Bado Watatu – 54
AKANIULIZA: “Lakini bado umesema wazi kwamba katika uchunguzi wako wa alama za vidole hukugundua kwamba mshitakiwa aliwaua hao watu?”“Uchunguzi mwingine ndio ulionyesha hivyo.”“Mimi nimekuuliza kuhusu uchunguzi wako wewe.”“Mimi sikugundua kama…
Bado Watatu – 54
AKANIULIZA: “Lakini bado umesema wazi kwamba katika uchunguzi wako wa alama za vidole hukugundua kwamba mshitakiwa aliwaua hao watu?”“Uchunguzi mwingine ndio ulionyesha hivyo.”“Mimi nimekuuliza kuhusu uchunguzi wako wewe.”“Mimi sikugundua kama…
Bado Watatu – 54
Kama tunakubaliana kwamba wale watu walionyongwa walikuwa wameshahukumiwa kunyongwa, mshitakiwa alipaswa kushitakiwa kwa kujitwalia mamlaka yasiyo yake kwa kuwanyonga watu hao ambao walitakiwa kunyongwa na mkuu wa gereza.
Serikali yahamasisha watumishi wa umma kwenda kupiga kura
Serikali imewahamasisha watumishi wa umma kuhakikisha wanashiriki upigaji wa kura siku ya...
Mgombea wa urais kupitia CCM, Dkt
Mgombea wa urais kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema serikali ya awamu ya sita imeongeza pato la wavuvi kutoka shilingi bilioni 9.4 hadi bilioni 38.4 katika kipindi cha miaka…
Wasira: Wanaochochea chokochoko mitandaoni hawawezi kuisumbua nchi
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira ametoa tahadhari kwa...
Ukraine: Rais Zelensky anaishutumu Urusi kwa kutaka ‘kuchochea machafuko’
“Lengo la Urusi ni kuchochea machafuko, kuweka shinikizo la kisaikolojia kwa watu kwa kushambulia miundombinu ya nishati na reli,” Rais Volodymyr Zelensky ameshutumu siku ya Jumatano, Oktoba 8, mbele ya…
Kunje ataja tathimini ya kampeni, akiahidi bodaboda, power tiller bure
Wakati Kampeni za Uchaguzi Mkuu zikiingia siku ya 43 leo Oktoba 9, 2025, mgombea urais wa Chama...
Russia: Kuna ushahidi mpya unaoonyesha kuwa Ukraine inafadhili ugaidi katika nchi kadhaa za Afrika
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia Maria Zakharova amesema, kuna ushahidi mpya unaoonyesha kuwa Ukraine inayasaidia makundi ya wanamgambo na ya kigaidi katika eneo la Sahara-Sahel barani…
CCM yaahidi kuboresha huduma za jamii Busega
Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amewaomba wananchi wa Jimbo la...
Ridhiwan: Tuwasikilize wagombea wote, tuchague kwa busara
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu), Ridhiwan...
Samia: Hakuna majaribio katika uendeshaji wa nchi
Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameonya kwamba hakuna majaribio...
Ufaransa: Kaburi la Robert Badinter liharibiwa saa chache kabla ya kuingia kwake Panthéon
Kaburi la Waziri wa Sheria wa zamani Robert Badinter, ambaye linatazamiwa kuingia kwenye makavazi ya kitaifa ya Pantheon, leo Alhamisi, Oktoba 9, limeharibiwa katika makaburi ya Paris ya Bagneux, manispaa…
MAHOJIANO MAALUM
MAHOJIANO MAALUM Ugonjwa wa saratani unadaiwa kuongezeka duniani kutokana na mabadiliko ya mitindo ya maisha. Ili kukabiliana na changamoto hiyo jitihada mbalimbali zinaendelea kufanyika ikiwemo utoaji wa elimu kwa wananchi…
#HABARI: Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imepanga tarehe Oktoba 15, 2025 kuanza kusikiliza shauri lililofunguliwa W…
#HABARI: Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imepanga tarehe Oktoba 15, 2025 kuanza kusikiliza shauri lililofunguliwa Wakili wa Peter Kibatala kwa niaba ya familia la kuiomba Mahakama itoe…
Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Makonda, amesema akipewa ridhaa ya kuingia bungeni ataweka nguvu kubwa kumsadia…
Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Makonda, amesema akipewa ridhaa ya kuingia bungeni ataweka nguvu kubwa kumsadia Rais Samia Suluhu Hassan kutekeleza Ilani ya CCM ya mwaka 2025–2030.…
Idadi ya abiria wanaosafiri kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) imeendelea kuongezeka, ishara ya ustawi wa…
Idadi ya abiria wanaosafiri kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) imeendelea kuongezeka, ishara ya ustawi wa sekta ya utalii nchini. Uwanja huo ni miongoni mwa lango kuu…
Idadi ya watoto waliokimbia makazi yao nchini Haiti inakaribia kuongezeka maradufu mwaka wa 2025: UN
Kuongezeka kwa ghasia kunazidisha mzozo wa kibinadamu kwa watoto katika taifa zima la Caribbean.
Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi, Mhandisi Zena Ahmed Said, amewataka vijana kuwa mstari wa mbele katika ku…
Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi, Mhandisi Zena Ahmed Said, amewataka vijana kuwa mstari wa mbele katika kudumisha amani na utulivu nchini. Ametoa wito huo wakati akizindua…
Kukabiliana na uchukuaji maamuzi ya upande mmoja; hatua muhimu kwa ajili ya uthabiti wa Asia Magharibi
Amir-Saeed Iravani, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa, amesisitiza kuwa: "Hali ya eneo la Magharibi mwa Asia ni mbaya mno, na hali hiyo ni matokeo…
Israel na Hamas wametia saini awamu ya kwanza ya mpango wa amani wa Gaza unaosimamiwa na Rais wa Marekani, Donald Trump
Israel na Hamas wametia saini awamu ya kwanza ya mpango wa amani wa Gaza unaosimamiwa na Rais wa Marekani, Donald Trump. Hatua hiyo inaashiria mwanzo wa kupatikana kwa suluhu ya…
Simba Queens yatangulia fainali Ngao ya Jamii
SIMBA Queens imetangulia fainali ya Ngao ya Jamii kwa wanawake baada ya kuitandika Mashujaa Queens mabao 2-0, katika mechi ya nusu fainali iliyopigwa leo Oktoba 9, 2025 kwenye Uwanja wa…
Baada ya maboresho makubwa yaliyogharimu takriban shilingi bilioni 157.8 na kuongezeka kwa vifaa vya kisasa vya usafirishaji, Ba…
Baada ya maboresho makubwa yaliyogharimu takriban shilingi bilioni 157.8 na kuongezeka kwa vifaa vya kisasa vya usafirishaji, Bandari ya Mtwara sasa imefikia uwezo wa kuhudumia shehena ya hadi tani milioni…
Balozi wa AzamTV #Kivuruge ana ujumbe maalum kwako mkazi wa Tegeta na maeneo ya jirani
Balozi wa AzamTV #Kivuruge ana ujumbe maalum kwako mkazi wa Tegeta na maeneo ya jirani. #WikiyaHudumaKwaWateja #AzamTVBurudaniKwaWote
Baraza la mawaziri la Israel kukutana kujadili ‘mpango wa kuachiliwa kwa mateka wote’
Baraza la mawaziri la Israel limepangwa kukutana leo Alhamisi saa kumi na mbili jioni (saa za Israel) kujadili “mpango wa kuachiliwa huru kwa mateka wote wa Israel,” kulingana na taarifa…
#MALUMABANOYAHOJA
#MALUMABANOYAHOJA MADA: SIASA ZA MITANDAONI WAKATI WA UCHAGUZI. JE, NINI CHANGAMOTO, WAJIBU NA MAJUKUMU YA RAIA, SERIKALI NA WADAU KULINDA JAMII NA TAIFA DHIDI YA UPOTOSHAJI NA UCHONGANISHI?
Simba Queens yatangulia fainali
Simba Queens imetangulia fainali ya michuano ya Ngao ya Jamii kwa wanawake baada ya kuitandika...
🔴MEZA HURU: MAKOCHA WA KIGENI…OKTOBA 09, 2025
🔴MEZA HURU: MAKOCHA WA KIGENI...OKTOBA 09, 2025
“Ziko chokochoko nyingi, na mimi nataka leo niwaambie, chokochoko zile ziko kwa watu wachache wanaotumia mitandao ya kijamii, na…
"Ziko chokochoko nyingi, na mimi nataka leo niwaambie, chokochoko zile ziko kwa watu wachache wanaotumia mitandao ya kijamii, naomba msome mitandao ile kwa uangalifu, maana kuna watu wachache sana ambao…
Huduma za posta Tanzania zaenda na wakati kukidhi mahitaji
Nchini Tanzania shirika la Posta, TPC limeendelea kubadilika ili kwenda na wakati ili kuhakikisha linatoa huduma kwa wananchi sio tu kukidhi mahitaji ya ndani ya nchi bali pia kimataifa.
UNICEF yafikia maelfu ya watoto kwa chanjo Sudan licha ya mzozo unaoendelea
Licha ya mzozo unaoendelea na changamoto za miundombinu nchini Sudan, Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, leo limesema limefanikiwa kutoa chanjo kwa zaidi ya watoto 740,000 walio…
Israel na Hamas zingatieni kikamilifu masharti ya mpango wa amani wa Marekani:Guterres
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekaribisha tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump kwamba Israel na Hamas wamekubali awamu ya kwanza ya mpango wake wa amani wenye vipengele 20,…
JKT Queens yaahirisha kambi ya Uturuki, sababu yatajwa
OFISA Habari wa JKT Queens, Masau Bwire, amesema klabu hiyo imeahirisha kuweka kambi Uturuki kwaajili ya maandalizi ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika upande wa wanaawake itakayofanyika Algeria kuanzia…
Je, kuna ubaya wowote kuchukua mkopo?
Katika soko la uchumi wa leo, kukopa kumekuwa jambo la kawaida kabisa. Watu binafsi, kampuni...
Eritrea yapinga madai ya Ethiopia ya uchochezi wa kivita
Eritrea imepinga vikali tuhuma za Ethiopia kuwa inajiandaa kuanzisha vita, ikizitaja kama “uchochezi wa kivita” unaolenga kuibua mgogoro mpya katika Pembe ya Afrika.
Msimamizi wa Maduka ya AzamTV, Mamii Kisena amesema kwa sasa visimbuzi vya antena vipo kwenye bei ya ofa ya shilingi elfu 39,000…
Msimamizi wa Maduka ya AzamTV, Mamii Kisena amesema kwa sasa visimbuzi vya antena vipo kwenye bei ya ofa ya shilingi elfu 39,000/= hivyo wapenzi wa burudani za #AzamTV, wasikose ofa…
Balozi wa India nchini ahimiza uwekezaji kwa vijana
Balozi wa India nchini Tanzania, Bishwadip Dey amesema vijana ndiyo wanashikilia mustakabali wa...
Meneja Msaidizi Kitengo cha Huduma kwa Wateja AzamPesa, Jacqueline Magesse ameeleza kuwa maboresho ambayo yamefanyika kwenye hud…
Meneja Msaidizi Kitengo cha Huduma kwa Wateja AzamPesa, Jacqueline Magesse ameeleza kuwa maboresho ambayo yamefanyika kwenye huduma ya AzamPesa ni pamoja kumpa mteja uwezo wa kutuma pesa kwenda mitandao yote…
Afisa huduma kwa wateja wa AzamTV Max, Sostenes Nkoba amesema kutokana na mabadiliko yaliyofanyika, mteja anaweza kuunganisha wa…
Afisa huduma kwa wateja wa AzamTV Max, Sostenes Nkoba amesema kutokana na mabadiliko yaliyofanyika, mteja anaweza kuunganisha watu wengine zaidi kwa kutumia akaunti yake ya AzamTV Max. AzamTV Max inaungana…
Shauri la kutekwa Polepole lasikilizwa mahakamani Tanzania
Sakata la kutoweka kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, limeingia katika hatua mpya. Hii ni baada ya Wakili kuwasilisha ombi kuitaka serikali imfikishe Polepole mahakamani mara moja.
AI kutumika kupambana na mabadiliko ya tabianchi
Wakati mkutano wa 30 wa nchi wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya...
Kunyimana tendo la ndoa kulivyosababisha mauaji ya mke, mume kukatwa korodani
Ni simulizi inayosikitisha lakini ndio ukweli ulivyokuwa, kwamba baada ya mume kupiga mshindo...
DRC: Rais Tshisekedi amtaka Kagame kuacha kuwaunga mkono waasi
Rais wa DRC Felix Tshisekedi akizungumza akiwa jijini Brussels Ubelgiji amemtaka mwenzake wa Rwanda Paul Kagame kuacha kuwasaidia waasi mashariki ya DRC na kutengeneza amani. Imechapishwa: 09/10/2025 – 13:26Imehaririwa: 09/10/2025…
Viongozi duniani wakaribisha makubaliano ya kusimamishwa vita Ghaza yaliyofikiwa kati ya Hamas na Israel
Viongozi mbalimbali duniani wamekaribisha tangazo la kusitishwa vita Ghaza kufuatia siku tatu za mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya harakati ya ukombozi wa Palestina ya Hamas na utawala…
#HABARI: Mgombea ubunge Jimbo la Bunda vijijini kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Maxmilian Madoro, ameahi…
#HABARI: Mgombea ubunge Jimbo la Bunda vijijini kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Maxmilian Madoro, ameahidi kuifanya Nyamuswa kuwa mamlaka ya mji mdogo ndani ya mwezi mmoja tu…
Guterres azitaka Israel na Hamas kuheshimu makubaliano
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amezitaka pande zote kuheshimu makubaliano yaliyofikiwa kati ya Israel na Hamas katika awamu ya kwanza ya mpango wa amani wa Gaza unaoungwa…
Zelensky: Urusi inataka kusababisha machafuko Ukraine
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ameituhumu Urusi kwa kutaka kusababisha machafuko nchini Ukraine, kutokana na kuishambulia miundombinu ya gridi ya taifa ya nishati na reli.
Kibonde aahidi kununua bombardier 70, asisitiza amani
Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia Makini (Makini), Coaster Kibonde ameahidi kununua ndege...
“Tunahitaji kutafakari juu ya nafasi ya elimu bora kwa maendeleo ya rasilimali watu…ili uchumi wetu uweze kukua rasilimali wat…
"Tunahitaji kutafakari juu ya nafasi ya elimu bora kwa maendeleo ya rasilimali watu...ili uchumi wetu uweze kukua rasilimali watu ni kiungo kikubwa...elimu bora ni injini ya mabadiliko, bila elimu bora…
Raia wanne wa kigeni mbaroni kwa kuipeleleza Serikali ya Traore
Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imewakamata wafanyakazi wanne wa mashirika yasio ya...