Ipswich Town wataiweza mikiki ya EPL
Umekuwa msimu mzuri kwa mashabiki wa Ipswich Town, ambao waliiona timu yao ikiifunga mara mbili...
Umekuwa msimu mzuri kwa mashabiki wa Ipswich Town, ambao waliiona timu yao ikiifunga mara mbili...
Trade, investment, logistics, security and energy at centre DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan and Rwandan President Paul Kagame have committed to deepening bilateral cooperation, with a particular focus…
Uzinduzi wa taratibu wa taasisi zinazotokana na uchaguzi wa hivi karibuni wa wabunge unaanza leo Jumatatu, Mei 4. Baada ya miaka mitano wakihudumu, wabunge wa bunge la saba walikamilisha rasmi…
Mabao mawili aliyofunga Viktor Gyokeres dhidi ya Fulham juzi yamemfanya mshambuliaji huyo mpya...
Nchini Mali, taarifa zinaonyesha kuwa hali ya usalama inazidi kutulia katika baadhi ya maeneo yaliyokumbwa na mapigano, wakati wapiganaji wa kijihadi kutoka kundi linalodai kuunga mkono Uislamu na Waislamu (JNIM)…
Waathiriwa wa shambulio hilo, lililotokea siku ya Alhamisi, Aprili 30, katika Jimbo la Niger, magharibi mwa Nigeria, walishutumiwa kuwa watoa taarifa kwa kundi la wanajihadi la Ansaru, ambalo liliibuka kutokana…
Hapa ni orodha ya nchi 7 ndogo duniani ambazo nchi hizi kwa moja moja unaweza kuitembelea karibu yote ndani ya siku moja ama kwa saa chache.
Kujiondoa kwa gavana Kang'ata kutoka UDA kunadhoofisha mkakati wa Ruto wa 2027, na kufichua mivutano ya kisiasa katika Mlima Kenya kabla ya uchaguzi mkuu.
Kundi lenye silaha linaloshirikiana na Islamic State limewateka nyara wakazi wengi wa Lisoma, katika eneo la Mambasa,siku ya Ijumaa, Mei 1. Utekaji nyara huu wa hivi karibuni unakuja huku Vwaashi…
Miaka ishirini baada ya mzozo wa kwanza mbaya katika eneo hili la magharibi mwa Sudan, vita ambavyo vimeendelea tena kwa miaka mitatu iliyopita nchini humo, huku kukiwa na kutojali kwa…
Marekani mwishoni mwa juma lililopita imetaka kuachiwa kwa wafungwa wote wa kisiasa nchini Sudan Kusini ndipo iweze kutoa msaada wowote wa kifedha kusaidia nchi hiyo kufanya maandalizi ya uchaguzi mkuu…
Mashirika matatu makubwa ya afya duniani katika taarifa yao ya pamoja yamelaani kushindwa kwa jumuiya ya kimataifa kuwalinda wafanyakazi wa afya, hospitali na wagonjwa katika maeneo yenye migogoro. Imechapishwa: 04/05/2026…
Inaelezwa kuwa ndege 100 na wanajeshi karibu 15,000 watahusika kwenye operesheni hiyo ambayo Rais huyo wa Marekani ameielezea kama “msaada wa kibinadamu” kwa mataifa yasiyohusika moja kwa moja na vita…
Millie Mabona alishiriki tasnifu ya Uzamili ya Makerere kuhusu useja, akazua mdahalo mzito Wakenya wakijadili utamaduni, shinikizo la ndoa, na kutokuwa na watoto
Dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga nchini Tanzania imeendelea kuthibitisha ukubwa wake, safari hii ikichezwa katika mazingira ya kipekee, kwenye uwanja wa kambini, Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es…
Juventus wanamuwania kiungo wa Manchester City Tijjani Reijnders, Newcastle United wanataka kumbakiza mshambuliaji Will Osula, huku Crystal Palace na Chelsea wakimnyemelea kocha wa Bournemouth Andoni Iraola.
Saudi Arabia, Urusi na mataifa mengine 5 ya muungano wa wazalishaji mafuta duniani, OPEC, wameongeza uzalishaji katika hatua inayotarajiwa kuweka muendelezo wa upatikanaji wa bidhaa hiyo hasa baada ya kujiondoa…
Wakili maarufu wa Mali na mwanasiasa mkosoaji wa utawala wa kijeshi aliripotiwa kutekwa nyara usiku wa kuamkia Jumapili ya wikendi iliopita na watu waliokuwa wamejifunika nyuso katika mji mkuu Bamako,…
Nchini DRC, chama UDPS cha kwake rais Felix Tshisekedi, kinatarajiwa kufanya maandamano ya amani kuonesha uungaji mkono wao kwa rais wa Marekani Donald Trump pamoja na mpango wa amani wa…
MWANZA: WAZIRI wa Afya, Mohamed Mchengerwa, amewaagiza watumishi wa afya nchini kuwa bajeti ya mwaka wa fedha 2026/27 inatakiwa kuonyesha mwelekeo wa taifa utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote.…
Kampuni ya huduma za fedha kidigitali, Mixx, imeendelea kudhihirisha dhamira yake ya kuimarisha...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Kheri Abdul Mahimbali, kuwa Mtendaji Mkuu wa...
DODOMA: The European Union has assured the Tanzanian government of its continued commitment to implementing the €92.7 million (about 265bn/-) four-year Green and Smart Cities (SASA) programme (2022–2026), despite challenges…
#HABARI: Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya nishati safi baada ya kukamilika kwa mradi mkubwa na wa kwanza Afrika Mashariki wa kuzalisha nishati ya umeme kwa nishati ya jua…
Vijana wanaofanya shughuli zinazohusika na mnyororo wa thamani wa mazao ya misitu hususan mbao wameelezea changamoto zinazokwamisha ustawi wa shughuli zao ikiwemo kupanda kwa nishati ya mafuta pamoja na ubovu…
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema itaendelea kutoa ushirikiano na Mamlaka zote zinazohusika na kupeleka Mahujaji kutekeleza Ibada ya Hijja na litafanyika hilo kupitia Kamisheni ya Wakafu na Mali ya Amana.…
Wanajeshi wawili wa Marekani wametoweka wakati wa mazoezi ya kijeshi kusini mwa Morocco wakiwa katika zoezi kubwa la kijeshi la kila mwaka liitwalo African Lion. Mazoezi hayo yanayojumuisha zaidi ya…
Kampuni ya Ndege nchini ATCL imeanzisha safari za moja kwa moja kutoka Dar es Salaam hadi Visiwa vya Shelisheli ikiwa nguzo muhimu ya kukuza utalii na kufungua masoko ya Afrika.…
Serikali za Tanzania na Rwanda zimekubaliana kuendelea kukuza uchumi wa nchi hizo pamoja na kuimarisha masuala ya usalama lengo likiwa ni kuwa na ushirikiano imara. Maafikiano hayo yamebainisha wakati wa…
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amemuagiza Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dk Seif Shekalaghe...
Dakika tisini za mchezo wa Simba na Yanga zimeonyesha kuwa mzani umebalansi hadi sasa msimu huu, baada ya mechi ya Dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga kumalizika kwa…
Dakika tisini za mchezo wa Simba na Yanga zimeonyesha kuwa mzani umebalansi hadi sasa msimu...
Watu watatu wamenusurika kufariki dunia baada ya jengo lililopo Mji Mkongwe, Wilaya ya Mjini...
#MICHEZO: Nyota wa zamani wa mchezo wa mpira wa miguu, Timu ya Chelsea na Timu ya Taifa ya Ivory Coast, Didier Drogba amewasili nchini leo Mei 3, 2026 kufuatia mualiko…
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU MEI 3 , 2026 - (Feed generated with FetchRSS)
Maazimio ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yameibua mjadala mpana wa...
FT: Simba 2-2 Yanga Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitiatz JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO s SUPA: - Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa,…
#KariakooDerby Tumekianza kipindi cha pili.. 46' : Simba SC 2-1 Yanga SC Burudani iko LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #KariakooDerby #SimbaYanga (Feed generated with FetchRSS)
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, wamemtaka mkurugenzi wa...
#derbyyakariakoo (Feed generated with FetchRSS)
Chama ametoa pasi saidizi kwenye goli la kwanza la simba na kuunga goli la maajabu. Unampa asilimia ngapi Chama (Feed generated with FetchRSS)
#KariakooDerby Prince Dube alivyomalizia jambo na kuipa Yanga bao namna hii…!!! 43’: Simba SC 2-1 Yanga SC Burudani iko LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #KariakooDerby #SimbaYanga #HainaLawama (Feed…
KOCHA Mkuu wa Namungo FC, Juma Mgunda, amekiri kupitia wakati mgumu kwa sasa, baada ya kushuhudia kikosi hicho kikicheza mechi 10 mfululizo za Ligi Kuu bila ya ushindi tangu mara…
WINGA wa TRA United, Ramadhan Salum 'Chobwedo', amefikisha mabao mawili katika Ligi Kuu Bara msimu huu akiwa na kikosi hicho, lakini moja ya jambo la kufurahisha au kushangaza ni kwamba…
#DEARBYYAKARIAKOO (Feed generated with FetchRSS)
MABAO mawili ya Ligi Kuu Bara aliyofunga kiungo mshambuliaji nyota wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' juzi dhidi Mtibwa Sugar, kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge, Dar es Salaam,…