Zuchu anavyotembea na kivuli cha marehemu kaka yake
Machi 2007, tasnia ya muziki wa Taarabu ilipata pigo baada ya kumpoteza mwanamuziki, Omary...
Machi 2007, tasnia ya muziki wa Taarabu ilipata pigo baada ya kumpoteza mwanamuziki, Omary...
DODOMA: Tanzania’s road racing calendar is set for another major spectacle after the National Bank of Commerce (NBC) officially launched the seventh edition of the NBC Dodoma Marathon, scheduled for…
DODOMA; WIZARA ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), imesema inatambua vema mchango wa michezo kwa ustawi wa wanajeshi. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Mei 19, 2026 na Waziri…
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imefungua kesi dhidi ya kamanda wa zamani wa gereza la Libya, Mohammed Ali El Hishri, anayetuhumiwa kusimamia uhalifu dhidi ya ubinadamu katika kituo maarufu…
Urusi imetangaza jaribio la mafanikio la kombora la masafa marefu la Sarmat.
Mgomo wa sekta ya uchukuzi uliokuwa umeingia siku ya pili nchini Kenya umeahirishwa kwa muda wa siku saba ili kutoa nafasi kwa mazungumzo kati ya serikali na viongozi wa sekta…
ZANZIBAR: THE Deputy Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Dr Ngwaru Jumanne Maghembe, has underscored the critical role of youth in driving sustainable development and positive transformation both…
Wanafunzi wanaoshiriki majukwaa ya sekta ya mafuta na gesi mkoani Mtwara wameliomba Shirika la...
Tanzania imeendelea kujijengea nafasi kama moja ya nchi zinazoongoza mageuzi ya kidijitali...
Serikali ya Tanzania imetoa maagizo na hatua 10 za dharura za kuimarisha ulinzi dhidi ya...
Nchini Afghanistan leo, idadi ya kutisha ya watu watatu kati ya wanne hawawezi kumudu mahitaji yao ya msingi.
Baraza la Habari Tanzania (MCT) limetangaza wateule 18 wa Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari...
OCS wa Kituo cha Polisi cha Nairobi Dishen Angoya alikamatwa kwa madai ya kuwaachilia washukiwa 64 wa maandamano kuhusu bei ya mafuta ambayo yamelemaza nchi.
Ngina Kenyatta, bintiye rais wa zamani Uhuru Kenyatta, aliolewa na Alex Mwai katika hafla ya faragha. Gundua elimu na asili zao za kifahari.........
DODOMA; SERIKALI imesema hali ya usalama ya mpaka wa Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wenye urefu wa kilometa 554 ni shwari. Hata hivyo, imesema mpaka huo unakabiliwa…
DODOMA; Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk Rhimo Nyansaho amewasilisha bungeni hotuba ya makadirio ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 ikiwa na…
Shule ya Upili ya Wasichana ya Mbooni katika Kaunti ya Makueni imefungwa kwa muda kutokana na mlipuko wa kuhara, ikiwahimiza wazazi kuwachukua wanafunzi.
Kama ulidhani muziki wa dansi umepotea, soma makala haya kwani wakati wengi wakidhani hivyo...
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema, kutokana na “hali ya kijamii” ya Marekani inayozidi kuwa mbaya, haitazami tena nchi hiyo kwa jicho la mahala pa kuwashauri watoto wake wakasome au…
DAR ES SALAAM: CHUO cha Kodi cha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA-ITA), kimeanza mchakato wa kuanzisha Shahada ya Uzamili ya Kodi (Masters Degree in Taxation), itakayolenga kuzalisha wataalamu wenye ujuzi…
Chelsea ilimteua Xabi Alonso kama meneja mpya kwa mkataba wa miaka minne kuanzia Julai 2026, ikilenga kufufua bahati ya klabu hiyo baada ya msimu mbaya.
Mbunge wa Nakuru Paul Biego anadai lori lake la KSh 20 milioni lilichomwa wakati wa maandamano ya kupinga bei ya mafuta, yakiangazia uvunjaji wa sheria na ghasia.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mfumo huo unalenga kuhakikisha uwezo wa ndani unaenda sambamba na...
Arsenal wanakaribia kumaliza ukame wao wa Ligi Kuu kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Burnley. Kelele za penati zenye utata zachochea mjadala huku Havertz akifunga ushindi.
DODOMA; Serikali Imesema inatekeleza Sheria ya Afya ya Jamii ya Mwaka 2009 Kifungu Na.173 (1), ambacho kinamtaka mtoa maudhui, mada au matangazo yanayohusu afya ya jamii kupata kibali kutoka kwa…
Gavana wa Siaya James Orengo anapeleka Linda Mwananchi Homa Bay, huku akimvaa Gladys Wanga katika hali ya kisiasa iliyojaa mgogoro kabla ya uchaguzi wa 2027.
Shirika la Afya Duniani (WHO) tayari limetangaza mlipuko huo wa Ebola unaosababishwa na kirusi...
DCI inachunguza washukiwa waliohusika na uchomaji wa gari aina ya Mazda CX-5 wakati wa maandamano ya Thika Road. Kanda za video huenda ikawa na undani wa tukio hilo.
Kocha wa Brazil, Carlo Ancelotti amemrudisha nyota mkongwe Neymar katika kikosi cha taifa kwa...
DODOMA; Mbunge wa Tanga Mjini, Kassim Mbaraka amehoji bungeni ni lini ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Bandari ya Tanga – Kilimanjaro – Arusha – Singida hadi Musoma yenye…
Rais William Ruto ameomboleza mwimbaji Rachel Wandeto anayedaiwa kushambuliwa kwa petroli na kuchomwa moto sababu ya kuunga mkono achaguliwe tena 2027.
Rais wa Urusi Vladimir Putin anafanya ziara nchini China leo Jumanne kwa ziara ya kikazi ya siku mbili, siku chache tu baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kuzuru Beijing.Ingawa…
Michael Carrick anatarajiwa kuwa meneja wa kudumu wa Manchester United baada ya kipindi cha kuvutia cha mpito kilichohakikisha kufuzu Ligi ya Mabingwa.
Wakenya wameikashifu Mamlaka ya Kudhibiti Kawi na Petroli kwa kutangaza punguzo la KSh 10 kwa bei ya dizeli huku wakiongeza gharama ya mafuta taa kwa KSh 38.
DODOMA; Serikali imesema inatambua umuhimu wa kuwashirikisha wabunge wote, wakiwemo wa Viti Maalum, katika utoaji na usimamizi wa mikopo ya asilimia 10 katika halmashauri. Kauli hiyo imetolewa na Niabu Waziri…
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Petroli imetangaza bei mpya za mafuta, ikipunguza bei ya dizeli kwa KSh 10 kwa lita huku ikiongeza bei za mafuta taa kwa KSh 38.
Serikali imetaja sababu tatu zinazosababisha kucheleweshwa kwa malipo ya kifuta jasho na...
Mzee Daniel Mukhwana Matakala, 99, alitimiziwa matakwa yake ya kuzikwa katika jeneza la chuma na kioo. Hatua hiyo ilichochea hisia mbalimbali mtandaoni.
Chama cha mrengo wa kushoto, PAICV, kimeshinda uchaguzi, huku Waziri Mkuu Ulisses Correia e Silva, kiongozi wa Movement for Democracy (MpD), akikubali kushindwa. Mpito mpya wa kisiasa unakaribia Cape Verde,…
Maisha binafsi ya mmoja wa wanawake wenye ushawishi mkubwa kisiasa barani Afrika yamefichuliwa katika mahojiano maalum ya kipekee ya BBC World Service.
Benki ya Dunia (WB) imeipongeza Tanzania kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo...
Mvutano uliibuka wakati wa mkutano na waandishi wa habari huku Waziri wa Nishati Opiyo Wandayi akijibiwa vikali na wenye matatu kuhus bei ya juu ya mafuta.
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ameapa kutosalimu amri kamwe mbele ya dola lolote au kutoa kafara heshima ya taifa kwa ajili ya faraja.
Takribani watu wanne wameuawa na wengine 30 kujeruhiwa nchini Kenya wakati maandamano ya kitaifa yakizuka kupinga kupanda kwa kasi kwa bei ya mafuta.
Waziri wa Sheria wa Ufaransa Gérald Darmanin amehitimisha ziara yake kaika mji mkuu wa Algeria, Algiers jana, Jumatatu, Mei 18, baada ya kukutana mapema siku hiyo na mwenzake wa Algeria,…
Serikali kupitia Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imesitisha shahada zinazoandaa walimu wanasihi.
Mwandishi wa habari mpelelezi wa gazeti la Washington Post amechapishwa maelezo kuhusu mashambulizi ya Iran kwenye taasisi na zana 228 za kijeshi za Marekani katika Ghuba ya Uajemi.
Rais Ruto ameitisha mkutano wa dharura na wadau katika sekta ya mafuta ili kukabiliana na kupanda kwa bei za mafuta, huku mgomo katika sekta ya uchukuzi ikiendelea.