PSG yaishinda Arsenal kwa mikwaju ya penalti na kubeba ubingwa wa Ligi ya Mabingwa
Paris Saint-Germain wathibitisha ukuu wao barani Ulaya, wakishinda Arsenal kwa penalti baada ya sare ya 1-1 katika fainali ya Ligi ya Mabingwa nchini Hungary.
Paris Saint-Germain wathibitisha ukuu wao barani Ulaya, wakishinda Arsenal kwa penalti baada ya sare ya 1-1 katika fainali ya Ligi ya Mabingwa nchini Hungary.
TAYARI kocha wa Simba, Steve Barker ameanza kuona vitu vya kiufundi katika miguu ya beki chipukizi Vedastus Masinde, jambo linalomshawishi kuendelea kumpa nafasi zaidi ya kuonyesha kiwango alichonacho.
DAR ES SALAAM: The Petroleum Upstream Regulatory Authority (PURA) has pledged to continue supporting government efforts to combat Human Immunodeficiency Virus (HIV), Acquired Immunodeficiency Syndrome (AIDS) and Non-Communicable Diseases (NCDs)…
DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imeahidi kuwa kuwa itandelea kuunga mkono juhudi za Serikali za kukabiliana na ugonjwa wa Upungufu wa Kinga Mwilini…
MAMENEJA WAPEWA ‘ONYO’ KUHUSU SERENGETI BOYS Kaimu Katibu Mkuu wa TFF, Oscar Mirambo amesema shirikisho hilo halitakuwa tayari kuruhusu vipaji vya vijana wa kikosi cha Serengeti Boys viangukie kwa mameneja…
SERENGETI BOYS: HATUTOKI MCHEZONI Wachezaji wa timu ya taifa ya vijana U17, Serengeti Boys, wameishukuru serikali kwa motisha ya shilingi milioni 500 na viwanja, wakisema imewaongezea ari na deni la…
BAADA ya Timu ya Taifa ya Wasichana chini ya miaka 17, Serengeti Girls kupoteza mechi ya kwanza ya raundi ya pili katika kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Afrika Kusini,…
LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) inaendelea Mei 31, 2026 kwa mechi sita, lakini macho ya wengi yataelekezwa Uwanja wa KMC Complex na vinara Simba Queens watakuwa na kibarua dhidi ya…
Nikaona nimtafute Dastan Lazaro ili nimueleza matatizo yaliyonitokea ili aweze kunipa msaada wake.Nilitegemea nikimpata Dastan anaweza kujua yule msichana aliyeniibia anapatikana wapi.Na Dastan pia anaweza kunisaidia kuzipata pesa zangu hata…
Shughuli hiyo ya wanajumuiya wa UDSM iliongozwa na Mkuu wa Chuo hicho na Rais Mstaafu Jakaya...
Cambrigde, UK: NMB Bank Plc Managing Director and Chief Executive Officer, Ruth Zaipuna, has taken Tanzania’s banking transformation story to the global stage after delivering a keynote address at the…
Jumla ya wafugaji wadogo 92,831 na wadau wa mnyororo wa thamani wa maziwa wa Tanzania Bara na Visiwani-Zanzibar wamenufaika na Mradi Shirikishi wa Wasindikaji na Wazalishaji wa Maziwa (TI3P) tangu…
GEITA: THE cooperative sector in Geita Region has developed into one of the most important pillars of agricultural and rural economic organisation, bringing together thousands of farmers, traders and small-scale…
Waundaji wa maudhui Baba Jimmy na Mama Jimmy waliomboleza mtoto wao ambaye hajazaliwa nchini Marekani, wakishiriki jumbe za dhati za huzuni kumlilia.
Mipango ya Marekani ya kituo cha kukabiliana na Ebola nchini Kenya inakabiliwa na upinzani kutoka kwa viongozi na raia kutokana na wasiwasi wa usalama.
Kimesema miradi ya maendeleo ni nguzo muhimu ya ustawi wa wananchi na hivyo inahitaji ulinzi na...
Mradi huo unalenga kupunguza changamoto ya upatikanaji wa maji iliyokuwa ikiwasumbua wananchi...
Serikali imeondoa hofu kwa wananchi wanaopisha utekelezaji wa mradi wa maji Manyoni mkoani...
Ndugu jamaa na marafiki walikabiliwa na huzuni baada ya kutambua miili ya wapendwa wao waliokufa katika mkasa wa moto wa Shule ya Utumishi Girls'.
MOSHI: UJENZI wa Kituo Kikuu cha Mabasi cha Kimataifa cha Ngangamfumuni katika Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro unatajwa kuwa chachu ya kuibadilisha Manispaa hiyo na kuwa kitovu kipya cha shughuli…
PARTICIPANTS attending the upcoming Lifestyle Audit, Unexplained Wealth and Integrity Risk Management Training are expected to acquire practical knowledge and advanced tools to identify, assess and manage corruption and integrity…
ARUSHA: LAKE Manyara National Park is located at the base of the Great Rift Valley escarpment in northern Tanzania. Positioned between Arusha and the Ngorongoro Highlands, it is one of…
DAR ES SALAAM: PANCAKE tortoises, scientifically known as Pancake tortoise, are among the strangest looking tortoises found in the savannahs of East Africa. Unlike most tortoises, which have thick and…
MOSHI: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka Watanzania kutokubali kuwakabidhi watu wasio na sifa na uzoefu wa uongozi dhamana ya kuongoza nchi, kikisisitiza kuwa uongozi wa taifa si jambo la majaribio…
KILIMANJARO: ZAIDI ya Mitungi 3000 ya Oksijeni imezalishwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mawenzi katika kipindi cha miezi sita tangu, hali iliyosaidia kuondoa changamoto ya upatikanaji wa hewa tiba…
KITENDO cha Ligi Kuu Bara kumalizika Juni 30, 2026 badala ya Mei 2026 kama ilivyopangwa awali, kimeibua mjadala mkubwa kwa wadau wa soka nchini.
KOCHA Mkuu wa Muembe Makumbi, Sheha Khamis amesema ushindani wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) msimu huu 2025-2026 umekuwa mgumu zaidi ikilinganishwa na misimu iliyopita na hiyo inatokana na kila timu…
UONGOZI wa Singida Black Stars umeanza rasmi mazungumzo ya kumpata mshambuliaji wa Mlandege FC ya Zanzibar, Mussa Hassan Simba ‘Mbappe’ kwa ajili ya kuongeza nguvu eneo hilo, japo itapaswa kutoa…
UONGOZI wa Fountain Gate FC umepokea barua kutoka timu mbalimbali Ulaya ili kumpata kiungo mshambuliaji nyota wa kikosi hicho, Juma Issa Abushiri ‘Messi wa Chuga’ kwa lengo la kwenda kufanya…
Kenya imeongeza juhudi katika maandalizi ya kupambana na Virusi vya Ebola. Kwa sasa imeimarisha vipimo JKIA na usalama wa afya. Visa vya Ebola vimeongezeka.
PONGEZI KWA SERENGETI BOYS: “Afrika na dunia inaona” Mtangazaji wa #AzamTV @richardngailla anasema kufanya vizuri kwa Serengeti Boys kwenye fainali za #AFCONU17 kumesaidia kuitangaza Tanzania barani Afrika na dunia kwa…
Ajali hiyo ilitokea baada ya vyombo hivyo viwili kugongana uso kwa uso wakati basi la Mahuta...
Gavana wa Siaya James Orengo amelaani visa vya kihuni wakati wa ziara yake Homa Bay licha ya kusema ilifaulu, huku akidai hujuma za kisiasa kutoka kwa wapinzani.
Serikali imesema itaendelea kutatua changamoto zinazowakabili wachimbaji na wazalishaji wadogo...
IRINGA: THE Deputy Permanent Secretary for the Ministry of Livestock and Fisheries, Dr Fabian Madele, has called on stakeholders in Tanzania’s dairy industry to strengthen collaboration in order to improve…
MANYONI: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has inspected the progress of a 28bn/- Manyoni Town Water Supply Improvement Project in Singida Region, which is now 80 per cent complete and expected…
Mikel Arteta amezungumzia sherehe za mashabiki wa Arsenal Nchini Kenya hii ni kabla ya fainali yao ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Paris Saint-Germain.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited...
Dar es Salaam. Waziri Mkuu Dk Mwigulu Nchemba ameamuru kurejeshwa mara moja kwa zaidi ya Sh500...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenan Kihongosi amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea…
RUANGWA: THE Minister for Minerals, Anthony Mavunde has signed two new partnership agreements with mining companies for the extraction of graphite in Ruangwa District, Lindi Region with the aim to…
NJOMBE: THE global energy transition is often portrayed as straightforward: renewable energy is growing, fossil fuels are declining, and coal is becoming obsolete. However, the most recent International Energy Agency…
Wakati Mbeya City ikifuta likizo kwa wachezaji ili kuendelea na mazoezi kujiandaa na mechi tano zilizobaki, vigogo wa juu wa timu hiyo wamefika mazoezini kuongeza hamasa, morali na nguvu kwa…
KOMBE LA DUNIA 2026: Kuelekea fainali za Kombe la Dunia zinazoanza Juni 11. Hizi hapa rekodi ambazo bado hazijavunjwa za Kombe la Dunia Kupitia kisimbuzi chako cha AzamTV utashuhudia mechi…
Katika ajali hiyo, derava wa basi na kondakta wake, pamoja na dereva wa roli walifariki dunia.
DAR ES SALAAM: TANZANIA national teams Spokesperson, Haji Manara has unveiled a strategy spearheaded by Minister for Information, Culture, Arts and Sports Paul Makonda to strengthen public support, patriotism and…
BADO SIKU 12 kufika Juni 11, siku ambayo michuano ya Kombe la Dunia inaanza. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama fainali hizi nwanzo mwisho mechi zote 104 mubashara kupitia AzamSports2HD…
VICTORIA FALLS: THE Southern African Development Community (SADC) member states are meeting here to strengthen regional cooperation in agriculture, livestock development, fisheries, aquaculture and food security across the region. THE…