Epl nchini England yamefufuka upya baada ya kuvuna ushindi katika mechi zake mbili zilizopita…
Mazishi ya kitaifa ya Kiongozi Mkuu wa kiroho wa Iran Ayatollah Ali Khamenei, yaliyopangwa kufanyika Machi 4, yameahirishwa, kulingana na televisheni ya serikali. Imechapishwa: 04/03/2026 – 12:58 Dakika 1 Wakati…
Kutumia ndege zisizo na rubani zilizo na vifaa vya mawasiliano vya setilaiti huruhusu kudhibitiwa wakati wote wa safari.
Waziri mkuu wa Italia, kwa upande wake, hajajihusisha na mashambulizi yanayoendelea Iran.
Rais wa Marekani Donald Trump, siku ya Jumanne, Machi 3, ametishia “kusitisha biashara yoyote na Uhispania,” akikosoa kukataa kwake kuruhusu Marekani kutumiakambi za kijeshi huko Andalusia kwa vita vyake dhidi…
Vita vinavyoendeshwa na Marekani na Israel dhidi ya Iran vinaongeza mvutano mkubwa barani Ulaya. Wakati mashambulizi yakiendelea, na yanaweza kudumu “mwezi mwingine au zaidi,” kulingana na Rais Donald Trump, baadhi…
Utawala wa Trump umejaribu kujitetea kwa umaa siku ya Jumanne, Machi 3, kufuatia kauli ya Waziri wa Mambo ya Nje Marco Rubio ambaye alisema kuwa Marekani ilianzisha mashambulizi dhidi ya…
Marekani “imeidhinisha” wafanyakazi wake wasio wa lazima kwenye balozi zake Saudi Arabia na Oman kuondoka katika nchi hizo, balozi za nchi hizo mbili za Ghuba zimetangaza siku ya Jumanne. Nchi…