🔴MCHEZO SUPA: KWA NGUVU YA BUKU USIKAE KINYONGE: MEI 05, 2026
🔴MCHEZO SUPA: KWA NGUVU YA BUKU USIKAE KINYONGE: MEI 05, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Wanasayansi kukutana Dodoma, kujadili upandikizaji
Dodoma. Zaidi ya wanasayansi na madaktari 170 kutoka mataifa nane duniani wanakutana jijini...
Tani 28 za magendo zakamatwa mpaka wa Tarakea, Rombo
Rombo. Katika kudhibiti uingizwaji wa magendo nchini, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa...
Wakazi Tangasisi walia adha ya mafuriko, waiomba Serikali iwasaidie
Kila mvua inaponyesha, wakazi wa Mtaa wa Tangasisi jijini Tanga hulazimika kuanza upya...
Wema Sepetu: Simanzi Nyumbani kwa Mwigizaji Mastaa wa Tanzania Wakikusanyika Kumuomboleza Mbwa Wake
Mwigizaji Wema Sepetu aliandaa mkutano wa hisia kumuomboleza mbwa wake Manunu, aliyefariki baada ya matatizo ya upasuaji, huku watu mashuhuri wakihudhuria.
CRDB Bank Foundation yatoa Sh 21 bilioni kukuza wajasiriamali nchini
Serikali imesifu ushirikiano kati ya CRDB Bank Foundation na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...
Tarimba: Dawasa wanajitahidi, lakini wanatakiwa kusaidiwa
Amesema Dawasa kupitia Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka hiyo, Mhandisi Mkama Bwire wamekuwa...
Mkuu wa Wilaya ya Kondoa, Fatma Nyangasa amewahimiza wananchi kuchangamkia fursa ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria inayoendelea w…
Mkuu wa Wilaya ya Kondoa, Fatma Nyangasa amewahimiza wananchi kuchangamkia fursa ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria inayoendelea wilayani humo hadi Mei 15, 2026. Akizungumza katika Uwanja wa Ubembeni, Nyangasa…
Wafugaji kutoka maeneo mbalimbali nchini wamefanya ziara katika viwanja vya Agave, Ubena Zimozi, Chalinze mkoani Pwani, ambako k…
Wafugaji kutoka maeneo mbalimbali nchini wamefanya ziara katika viwanja vya Agave, Ubena Zimozi, Chalinze mkoani Pwani, ambako kunatarajiwa kufanyika maonyesho na mnada wa kimataifa wa mifugo Juni 19 hadi 21,…
Sare ya Goncalves, kisasi na kanuni ya Barker
DAKIKA 90 za mechi baina ya KMC dhidi ya Yanga itakayochezwa leo Jumatano saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam, zinaweza kutumika kwa mambo mawili kama…
Rais Samia amwomba Drogba awe Balozi wa Tanzania wa AFCON 2027
Michuano hiyo mikubwa barani Afrika ya mpira wa miguu itaandaliwa kwa pamoja na nchi za...
Soko la kisasa Matola, kituo cha mabasi ya mikoani mbioni kukamilika Mbeya
Halmashauri ya Jiji la Mbeya ipo mbioni kukamilisha mradi wa Soko la kisasa la Matola na Kituo...
Kambi ya siku tatu kutoa huduma za macho bure Kilwa
Kampuni ya mawasiliano ya Yas Tanzania, kwa kushirikiana na Bilal Muslim Mission of Tanzania...
Rais Ruto apigilia msumari kuaminiana kwa Tanzania, Kenya
Rais wa Kenya, Dk William Ruto ameeleza haja kwa Tanzania na Kenya kuaminiana ili kuchochea...
Tanzania requests Drogba to serve as its special envoy heading to 2027 AFCON
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has requested former Ivory Coast national team striker and Chelsea Football Club star Didier Drogba to serve as Tanzania’s Ambassador ahead of the 2027 Africa…
Polisi Mbeya yafichua mtandao wa uhalifu, 987 wanaswa
Katika hatua inayoonyesha ukubwa wa changamoto ya uhalifu mkoani Mbeya, Jeshi la Polisi...
Daraja lafurika, lazuia ziara ya Mkuu wa Mkoa Mara
Watumiaji wa barabara ya Musoma–Busekelea katika eneo la Nyasahungu wilayani Musoma mkoani Mara...
Ruto hails the 400-kilovolt power project for cementing Kenya-Tanzania ties in energy sector
DODOMA: PRESIDENT William Ruto has said that joint energy projects between Tanzania and Kenya continue to drive economic transformation and strengthen regional cooperation in East Africa. While addressing the Parliament…
Daraja lafurika, lazuia ziara ya RC
Watumiaji wa barabara ya Musoma–Busekelea katika eneo la Nyasahungu wilayani Musoma mkoani Mara...
Ruto: Leadership is not about following the crowd
DODOMA: KENYAN President, William Ruto, has said that effective leadership must be grounded in accountability, the fulfillment of promises, and the delivery of outcomes that meet citizens’ expectations. Speaking while…
Tanzania Prisons hesabu zinaingia, zinatoka
WAKATI Tanzania Prisons ikijiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba, huku kocha mkuu wa kikosi hicho, Shedrack Nsajigwa akitoa matumaini, hesabu zinaingia na kutoka kwenye mkakati wa…
Julio arejesha ‘vaibu’ Mashujaa, aivutia kasi Namungo
KOCHA wa Mashujaa, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amesema ushindi walioupata dhidi ya TRA United ni kichocheo kitakachowarudishia ari ya kujiamini wachezaji, akiamini wanaanza kurejea kwenye kiwango baada ya kupitia kipindi kigumu…
Chadema yapinga matokeo ya ripoti ya Jaji Chande, yaja na mapendekezo mapya
Baada ya kukataa matokeo ya ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani kabla...
Nyota 23 wa DR Congo kucheza BDL 2026
WAKATI Ligi ya Mpira wa Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), ikitarajiwa kuanza Mei 16, mwaka huu, wachezaji 42 wa kimataifa wamesajiliwa katika timu tofauti, huku 23 wakiwa Wakongomani.
Tanzanite yang’ara Met Gala 2026
Mwanamke bilionea kutoka India, Sudha Reddy, alivutia macho ya wengi kwenye Met Gala 2026 baada...
Njozi za Marekani Kujiona Dola Lenye Nguvu za Kipekee Zimefikia Ukingoni?
Profesa Jeffrey Sachs wa Chuo Kikuu cha Columbia amesema: "Vita vya Iran ndio wakati ambapo dhana ya Marekani kuwa dola lenye nguvu za kipekee ilikumbana na ukweli halisi."
Lishe bora kwa akina mama wanaonyonyesha: Kwa nini ratiba ya chakula ni muhimu
Wataalamu wa lishe wanawahimiza akina mama wanaonyonyesha kufuata ratiba ya chakula inavyofaa na iliyopangwa kwa ajili ya ukuaji bora wa mtoto. Soma zaidi.
Mayanga apambana na ‘ulinzi’ Mbeya City
ACHANA na matokeo ya ushindi walioupata Mbeya City juzi dhidi ya Tanzania Prisons, kocha mkuu wa timu hiyo, Salum Mayanga amesema bado anayo kazi ngumu katika kuisuka safu yake ya…
Job Obwaka: Ripoti ya Upasuaji wa Maiti Yaonesha Kilichomuua Mkurugenzi wa Nairobi Hospital
Matokeo ya uchunguzi wa maiti yalifichua kwamba kifo cha aliyekuwa mkurugenzi wa bodi ya Nairobi Hospital Job Obwaka alifariki dunia kilitokana na mshtuko wa moyo.
Job Obwaka: Ripoti Yaonesha Mkurugenzi wa Nairobi Hospital Alifariki Kufuatia Mshtuko wa Moyo
Matokeo ya uchunguzi wa maiti yalifichua kwamba kifo cha aliyekuwa mkurugenzi wa bodi ya Nairobi Hospital Job Obwaka alifariki dunia kilitokana na mshtuko wa moyo.
Nauli za bajaji zapaa Moshi, wananchi wataka Serikali kuingilia kati
Wakati bajaji zikiendelea kufanya biashara kama daladala katikati ya Manispaa ya Moshi, mkoani...
Halmashauri Ubungo yatenga fedha kukabili makorongo shuleni
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo imetenga Sh80 milioni kwa ajili ya kukabiliana na athari za...
Mbunge Tanzania aelezea kustaajabishwa Ruto kuhutubia bunge bila kuandamana na Rachel: “Alimuacha”
Ruto alitembelea Tanzania, akahutubia Bunge jijini Dodoma, akapokea sifa kutoka kwa wabunge na kutoa maoni kuhusu uhusiano wa Kenya na Tanzania na uchaguzi wa 2027.
Wabunge wa Tanzania Wamsifia William Ruto, Wamuombea Achaguliwe kwa Muhula wa Pili: “Kipenzi Chetu”
William Ruto alizuru Tanzania katika ziara rasmi ya kiserikali kwa mwaliko wa Samia Suluhu, ambapo alipewa nafasi ya kuhutubia bunge la Tanzania.
Ruto advises EAC bloc to reduce fuel costs by establishing regional oil refinery system
DODOMA: PRESIDENT William Ruto of Kenya has said that Tanzania, Kenya, and Uganda have significant potential to reduce fuel costs and create jobs if they collaborate to establish a regional…
Tanzania, Uturuki zaingia makubaliano ya uwekezaji
Tanzania na Uturuki zimeingia makubaliano mapya ya ushirikiano katika sekta muhimu za...
Ruto Atapikiwa nyongo kutangaza mipango ya kiwanda cha kusafisha mafuta Tanzania bila Suluhu Kujua
Rais William Ruto alikabiliwa na maswali nchini Tanzania kuhusu mpango wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Tanga huku Samia Suluhu akisema hakushauriwa.
Watoto 193,943 Maswa kupatiwa chanjo ya matone ya polio
Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, Anna Gidarya ameitaka jamii kupitia makundi...
TACA pushes for greater women participation in Chess ahead of global showdown
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Chess Association (TACA) has intensified its call for more women to actively participate in chess competitions, as part of a broader strategy to expand the…
Samson Cherargei apiga jeki azma ya kuzuia marupurupu ya kustaafu ya Uhuru Kenyatta
Seneta Samson Cherargei ameongeza juhudi za kutaka marupurupu ya kustaafu ya Uhuru Kenyatta kuondolewa, akisisitiza misingi ya kisheria huku akizidi kusutwa.
Wadaiwa kodi ya pango la ardhi Tabora wabanwa, wapewa notisi ya siku 14
Wamiliki wa viwanja na ardhi mkoani Tabora wanaodaiwa kodi ya pango la ardhi wamepewa siku 14...
Rostam: Kenya na Tanzania zinaweza kufanya biashara zaidi
Kwa mujibu wa takwimu zilizopo, biashara kati ya Kenya na Tanzania imekua kwa kasi kwa miaka...
Jowuta yamkabidhi Mhariri wa Mwananchi tuzo yake
Uongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (Jowuta) umemkabidhi tuzo...
Homa ya ini tishio, Serikali kukabiliana nayo
Zaidi ya watu 500 wamebainika kuwa na ugonjwa wa homa ya ini mkoani Mwanza huku Serikali...
Aweso: Wateja wapewe taarifa kabla ya kukata maji
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, ameagiza kusiwe na ukataji wa maji bila sababu za msingi, na...