Mapendekezo 3 ya kodi yanayozua utata miongoni mwa Wakenya
"Ukataliwe Muswada wa Fedha wa mwaka 2026/27 katika hali yake ya sasa kwa sababu unaelekea kuanzisha kwa njia ya kificho mikataba ya upangishaji ambayo itawaathiri kwa kiasi kikubwa wakenya wakipato…